Wajinga ndio waliwao, aisee Simba ni mbumbumbu

Wajinga ndio waliwao, aisee Simba ni mbumbumbu

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Aisee katika klabu mbumbumbu ni Simba yaani Kibu Denis msimu uliopita alifunga goli Moja yenyewe yakakurupuka yakampa mkataba na million 400 baada ya kusikia Yanga wanamhitaji.

Kilichofuatia ni kilio unaambiwa Kibu hayupo nchini yupo zake Norway ameomba ukimbizi amekimbilia huko na kasema yeye ni Mkongo kwahiyo yupo kama mkimbizi amekimbia vita ya Kongo.

Hii inaitwa wajinga ndio waliwao
 
Back
Top Bottom