Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
laiti ungejua inapata kiasi gani kwenye haya maswala wala usingekuwa mtu wa ku critsize jumla jumla...... shida iliyopo mpaka sasa jamii kubwa haina elimu juu ya mali kale na Bahati mbaya jamii forum kila aliyejisajili humu ni Mjuaji sana hata kama ni mweupe juu ya jambo.Yani serikali inavyotafuta pesa, isigundue hizo Mali za mjerumani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuonyesheni hizo Mali mkishachimba tuone.. Hizi ni story tuu kama za popobawa...laiti ungejua inapata kiasi gani kwenye haya maswala wala usingekuwa mtu wa ku critsize jumla jumla...... shida iliyopo mpaka sasa jamii kubwa haina elimu juu ya mali kale na Bahati mbaya jamii forum kila aliyejisajili humu ni Mjuaji sana hata kama ni mweupe juu ya jambo.
zile ni Tunu na si kila mtu atakuwa na access nazo japo zipo.Tuonyesheni hizo Mali mkishachimba tuone.. Hizi ni story tuu kama za popobawa...
Acha kamba mkuu.
Ati huyo tapeli anaweza kukuonyesha zilipo?
Kama anaweza kwa nini asiende mwenyewe?
Pili anataka wewe uchimbe halafu muwe share?
Hadithi za kibaraza cha kahawa hizo!
Acha kamba mkuu.
Ati huyo tapeli anaweza kukuonyesha zilipo?
Kama anaweza kwa nini asiende mwenyewe?
Pili anataka wewe uchimbe halafu muwe share?
Hadithi za kibaraza cha kahawa hizo!
Pambana Mkuu usife Moyo na Kama umadhamiriwale ambaoa kupata ipo..,,Na kwa wale wenye kukukatisha tamaa ya kuwa kuna hali ya utapelo basi ni ile aina ya wale mara zote ni wale Wajinga wanaoenda na Mentalit Ya kupata pesa nyingi Bila kuwa na elimu ya fild HusikaNgoja nione hadi mwisho....! Tumeshapata kifaa cha kuchimba...nitaleta mrejesho hapa.
Na hy post sijalenga kumwibia wala kumtapeli mtu,ila kwa wanaoamini uwepo wa vitu hivyo ndio niliowakaribisha...kwa ushauri,maoni...kwa chochote.
Picha zakutosha ilitujue kama ni deal au utapeli.
Kusema aligundua kuna Masanduku 3
Ni uwongo maana Amna kifaa kama hicho duniani
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Daaaah Ndugu Mali ya Mjerumani Haichimbwi na Excaveta Mkuu!!!
Hata siku Moja haijatokea na haitatokea.😳😳
Sio kwamba ilikuwa ni tatoo mkuu? 😆Mfuate huyo huyo, kuna mjerumani mmoja alikujaga bongo ilikuwa 2015 akashuka na treni... Nilipo mcheki vizuri kwenye maonganishio ya supu na goti lake la kushoto palikuwa na ramani fulani.!
Ninyi Mmeandaa nini na nini Mkuu kwa ajili ya Kazi?Kwa nini mzee,hebu ongeza nyama kidogo,maana karibu kila kitu kimeshaandaliwa...tunamsubiria mshirika mmoja tu akifika kazi ifanyike. So kama unauzoefu hebu tiririka kidogo.
Ninyi Mmeandaa nini na nini Mkuu kwa ajili ya Kazi?
sawa kiongozi kabla sijaeleza mengi tusubiri tuone utendaji wake lakini wakati wa hivyo excavetor inaenda jaribu kuwa makini na hilo jiwe maana Possible ni gate #1.Hatujaanda kitu kikubwa sana zaidi ya pesa ya skaveta kiasi,maana kama ulifuatilia maelezo yangu kwenye uzi huu, kuna sehemu imekaa vibaya,kunajiwe lipo kama mtego....ndio tuliogopa kundelea kuchimba maana linaweza kushukia mtu humo shimoni likaleta maafa. Sasa hapo ndio pakufanyiwa kazi,kule chini tayari tupo pazuri....yule jamaa nilimpeleka ili kwanza kujua kama tupo sahihi, pili nini kilichopo labda humo ndani..na kama kuna njia zozote za giza zinazolinda mzigo huo. Kupima tu alisema laki 3, nilimkubalia na ningempa,ila baada ya kupima na kugundua hicho alicho kiona akatuomba tu tuwe share na pesa wala tusimpe..atafanya yake mzigo ukishakuwa wazi.
Sasa hapo sijui nimekosea wapi? Jamani....kunawatu humu wanaona kila kitu ni utapeli tu, nahisi mama zao walitapeliwa na baba zao ndio wakazaliwa,sasa kila kitu wanaona ni utapeli. Anyway wacha nitapeliwe...mrejesho hapahapa nitaleta.
sawa
sawa kiongozi kabla sijaeleza mengi tusubiri tuone utendaji wake lakini wakati wa hivyo excavetor inaenda jaribu kuwa makini na hilo jiwe maana Possible ni gate #1.
KaribuTunaweza jadili inbox kupisha hawa watu wasioamini wenzao huku wakitaka wao ndio waaminiwe.