Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

malikia balqiis

Senior Member
Joined
Apr 28, 2023
Posts
118
Reaction score
189
Jaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama mmeajiriwa, jitahidini kuwajali waume zenu. Wanatoka home rafu sana. Kuna mkaka namjua ameoa, na ndoa yake ya miaka mingi sana, mkewe ameajiriwa. Jamani, huyo baba anaenda kazini, nguo zimejikunja. Nguo zake ni nzuri, lakini hayupo smart. Unakuta shati zimejikunja, kavaa tu, hata hajali. Viatu vimejaa vumbi.

Jamani, mlioolewa, jitahidini kuwajali waume zenu hata kama mmeajiriwa. Wawekeni smart waume zenu, jamani. Inasikitisha sana. Huyo baba akipata michepuko msafi, akamfulia, akampa mapenzi moto, akampikia chakula kizuri, atahamia huko huko. Maana kila siku yeye ni kula chakula cha house girl, nguo anavaa hazilowekwi, kama zimetafunwa. Jamani, sijui kwanini watu wakiolewa wanajisahau. Wajali waume zenu, jamani.

Sasa huyo baba kwa jinsi anavyoishi, utasema hana mke. Ni huruma, kwa kweli. Embu wajali waume zenu waonekane smart. Mtu kaoa lakini mke hata kumuandalia nguo hapana, kumsafishia viatu mke hatimizi majukumu yake kama mke. Inasikitisha. Kuna mwingine yeye ni kulala tu, hana kazi ni mama wa nyumbani, lakini hata kufua nguo za wanae ni mtihani. Nyumba nzima inanuka mikojo na mavi ya watoto. Nepi za mavi anarundika siku mbili, nyumba inanuka uozo, na ni mke wa mtu. Ni mchafu sana. Wanaume wanavumilia mengi, jamani, yaani wanaume wanavumilia jamani hawasemi tu. Jamani, jamani, wake za watu ni wachafu sana, asilimia kubwa wanajisahau, wanabweteka. Hata kujiweka smart hawawezi. Yaani ni huzuni. Poleni sana wale wote mliooa wanawake wavivu.
 
Unakuta akiwa ni mchumba anapiga night dress kali na kabikini, akishapa ndoa analala na t-shirt ya CWT.
Yan ni wachafu mi nimeahuhudia kw watu wa Karibu yan acha ni huzuni wengine atankuoga mpknwalazimishwe na mume wakisha olewa wanajibweteka jmn wanaume wanavumilia mengi Sana Sasamtu ata kumnyooshea mume wake Shati awezu Uyo ni mwananke AU Mwanaume mwenzao?

Mambo ni mengi Sana Tena Uku mtaan kwetu wake za watu WaPo kama vizee wamechoka balaa WaPo Lafu sanaaa ndo mana wanaume wanakosa nguvu za kiume ata ungekua wewe unalala na MTU ananuka km beberu na nepi za Mavi ndan zinatema uozo azifuliwi zimetelekezwa TU we kuweza ata izo nguvu za kiume zinatokea wapi
 
Ku
Hawakufundwa....
Mwanamke alofundwa.akafundika.anajua majukumu yake....
Hawa viumbe wanahitaji matunzo kama.watoto..
na mtu amefundwa na ni mchafu mvivu vby Sana nepi za mavi anarundika siku mbili mpk Hali ya hewa inabadilika ndan na hajali wala Nn na ameolewa ndo mana waume zao wanakosa nguvu za kiume MTU kiukwel uchafu unakata stimu KBS ATA kama wanalea wajitahid Usafi bwana
 
Vipi we umeolewa...?
 
Unaonaje ukijinata kwake hata kwa wiki moja tu umuonjeshe akirudi kwa mkewe akasimulie
 
Kwa mara ya kwanza naona muandiko wa mwanamke jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…