Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Majini sio ishu ukipatwa ni mpaka zipote siku 3 ndo ufe.
Sehem hatari kwa mali hizo ni sehem yenye minyororo ukiona sehem hizo lazima kuna sumu.
Hii ya sumu ndo hatari kuliko yoyote.
 
Watu wanapata tatizo ni moja tu
Wabongo hatuna taarifa sahihi tunadanganyana kwenye taarifa.
 
Hata utumie waganga na wachungaji na mashehe hizo mali huchukui kabisa mkuu. Unaweza kuingia hasara tu. Ila wao huwa wanakuja wanazichukua kwa mtindo kama kujenga kanisa au kuwajengea shule. Na wanahakikisha sehemu walipochagua kujenga hilo kanisa, hospital au shule ni ile ile karibia na mahala walipochimbia hizo mali.

Rejea hospital ya Ilembula. Hospital ya Ifisi ya mzungu Lena mbalizi mbeya pale ilipojengwa kwenye korongo hivi. Hospital ya Ikonda,makete ilijengwa polini,mlimani,mbali kabisa na makazi ya watu. Hizo ni baadhi tu. Wazungu ni wachawi kitambo sio huu uchawi wa kiafrica. Na hizo mali ni nyingi sana za matrilion ya pesa
 
Baba Mpinzire mazingaombwe yalikuwepo sana sana tu mmoja kuanzia kuona nyoka mkubwa na kisha kutoweka ghafla mpaka kuzirai kwa mchimbaji mmoja kwa masaa kadhaa.
Nyoka mbona simple aisee kuna code mnapigwa mishale halafu ina sumu.
 
Mlikuwa mnakutana na kizuizi gani?
Ugum wake ni nini?
 
Umeona!
Wabongo taarifa sahihi hatujawahi kufatilia tunakurupuka sanaa.
 
Unachukua mkuu.
Toa taarifa sahihi eneo husika na kizuizi gani ulikutana nacho toa hapa hapa nikupe jibu.
 
Kuna mzee mmoja kamaliza kiinua mgongo chake kisa hizo ishu Hadi Leo hajafanikiwa
 
Hadithi hii..anaanzaje kuchimba kanisani ambalo kila siku watu wanaingia...Lina walinzi, viongozi Wa ngazi ZA chini

Ungeniambia alikuwa amekodi nyumba ndio akaanza kuchimba ningekubali Ila Sio kanisani ambapo kila MTU anaingia
 
Huu nao ndio ujinga..nimekua sasikia hivyo, Hadi watu kwenda Kwa waganga
Kwenda kwa waganga sio shida
Shida hana taarifa za kweli hajawahi isogelea hiyo mali akakutana na vizuizi gani.
Unaendaje kwa mganga kitu hewa hukijui?
 


Jifunze kitu, vitu kama hivyo ni siri za familia unaweza kujita unamwaga mboga hadharani bila kujua .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…