Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Tusiwe watu wa kupinga kila kitu, hi ishu ipo na ipo kweli hata hao wazungu wenyewe wanatengeneza mpaka filamu za treasure hunting. Binafsi nimepata kusimuliwa na babu yangu kabisa habari kuwepo kwa hayo mapango ya hazina kwa maana alipatapo kuajiriwa na hao wajerumani kwenye miradi yao. Kimtazamo wa haraka unaweza ukaona ni hadithi tu ila mimi nimewahi shuhudia baadhi ya beacons na bearing points lakini sijabahatika kuona shughuli yeyote ya uvunaji wa hizo vitu. Tuwe na tabia ya kusoma au kufuatilia documentaries sio kupinga kila kitu.
 
Wanaopinga ni wakazi wa Dar fatilia icho kitu
 
Leo ndo nimeuona huu uzi,Mimi ni mmoja kati ya watu nilioshuhudia shuhuli hizo

Ila point yangu kubwa ni mwamba hizo mali za mjerumani ni za mjerumani kwanini tuwekeze nguvu kubwa kutafuta mali isiyo ya kwetu??
 
Waichofanya wajerumani walipokua wanaondoka walikua wanauliza nani anataka kuwa mlinzi wa mali zetu hivi watu wakawa wanajitolea wakawa wanawachukua na kuwazika na yale masanduku, ivyo nafsi za wale watu ndio walinzi wa izo mali. Kumbuka on your way to kuna death trap mana ni wajeramani pekee ndio wenye ramani ya safe entry point. Pale Tukuyu kwenye jengo la Utamaduni ambapo ni ofisi ya mkuu wa wilaya kwa sasa, walikuja wajerumani kutaka kufanya ukarabati wa ile ofisi, watu wakamtonya RC wa kipindi icho, ukarabati ukazuiwa. Waza kwann Mbeya kuna ubalozi mdogo wa wajerumani? Sehemu nyingine za maji wameacha machunusi, pale Mbeya mabatini kuna mto ulikua unaitwa Yordan walitumia kubatiza watu wao ashapotea mtu mpaka leo hajaoneka. Dodoma kuna sehemu inaitwa Hombolo, kumbuka wajerumani wamekaa mno dodoma maeneo ya Mpwapwa. Ukiahana na chunusi kuna majoka makubwa.

Kuzipata izo mali ni mpaka uende ujerumani ktk library zao ukasome kuweza kujua safe entry point mzee.

Wazungu wametuaminisha kwamba Uchawi ni dhambi lkn wao wanautumia mpaka.kesho wakiwa wameuficha nyuma ya Sayansi. Jiulize anayeruka kwa ungo na anayeruka na ndege tofauti yao ni nn? Anayemtungua mwenye ungo usiku na anayetungua ndege tofauti yao ni nn? Kumbuka hata anayeruka na ungo kabla hajaruka anapima hali ya hewa kujua uelekeo ama aahilishe kuruka siku iyo kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya[emoji120]
 
Habari ndugu
Hapa nyumbani ni karibu na kisarawe pia katika kuendelea na ujenz tukakutana na beacon ambapo inasemekana kuna mali za wajerumani
Je wewe unatoa???
0789010287
Naomba unipigie
 
Habari ndugu
Hapa nyumbani ni karibu na kisarawe pia katika kuendelea na ujenz tukakutana na beacon ambapo inasemekana kuna mali za wajerumani
Je wewe unatoa???
0789010287
Naomba unipigie
0715160365 whatsapp nitumie picha
 
Muda mrefu sana nimekuwa nikisikia stori za mjerumani kuficha mali Tanzania, lakini kuna kitu najiuliza ! Ni kitu gani kilifanya washindwe kuondoka na hizo mali wakati zilikuwepo manuwari kibao miaka hiyo?
 
Hakikisha una shughuli nyingine ya kufanya na kukuingizia kipato kabla ya kuanza kujihusisha na hii shughuli ya kutafuta Mali ya Mjerumani. Bila hivyo utapoteza muda mwingi sana na kuishia kuchanganyikiwa.
 
Leo ndo nimeuona huu uzi,Mimi ni mmoja kati ya watu nilioshuhudia shuhuli hizo

Ila point yangu kubwa ni mwamba hizo mali za mjerumani ni za mjerumani kwanini tuwekeze nguvu kubwa kutafuta mali isiyo ya kwetu??
Kwa sababu kwenye hizo Hidden treasures, zimefichwa mpaka Mali zetu, kwa maana ya Madini!

Hivyo vingine vilikua Vitendea kazi vyao.
 
Muda mrefu sana nimekuwa nikisikia stori za mjerumani kuficha mali Tanzania, lakini kuna kitu najiuliza ! Ni kitu gani kilifanya washindwe kuondoka na hizo mali wakati zilikuwepo manuwari kibao miaka hiyo?
Vita vya dunia vilipotokea ,inasemekana alipoona anaenda kushindwa ikabid afiche kuliko kumuachia muingereza aje kunufaika...hvo alitumia magic katika kuficha
 
Vita vya dunia vilipotokea ,inasemekana alipoona anaenda kushindwa ikabid afiche kuliko kumuachia muingereza aje kunufaika...hvo alitumia magic katika kuficha
Kwani kama angeondoka nazo nini kingetokea? Kumbuka Vita ya kwanza ilikuwa toka mwaka 1914-1918.
Kumbuka kuwa Ujerumani ilitawala Tanganyika toka 1905 mpaka 1912 , sehemu nyingine zinasema tulitawaliwa mpaka 1919, kuna kitu hakiko sawa hapa au wewe unaonaje?
Je uwepo wa nadharia ya majoka na viumbe vya ajabu katika mapango yalikofichwa mali ni uchawi wa Kijerumani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…