Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Hana tofauti na mshabiki ambaye anasubiria mpira uishe ndo anaisifia timu yake iliyoshinda kwa mbinde😄 Jamaa anataka kuonekana brained kwenye low IQ issues kama hiki kilichotokea.
Yaani watu wanaangalia safari ya Wagner na source ya huu uasi wao yeye analeta blah blah ahahahaaaa...