Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Kuna baadhi ya hazina ni ngumu kupatikana bila ya kuwepo kwa mwongozo maana kama Mwadui kuna sehemu ukionekana lazima wazee wakuulize kuwa umekwenda kufanya nini huko

Sent using Infinix hot 4
Sehem gan
 
Kuna ankali wangu kateseka sana na hizi mambo na hadi leo huenda bado yuko huko "mgodini", kama ni mauza uza basi itakuwa kuna namna kichwa kinavurugwa unakuwa unaamini umezikaribia mali..... Pia hapo ulivyotaja Lumbira (kama ndo ile ya Mbeya) nimesoma shule moja maeneo yale nakumbuka kuna bweni hata walimu walichangia kulivunja eti kuna mali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu
 
Hii inanikumbusha kuna jamaa alikuja mtaani akawa anataka tumtafutie shilingi 20 yenye mwaka 1993 kuna anaihitaji na angeweza kutupa milioni 5....dah tulitafuta kuanzia madukani kwa wauza sigara karanga urembo kote tunapata ya mwaka 1992 ilikua balaaa tukakata tamaa hatukupata kwahiyo hizi stori zinachanganya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo gan?
 
Hii kitu mi naamini kabisa ipo.
Katika kijiji nilichokulia kuna kajimto kadogo, lakini kuna sehemu kamto kametengeneza maporomoko, eneo hilo kuna nguzo ya zege na mnyololo mkubwa umeingia ndani ya maji.
Lakini kulifikia eneo hilo ni shida sanaa, yaani kukutana na majoka kawaida, na kukuta eneo halipo ghafla ni kawaida.
Kuna kipindi wazungu walikuja pale lakini walikatazwa kwasababu eneo hilo sasa ni mali ya jeshi.
Hila hivi vitu vipo na mababu wametusimulia sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu gani?
 
Mi kiukweli sipingani nawewe maana hata maeneo ya mpanda eneo naliweka kapuuni pale kuna mashimo au lugha rahisi niseme mahandagi Kule chini walihifadhi vitu vingi Sana pindi walipoachia nchi mbaya zaidi baadhi ya mashimo wameweka padlock ambazo hazijawahi funguka hata utumie njia gani dude halitoki na kuna baadhi ya maeneo mashimo wametia acid hajawhi ingia mjinga yoyote mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zaidi
 
mtu akiweka picha mti tag maana hapo tu ndio nitaamini kwamba haya mambo yapo hapa Tanzania,wazungu wao huweka video youtube kabisa unajionea
 
mm ni mwenyeji wa tukuyu , kila mwaka wanakuja wenyewe kuja kuzichimbua walizificha kwenye ziwa kisiba! pale masoko pembezoni mwa shule ya msingi masoko kwa wageni! kiukweli kuna mali nyingi maana sio kwa garama wanaotumia
Habari zaidi
 
Kuna maeneo kweli nikishawahi kuona mauza uza ambayo sikuyaelewa mfano eneo moja huko singida ambalo lina zege na ni kwenye miamba, nilipouliza wenyeji wakasema kuna mali za mzungu zipo humo na watu walijaribu kufukua ila walishindwa.
Kwa hiyo kiasi fulani hizi mada zina ukweli ndani yake.
Habari zaidi Ni Kijiji gan?
 
kuna Train ilipotea huko ulaya ikiwa imesheheni dhahabu tupu mwishoni mwa vita kuu ya pili ya dunia,ilikuwa ya wa nazi na mara ya mwisho kuonekana ilionekana maeneo ya milima fulani,ilitafutwa mpaka leo haijapatikana
Naipata hii story na Mimi Ni mdau wa hizi mambo
 
Ramani na uwepo wa hazina ni vitu viwili tofauti kabisa. Anyway nimetahadharisha kwakuwa nafahamu ninachokiandika. Nasubiri ushuhuda kwa aliyepata hizo hazina.Haya mambo ni ya kufikirika zaidi fanyeni utafiti wa kina mtanielewa ninachokimaanisha hapa.
Kiongozi: mimi binafsi nilisimuliwa na mtu aliyemsaidia mzungu kuchukua hazina ya kale pale iringa- anasema mzungu alikuwa employee wa kampuni ya ujenzi ya WADE ADAMS, siku moja akamuimba msimuliaji amdindikize iringa. Walipofika iringa alimuomba amtafutie mchungaji wa kanisa. Mchungaji alipopatikana mzungu alionesha kibali cha kufukua na kuchukua masalia ya mwili wa babu yake , hivyo mzungu alielekeza makaburi husika, walipofika makaburini mzungu alionekana akipekua nyaraka na kisha alionesha kaburi husika. Anasema walipochimba walikuta masanduku manne ya shaba. Mzungu aliondoka nayo
 
Back
Top Bottom