Wajibu wa wanawake walioolewa katika kutunza familia na waume zao

Hilo la upendelea Kila siku linashamiri....
Sjui wanataka nn hao wanaojipendekeza...
Kweli kabisa na ndio maana waafrika wengi hamna wanachokiweza cha maana , sasa ma juzi nimepigwa ban hata kosa silijui huku yeye anatukana kila anavyojisikia mpaka inbox ananifuata
 
Bhana kwani hujui nawe...?
Kama ni kitchen party ninachojuwa mnakwenda kutunzana vyombo tu, je mnafundwa wapi?

Zamani kulikuwa na jando na unyago, sasa hivi hakuna, hivi Kajala atamfunda nini binti yake? Kudanga?
 
Siku chache kabla ya kuolewa inabidi ufundwe..hiyo ya kitchen part ni Kwa ajili ya kufurahishana tu na kutunzwa vitu ila hakuna (ga) mafunzo yyte..
 
Kama ni kitchen party ninachojuwa mnakwenda kutunzana vyombo tu, je mnafundwa wapi?

Zamani kulikuwa na jando na unyago, sasa hivi hakuna, hivi Kajala atamfunda nini binti yake? Kudanga?
Tunafundwa na kungwi dear ndani Sio nnje kw sisi wqislam binti akikaribia kufunga ndoa anafundwa vzr KBS na mama MTU mzima wa kiuitwa kungwi kuanzia Usafi ,jinsi ya kumuhudumia na kumjali mume ,heshima ,tabia njema mahaba NK
 
Mume akiyumba kipesa kidogo mafunzo yote yanayeyuka.
 
Back
Top Bottom