Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimbo liko wazi bi dada?Mi kw Sasa sijaolewa Ila nishawai kuoleewa mume alifariki
Ni ajabu yani utoke shati limejikunja kisa mke hajanyoosha na umeme upo, pasi ipo.Ndio hapo yaani
Anajaribu kumuelezea mwanaume kilema
Asiyeweza hata nyoa ndevu zake
Safi😉Ni ajabu yani utoke shati limejikunja kisa mke hajanyoosha na umeme upo, pasi ipo.
Kabla hajakuoa anapiga kampeniWangu Toka aoe hata kikombe hasogezi😅.hivi mnafanyaga makusudi au..?
Hata watoto wataiga hayo hayo wanayoyashuhudia, haya mambo ya kutegemea mke/mama ndio afanye kila kitu ni shida sana.Safi😉
Inachekesha SanaNi ajabu yani utoke shati limejikunja kisa mke hajanyoosha na umeme upo, pasi ipo.
Kuna watakaoacha kuoga wanuke alafu waseme ni wake zao😂Inachekesha Sana
Tuassume upon jeshini afsa
Umeenda Na Ile suti yao imejikunja unaulizwa Na mkuu unasema mke Wangu hajanyoosha
Aiseee kila mtu Na namna anavyoyatizama Maisha
Ila kama unapenda kuwa smart,mke wako Ni kipeuo tu
Mm Bado hatujajaliwa mtoto...Kabla hajakuoa anapiga kampeni
Atadeki hadi nyumba
Mi nachoshukuru Mungu nasemaga sijui kunyoosha nguo za kiume
Hiyo ndo imebaki shuhuki yake pekee,Ila nashukuru Mungu pamoja Na madhaifu ya mume Wangu ananisaidia Sana watoto,kuanzia kuwalisha kuwaogesha Na yeye mwenyewe kujiweka Safi
Nashauri vijana wapitie jkt hakiyanani
🤣🤣🤣 Wenzio wanavumilia TU my diaaa
NiHata watoto wataiga hayo hayo wanayoyashuhudia, haya mambo ya kutegemea mke/mama ndio afanye kila kitu ni shida sana.
Kuna mzee yeye hata chooni akienda haja hasafishi, anatoka mkewe au watoto ndio wasafishe. 😬
kawaida kabla ya ndoa ni kampeniMm Bado hatujajaliwa mtoto...
Ndoa changa ila mmm
😅😅
SahihiKuna watakaoacha kuoga wanuke alafu waseme ni wake zao😂
Mke ana majukumu yake sikatai ila usafi wa mwili, mavazi na unadhifu wa mtu unachangiwa pakubwa sana na yeye mwenyewe.
Katika watu wachafu ni wa huko JKT sasa kama hujui...Tukiwa JKT kulala na Mabuti ninkawaida alafu yana matope.Kabla hajakuoa anapiga kampeni
Atadeki hadi nyumba
Mi nachoshukuru Mungu nasemaga sijui kunyoosha nguo za kiume
Hiyo ndo imebaki shuhuki yake pekee,Ila nashukuru Mungu pamoja Na madhaifu ya mume Wangu ananisaidia Sana watoto,kuanzia kuwalisha kuwaogesha Na yeye mwenyewe kujiweka Safi
Nashauri vijana wapitie jkt hakiyanani
Kuna comments yako sijui ulisema ukweli au laa ila ilinifanya nikuheshimu sanaMm Bado hatujajaliwa mtoto...
Ndoa changa ila mmm
😅😅
Ndio lipo wazi KBS Halina mbunge 🤣Jimbo liko wazi bi dada?
karibu tuyajengeNdio
Ndio lipo wazi KBS Halina mbunge
😂 bado nasisitiza usafi na usmart ni suala binafsi.Sahihi
unaacha nywele za sirini ukiinua mkono zinatokeza kama umeekabana kama panya kwapani
Alafu unasema hii yote ni mke wangu
Kuna wengine vijana hawajaoa ila eeeee
Unatakiwa kusaidiana kusafisha nyunba na miili yenu Sio mwanamke kila kitu
Apikie watoto,aandae waende Shule ajiandae yeye kwenda kazini Na bado amuandae mume????? Hugo mwanaume hata pasi nguo zake hawezi?
Hata kubrash viatu???
Hapo hapo umesema wananuka
Wananuka coz unatake care nyumba watoto,mifugo Na mume ambae hawezi jifanyia lolote kama kilema hivi hata hiyo hamu ya kujitake care inatoka wap??
Wanaume wasaidizane Na wake zahousegirl ndo anafanya tote ayo Sio Uyo mke
Hujaelewa Mada we Uyo mke anaenda kazn tu Kazi zingune zote anafanya housegirl sikuiz madhouse girl ndo wanafanya majukumu ya NDoa Sio ao wake zenu unao watetea na pia ni jukumi la mke kumjali mumewe ndo mana akaolewa ili aende kumcare mumeUnatakiwa kusaidiana kusafisha nyunba na miili yenu Sio mwanamke kila kitu
Apikie watoto,aandae waende Shule ajiandae yeye kwenda kazini Na bado amuandae mume????? Hugo mwanaume hata pasi nguo zake hawezi?
Hata kubrash viatu???
Hapo hapo umesema wananuka
Wananuka coz unatake care nyumba watoto,mifugo Na mume ambae hawezi jifanyia lolote kama kilema hivi hata hiyo hamu ya kujitake care inatoka wap??
Wanaume wasaidizane Na wake zao