Wajinga ndio waliwao huu ni uthibitisho kwa Simba, Rage huna baya

Mjinga ni mtu anayetumia muda wake kujadili watu anaodhani ni wajinga.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ujinga tu na upumbavu club kubwa kama Simba ni kivipi ichangishe hela ndogo kama Dola 40,000, wa Tanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndiomaana mambo Kama haya yanafanyika na watu hawahoji, huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
Haya ni mahitaji ya sisi washabiki na wanachama..club imezingatia matakwa ya watu wake .CS Sfaxen mbona walinunuabtiketi zote na uwanjani hawakuingia
 
Huu ni ujinga tu na upumbavu club kubwa kama Simba ni kivipi ichangishe hela ndogo kama Dola 40,000, wa Tanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndiomaana mambo Kama haya yanafanyika na watu hawahoji, huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
Ujinga na upumbavu ni kuwashwa na pili pili anayokula mtu mwingine

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Reactions: Tui
Huu ni ujinga tu na upumbavu club kubwa kama Simba ni kivipi ichangishe hela ndogo kama Dola 40,000, wa Tanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndiomaana mambo Kama haya yanafanyika na watu hawahoji, huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
Wanachama na wapenzi wa Simba ndio wameleta wazo la kuchangia klabu na viongozi wakakubali. Kwani kosa lilifanywa na mashabiki hivyo ni namna yao ya kuonyesha uwajibikaji.
Cha kushangaza unaumia wewe usiehusika kutoa hata shillingi 1.
Huo ndio upumbavu na unafiki kuingilia yasiyokuhusu.
Mind your fucking business wacha ku comment visivyokuhusu.
 
Huu ni ujinga tu na upumbavu club kubwa kama Simba ni kivipi ichangishe hela ndogo kama Dola 40,000, wa Tanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndiomaana mambo Kama haya yanafanyika na watu hawahoji, huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
Una account kwenye X au Insta au Fb? Simba waliweka taarifa ila followers wakaweka maoni wenyewe ndio sababu ya simba kuja ni hii hoja. Wala haikuwa dhana yao kuchangisha. Shida inakuja nyie wa upande wa pili kwa kuwa hampo ktk hizo kurasa hata hamjuii sababu ya timu kufikia uamuzi huo.
 
Reactions: Tui
Wajinga ndio mliwao Nenda katume pesa wewe🤣🤣🤣
 
Wewe ndio mpumbavu wa kutaka kila mtu afuate unavyotaka wewe.Kuchanga nichange mimi kuumia na kulalamika ulalamike wewe!.Huoni una matatizo ya akili?Tokea lini ukawa mke wangu ukafikia kunishauri kuhusu matumizi ya pesa zangu?
 
Acheni wivu..hela zetu mnaleta upang'ang'a
 
Wewe ndio mpumbavu wa kutaka kila mtu afuate unavyotaka wewe.Kuchanga nichange mimi kuumia na kulalamika ulalamike wewe!.Huoni una matatizo ya akili?Tokea lini ukawa mke wangu ukafikia kunishauri kuhusu matumizi ya pesa zangu?
Jibu limetosha labda nichomeke kwenye subwoofer asikie vzr....
Wana wivu kila jambo...
Sisi ndo Simba sisi ndo mashabiki bora
 
Reactions: Tui
Huu ni ujinga tu na upumbavu club kubwa kama Simba ni kivipi ichangishe hela ndogo kama Dola 40,000, wa Tanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo ndiomaana mambo Kama haya yanafanyika na watu hawahoji, huu ni upumbavu wa kiwango cha lami
Unateswa na mwiko wako nyuma mpaka mnaiba na kuku za watu
 
Wewe ndio mpumbavu wa kutaka kila mtu afuate unavyotaka wewe.Kuchanga nichange mimi kuumia na kulalamika ulalamike wewe!.Huoni una matatizo ya akili?Tokea lini ukawa mke wangu ukafikia kunishauri kuhusu matumizi ya pesa zangu?
Anaumizwa na ule mwiko wao kule nyuma
Wezi wa kuku fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…