Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Hahahaha sasa akiwaua nyie je??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu moja nilienda maeneo ya kamsamba wilaya momba mkoa mbeya saiz song we wamejenga kanisa zuri sana linapendeza sana h alafu nipolini kwelikweli sasa nikawa najiuliza why waliamua kujenga huku nahisi kuna vitu kanisa limgine wamelijenga chunya poleni kweli kweli halafu zuri kwelikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugumu wake upi mkuu kwamba ukichimba hupati au kunamambo ya giza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni kweli pia na Mm nineshuhudia kuna mzee mmoja kama wa miaka 89 au 90 alikuwa na ramani ya hazina kubwa sana iliyopo around Mwadui Shinyanga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ramani na uwepo wa hazina ni vitu viwili tofauti kabisa. Anyway nimetahadharisha kwakuwa nafahamu ninachokiandika. Nasubiri ushuhuda kwa aliyepata hizo hazina.Haya mambo ni ya kufikirika zaidi fanyeni utafiti wa kina mtanielewa ninachokimaanisha hapa.
 
Kuna baadhi ya hazina ni ngumu kupatikana bila ya kuwepo kwa mwongozo maana kama Mwadui kuna sehemu ukionekana lazima wazee wakuulize kuwa umekwenda kufanya nini huko

Sent using Infinix hot 4
 
Na kwanini WaGermany wafiche ????? Yaani upike chakula kizuri,halafu uweke mvunguni (usile Wala usiondoke nacho) eti.... Use common sense !!!
 
Achana na story za mtaani, nenda kamtafute huyo mtu kama utampata zaidi utajikuta kila mtu hamfahamu, tuache ujinga hakuna mambo kama hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nakubali mimi ni mbumbumbu Muizaeli aje na helkopta Singida kufuata pasi milioni 30 na ushee .... alikuja lini? kijiji gani? huyo "ajuza" alikuwa na nguvu ya kuchimba? alikuwa na utaalamu wa kusoma ramani? alikuwa na manguvu ya kupambana na "mauza uza" wewe ulikuwa wapi kipindi hicho?

Anyway haya ni maswali ya kimbumbumbu endelea kuamini unachokiamini lakini usiwashawishi watu waingie mkenge. BTW mbona unatumia nguvu kubwa sana kwenye hii issue? kuna ajenda nyingine?
 
Ukitaka kufirisika na kupata uchizi ingia kwenye hiyo biashara. Kila mali kale utakayopata utaambiwa siyo. Ukipata hiyo Heller watakuambia mwaka siyo tunataka ya 1890, ukiipata utaambiwa hapana hii imechubuka, mara ilihusisha kifo nk. Utaambiwa kuna pasi, ukiipata watakuambia aah! siyo hii ya mkaa, ipo ya mvuke... Mara utashangaa unapata stress utaota mvi hadi kwenye nyusi.
 
Hekaya tu hizi za bunuwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: R.K
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…