Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Yani serikali inavyotafuta pesa, isigundue hizo Mali za mjerumani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
laiti ungejua inapata kiasi gani kwenye haya maswala wala usingekuwa mtu wa ku critsize jumla jumla...... shida iliyopo mpaka sasa jamii kubwa haina elimu juu ya mali kale na Bahati mbaya jamii forum kila aliyejisajili humu ni Mjuaji sana hata kama ni mweupe juu ya jambo.
 
Tuonyesheni hizo Mali mkishachimba tuone.. Hizi ni story tuu kama za popobawa...
 
Ngoja nione hadi mwisho....! Tumeshapata kifaa cha kuchimba...nitaleta mrejesho hapa.

Na hy post sijalenga kumwibia wala kumtapeli mtu,ila kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo ndio niliowakaribisha...kwa ushauri,maoni...kwa chochote.
Acha kamba mkuu.
Ati huyo tapeli anaweza kukuonyesha zilipo?
Kama anaweza kwa nini asiende mwenyewe?
Pili anataka wewe uchimbe halafu muwe share?
Hadithi za kibaraza cha kahawa hizo!
 
Sie wenzako huwa tunafanyia kazi kila taarifa kuthibitisha usahihi au upotofu wake, cha msingi tu hy kitu ni practically possible. Utapeli au ukweli utajulikana...kikubwa ni uthubutu huku tukiwa na tahadhari,basi.
Acha kamba mkuu.
Ati huyo tapeli anaweza kukuonyesha zilipo?
Kama anaweza kwa nini asiende mwenyewe?
Pili anataka wewe uchimbe halafu muwe share?
Hadithi za kibaraza cha kahawa hizo!
 
Ngoja nione hadi mwisho....! Tumeshapata kifaa cha kuchimba...nitaleta mrejesho hapa.

Na hy post sijalenga kumwibia wala kumtapeli mtu,ila kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo ndio niliowakaribisha...kwa ushauri,maoni...kwa chochote.
Pambana Mkuu usife Moyo na Kama umadhamiriwale ambaoa kupata ipo..,,Na kwa wale wenye kukukatisha tamaa ya kuwa kuna hali ya utapelo basi ni ile aina ya wale mara zote ni wale Wajinga wanaoenda na Mentalit Ya kupata pesa nyingi Bila kuwa na elimu ya fild Husika
 
Sijajua kama ni uongo au utapeli, ila jamaa ndio kasema vile.

Hy site tuliingundua, na tuliifanyia kazi lakini kuna pahala tulikwama, sasa kama mtu kasema atafanya kazi ya kutoa mzigo na hajatuomba fedha utapeli unaijia wapi sasa!

Picha zakutosha ilitujue kama ni deal au utapeli.

Kusema aligundua kuna Masanduku 3
Ni uwongo maana Amna kifaa kama hicho duniani

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini mzee,hebu ongeza nyama kidogo,maana karibu kila kitu kimeshaandaliwa...tunamsubiria mshirika mmoja tu akifika kazi ifanyike. So kama unauzoefu hebu tiririka kidogo.
Daaaah Ndugu Mali ya Mjerumani Haichimbwi na Excaveta Mkuu!!!
Hata siku Moja haijatokea na haitatokea.😳😳
 
Mfuate huyo huyo, kuna mjerumani mmoja alikujaga bongo ilikuwa 2015 akashuka na treni... Nilipo mcheki vizuri kwenye maonganishio ya supu na goti lake la kushoto palikuwa na ramani fulani.!
Sio kwamba ilikuwa ni tatoo mkuu? 😆
 
Asant boro 0[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeelewa sas mchezo wa hawa majamaa
 
Kwa nini mzee,hebu ongeza nyama kidogo,maana karibu kila kitu kimeshaandaliwa...tunamsubiria mshirika mmoja tu akifika kazi ifanyike. So kama unauzoefu hebu tiririka kidogo.
Ninyi Mmeandaa nini na nini Mkuu kwa ajili ya Kazi?
 
Hatujaanda kitu kikubwa sana zaidi ya pesa ya skaveta kiasi,maana kama ulifuatilia maelezo yangu kwenye uzi huu, kuna sehemu imekaa vibaya,kunajiwe lipo kama mtego....ndio tuliogopa kundelea kuchimba maana linaweza kushukia mtu humo shimoni likaleta maafa. Sasa hapo ndio pakufanyiwa kazi,kule chini tayari tupo pazuri....yule jamaa nilimpeleka ili kwanza kujua kama tupo sahihi, pili nini kilichopo labda humo ndani..na kama kuna njia zozote za giza zinazolinda mzigo huo. Kupima tu alisema laki 3, nilimkubalia na ningempa,ila baada ya kupima na kugundua hicho alicho kiona akatuomba tu tuwe share na pesa wala tusimpe..atafanya yake mzigo ukishakuwa wazi.

Sasa hapo sijui nimekosea wapi? Jamani....kunawatu humu wanaona kila kitu ni utapeli tu, nahisi mama zao walitapeliwa na baba zao ndio wakazaliwa,sasa kila kitu wanaona ni utapeli. Anyway wacha nitapeliwe...mrejesho hapahapa nitaleta.

sawa

sawa kiongozi kabla sijaeleza mengi tusubiri tuone utendaji wake lakini wakati wa hivyo excavetor inaenda jaribu kuwa makini na hilo jiwe maana Possible ni gate #1.
 
Tunaweza jadili inbox kupisha hawa watu wasioamini wenzao huku wakitaka wao ndio waaminiwe.

Back
Top Bottom