Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Kuna baadhi ya hazina ni ngumu kupatikana bila ya kuwepo kwa mwongozo maana kama Mwadui kuna sehemu ukionekana lazima wazee wakuulize kuwa umekwenda kufanya nini huko

Sent using Infinix hot 4
Sehem gan
 
Alafu
 
Eneo gan?
 
Sehemu gani?
 
Habari zaidi
 
mtu akiweka picha mti tag maana hapo tu ndio nitaamini kwamba haya mambo yapo hapa Tanzania,wazungu wao huweka video youtube kabisa unajionea
 
mm ni mwenyeji wa tukuyu , kila mwaka wanakuja wenyewe kuja kuzichimbua walizificha kwenye ziwa kisiba! pale masoko pembezoni mwa shule ya msingi masoko kwa wageni! kiukweli kuna mali nyingi maana sio kwa garama wanaotumia
Habari zaidi
 
Habari zaidi Ni Kijiji gan?
 
kuna Train ilipotea huko ulaya ikiwa imesheheni dhahabu tupu mwishoni mwa vita kuu ya pili ya dunia,ilikuwa ya wa nazi na mara ya mwisho kuonekana ilionekana maeneo ya milima fulani,ilitafutwa mpaka leo haijapatikana
Naipata hii story na Mimi Ni mdau wa hizi mambo
 
Kiongozi: mimi binafsi nilisimuliwa na mtu aliyemsaidia mzungu kuchukua hazina ya kale pale iringa- anasema mzungu alikuwa employee wa kampuni ya ujenzi ya WADE ADAMS, siku moja akamuimba msimuliaji amdindikize iringa. Walipofika iringa alimuomba amtafutie mchungaji wa kanisa. Mchungaji alipopatikana mzungu alionesha kibali cha kufukua na kuchukua masalia ya mwili wa babu yake , hivyo mzungu alielekeza makaburi husika, walipofika makaburini mzungu alionekana akipekua nyaraka na kisha alionesha kaburi husika. Anasema walipochimba walikuta masanduku manne ya shaba. Mzungu aliondoka nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…