Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁 sijasema sitakiKama hutaki kuoa mwalimu at least ungekausha tu...siyo kutunyamba hadharani hivi🙄 fk u
🙄😁😁😁 sijasema sitaki
Tena walimu wengi ni ma wife material mno😊
Hapo umenifurahisha🥴Tena walimu wengi ni ma wife material mno😊
Huna lolote unataka kuungwa mkono na Wanaume tu apa.Jaman baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau Sana ...unakuta mchafuuu ananuka jashooo aogi kw wakati ata kufua kwake ni mtihan kuna awa wake za watu walioajiriwa jaman ata kma ammeajiriwa jitahidini kuwajali waume zenu wanatoka home Rafu sanaaa kuna Mkaka namjua Ameoa ja NDoa. Yake ya miaka Mingi Sana mkewe ammeajiriwa jaman Uyo baba anaenda kazini nguo zimejikunja nguo zake ni mzuri Lakn ayupo smart unakuta Shati zimejikunja kavaaa TU ata ajali viatu vimejaa vumbi jaman mlio olewa jitahidini kuwajali waume zenu ata km mmejiriwa wawekeni smart waume zenu jaman inasikitisha Sana Uyo baba akipata michepuko msafi akamfulia akampa mapenz moto akampikia chakula kizuri atahamia uko uko mana kila siku yeye ni kula chakula cha housegal nguo anavaa azielrwek km zimetafunwa jMN sijui kwnn watu wakiolewa wanajisahau wajalini waume zenu jaman Sasa Uyo baba kw jin's anavo ishi utasema hana mke ni huruma kwakweli embu wajalini waume zenu waonekane smart MTU kaoa lkn mke ata kumuandalia nguo apana kumsafishia viatu mke atimizi majukumu yake kama mke yan inasikitisha kuna mwingine yeye ni kulala TU hana Kazi ni mama WA nyumban lkn ATA kufua nguo za wanae ni mtihani nyumba nzima inanuka mikojo na Mavi ya watoto nepi za Mavi anarundika siku mbili nyimba inanuka uozo na ni mke wa MTU ni mchafu Sana wanaume anavumilia mengi Jaman yan wanaume wanavumilia Jaman awasemi tuuuu Jaman Jaman wake za watu ni wachafu sanaaa asilikia kubwaa wanajisahau wanabweteka ata kujiweka smart awawez yan ni huzuni poleni sana wale wote mliooa wanawake wavivu
🤣🤣🤣Huna lolote unataka kuungwa mkono na Wanaume tu apa.
Yani uwe Mchafu na rafu lawama ziende kwa Mke tena.
SawaHuna lolote unataka kuungwa mkono na Wanaume tu apa.
Yani uwe Mchafu na rafu lawama ziende kwa Mke tena.
Wangu Toka aoe hata kikombe hasogezi😅.hivi mnafanyaga makusudi au..?Kweli!
Ila wanaume wengine tuko wabishi sana na hili...
Alishawahi kuwa nae kasema..Unatamani na wewe ungekuwa na mume umjali hadi basi.......ndo hivyo lakini
You can read between the linesUnatamani na wewe ungekuwa na mume umjali hadi basi.......ndo hivyo lakini
dah! hizi ndoa hiziUnakuta akiwa ni mchumba anapiga night dress kali na kabikini, akishapata ndoa analala na t-shirt ya CWT.
Ndio hapo yaaniUsafi na usmart ni tabia ya mtu binafsi, hayo ya mke kuchangia ni ziada tu. Kwahiyo unataka kusema ambao hawajaoa wanapaswa kuwa rafu kwa sababu hawana wake wa kuwafanyia?
Tuanzie hapa kwanza kabla hatujafika kuleeeVipi we umeolewa...?