Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Bado natafakari wanaodhani kuwa kinachoendelea Huko Urusi ati kitaangusha utawala wa Putin. Kwa kweli Akili zao hawazitumii vizuri. Na macho Yao nafikiri hayaoni wala kujua Dunia inaendeshwaje.
Hivi kama Urusi imechukua miaka miwili kutaka kuangusha utawala wa Comedian Zelensky ndio hichi kikundi kiangushe utawala wa Urusi.
Kuangusha utawala wa Al Asady pale Syria huu ni Mwaka wa 12 tangu Mwaka 2011.
Hata kama ni ushabiki lakini usiwatie vipofu.
Masaa 48 kuanzia leo yaani Jumatatu hapa tutazungumza ishu nyingine
Tusifikiri Russia ni kama nchi zetu