Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Tunasema kimeumana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
InterestingJaman, baadhi ya wanawake walioolewa wanajisahau sana. Unakuta mchafu, ananuka jasho, haogi kwa wakati, hata kufua kwake ni mtihani. Kuna hawa wake za watu walioajiriwa, jamani, hata kama mmeajiriwa, jitahidini kuwajali waume zenu. Wanatoka home rafu sana. Kuna mkaka namjua ameoa, na ndoa yake ya miaka mingi sana, mkewe ameajiriwa. Jamani, huyo baba anaenda kazini, nguo zimejikunja. Nguo zake ni nzuri, lakini hayupo smart. Unakuta shati zimejikunja, kavaa tu, hata hajali. Viatu vimejaa vumbi.
Jamani, mlioolewa, jitahidini kuwajali waume zenu hata kama mmeajiriwa. Wawekeni smart waume zenu, jamani. Inasikitisha sana. Huyo baba akipata michepuko msafi, akamfulia, akampa mapenzi moto, akampikia chakula kizuri, atahamia huko huko. Maana kila siku yeye ni kula chakula cha house girl, nguo anavaa hazilowekwi, kama zimetafunwa. Jamani, sijui kwanini watu wakiolewa wanajisahau. Wajali waume zenu, jamani.
Sasa huyo baba kwa jinsi anavyoishi, utasema hana mke. Ni huruma, kwa kweli. Embu wajali waume zenu waonekane smart. Mtu kaoa lakini mke hata kumuandalia nguo hapana, kumsafishia viatu mke hatimizi majukumu yake kama mke. Inasikitisha. Kuna mwingine yeye ni kulala tu, hana kazi ni mama wa nyumbani, lakini hata kufua nguo za wanae ni mtihani. Nyumba nzima inanuka mikojo na mavi ya watoto. Nepi za mavi anarundika siku mbili, nyumba inanuka uozo, na ni mke wa mtu. Ni mchafu sana. Wanaume wanavumilia mengi, jamani, yaani wanaume wanavumilia jamani hawasemi tu. Jamani, jamani, wake za watu ni wachafu sana, asilimia kubwa wanajisahau, wanabweteka. Hata kujiweka smart hawawezi. Yaani ni huzuni. Poleni sana wale wote mliooa wanawake wavivu.
Amiiyn amiiyn napokea dua Zako njemamalikia balqiis Mimi nimekuelewa kwa namna nyingine, nakuombea upate mume mzuri atakayekuwa size yako, akufurahishe na akusaidie kwenye upweke.
karibu tuyajenge
Utavuka ila kwa muda muafaka.Amii
Amiiyn amiiyn napokea dua Zako njema
Tani ndo ivo na wanawake wavivu wotee wamenijia juuu km moto WA kifuuu awajui ayo yote ni majukumu ya mke kumuweka nadhifu mumewe wanaona wanaonewaWanawake wenyewe hawa viburi hivyo, wataelekezwa nini wasikie unadhani..?
asante Sana ndugu nimefurahi sana kw kuninenea mema ubarikiwe nawe piaaUtavuka ila kwa muda muafaka.
Nashukuru kwa sote.As
asante Sana ndugu nimefurahi sana kw kuninenea mema ubarikiwe nawe piaa
Kudeka tu mwana...🤣😅😆Wangu Toka aoe hata kikombe hasogezi😅.hivi mnafanyaga makusudi au..?
Yank kabla hajanioa aliniahidi atakuwa anaosha Hadi vyombo..na kupika kabisa 😅😅Kudeka tu mwana...🤣😅😆
Kuna comments yako sijui ulisema ukweli au laa ila ilinifanya nikuheshimu sana
Ya kwamba uliolewa ukiwa bikraIpii..?
Mmm...hamna...ila mume wangu ndo aliyeiyeiyeitoa siku chache kabla hajanioa🥲Ya kwamba uliolewa ukiwa bikra
Ni vizuri sana maana ni yeye mwenye mali alieitoa, tofauti na hawa tunaokutana nao mpaka anaolewa ameisha tumika na watu 20+Mmm...hamna...ila mume wangu ndo aliyeiyeiyeitoa siku chache kabla hajanioa🥲
Yeah hata na heshima inakuwepo....Ni vizuri sana maana ni yeye mwenye mali alieitoa, tofauti na hawa tunaokutana nao mpaka anaolewa ameisha tumika na watu 20+
Na mimi Nimewaza hivyo ila umewapa heshima kubwa sana wazazi wako, 😌😌 kama unamdogo wako wa kike nifanyie mpango basi najua na yeye atakua kama weweYeah hata na heshima inakuwepo....
Japo Kuna muda yanamtoka maneno anasema...nsingekuoa ingekuwaje.. na nshakutumia😅😅
All in all nashukuru mungu tu
Oops 🥺🥺Na mimi Nimewaza hivyo ila umewapa heshima kubwa sana wazazi wako, 😌😌 kama unamdogo wako wa kike nifanyie mpango basi najua na yeye atakua kama wewe