Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Mnafanyia nini isije kuwa nakuuzia milioni wewe unaenda kupiga 15,000,000/=?!
Kaka huniuzii mm na wala sina uwezo wa kuinunua cha muhimu tu kama unacho kitu kilicho sahihi basi hatua ya mwanzo had mwisho wa malipo unahusika mwenyewe wala hakuna bei ya dalali hapo wote wanaohusika ktl hyo shughuli wanapata kinachostahili hakuna dhulma ktk haya
Ukiwa tayari basi nitafute kwa namba yangu kwa maelezo zaid
 
Ntakutafuta PM mkuu
 
mm ni mwenyeji wa tukuyu , kila mwaka wanakuja wenyewe kuja kuzichimbua walizificha kwenye ziwa kisiba! pale masoko pembezoni mwa shule ya msingi masoko kwa wageni! kiukweli kuna mali nyingi maana sio kwa garama wanaotumia
 
Zege linalainishwa kwa kuwasha moto? Kweli? Aiseeeee.......

 
Katika kupambana niliingia mkumbo ila mm na jamaangu tulijikita kusoma mchezo tukaanza kama madalali tujue hasa mnunuzi nani bwana we kila mtu dalali huyu anasema kuna mwarabu kariakoo Naye anasema anandugu Oman wa Oman ana muisrael na muisrael analijua shirika linalinunua basi tukabahatisha jamaa anamuisrael anayesema akithibitisha jamaa anakuja kulipa.ok tukahamia field tafuta wewe kila tukipima hola .afu wanakutoa hela kabla ya yote mara tambiko mara mashart tukikaribia kata tamaa jamaa wa congo akatutafuta tukaenda hadi kigoma kasulu baba pima ikawa poa uzuri akaomba mil 5 kama kishika uchumba mo nilikataa maana nawajua jamaangu katoa baba kufika tabora polisi wakatudaka na kutukamata walitula 5 mil tukakoma .mpaka leo naamini biashara hii ina wenyewe maana mzigo niliona mara 2 zote mizengwe inaibuka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi vitu uwa vinachekesha sn.mnunuzi uwa hajulikani maana hata anayekushawishi uingie kwenye dili izo nae
unakuta kambiwa tu na watu
 
Hawa ni wezi kama wezi wengine, jiulize uzito wa sarafu yenyewe hata kama ingekuwa imetengenezwa kwa dhahabu haifikii thamani inayosemwa na huyu tapeli
 
Kuna maeneo kweli nikishawahi kuona mauza uza ambayo sikuyaelewa mfano eneo moja huko singida ambalo lina zege na ni kwenye miamba, nilipouliza wenyeji wakasema kuna mali za mzungu zipo humo na watu walijaribu kufukua ila walishindwa.
Kwa hiyo kiasi fulani hizi mada zina ukweli ndani yake.
 
Ushafanikisha ?
 
"eneo moja huko singida" eneo gani hilo panaitwaje?
 
Wajerumani walitawala Tanganyika sio Tanzania kuanzia 1885-1914, ambapo eneo hilo (Tanganyika) ilihusisha baadhi ya maeneo ambayo leo yapo ndani ya nchi za Burundi na Rwanda.

Ina maana hizo hazina zipo hadi huko Burundi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…