Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Sikujua kama mrusi no dhaifu hivi!!
Wengi tumekuwa na mtazamo kama huu leo. Lakini NATO, Marekani na Ukraine ndio wanamajibu yote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua kama mrusi no dhaifu hivi!!
Warusi wa Kwa mtogole mnashida!?Hayo matukio ya kutengeneza. Yanaingiza mkenge wajinga
Mnajifariji na Mungu wenu puttin ila ukweli ni kwamba jesh lake nni la hovyoHili tukio la uasi wa Wegner na kurudi kwenye mstari linaonyesha umwamba wa Putin.
Tukiwa na ww au.Hivi huwaga mnaota !??
Eti siasa za vita [emoji3]Hiyo mbona ilikuwa Ipo wazi matokeo yangekuwa hivi Mkuu.
Hiyo ni Michezo ya Siasa za vita.
Alafu hakukuwa na Pande mbili
Nakushauri uangalie hata Wikipedia kuhusu Wagner Group. Na shuguli zao tangu 2014, kisha utaona kwanini kidogo imeweza kuwa rahisi kwao kufanya hivyo.Lakini kama unaamini Russia ni wepesi kijeshi, jiulize kwanini Ukraine na allies wake hawajaenda moja kwa moja kumng'oa Putin.Kama kikundi Cha mamluki kimeweza kuvuka mpaka,wakateka kituo Cha kijeshi,wakafika 200km from Moscow!
Putin ilibidi aombe msaada wa beralus,ili kupatanisha,
Putin amehaibishwa,udhaifu umeonekana,hata kama hata ngolewa Leo,it's a matter of time
Eti siasa za vita [emoji3]
Putin akiamua kuwakanyagia Ukreine kwa uhakika kabisa ,Dunia italalama.Mnajifariji na Mungu wenu puttin ila ukweli ni kwamba jesh lake nni la hovyo
Umeandika uzi muda ambao tiyari inaonekana Wagner hawafanyi movement na wapo wanafanya negotiations. Kisha ukasema unatoa masaa 48. Uzi wako ungeandikwa jana, au leo saa moja asubuhi ingekuwa umefanya analysis kwa akili yako, hapa sasa ulichofanya ni umefanya observation na baada ya tukio ukasema kitu ambacho obvious kitatokea na hata kilaza ataona hivyo hivyo ulivyoona.Kwema Wakuu!
Bado natafakari wanaodhani kuwa kinachoendelea Huko Urusi ati kitaangusha utawala wa Putin. Kwa kweli Akili zao hawazitumii vizuri. Na macho Yao nafikiri hayaoni wala kujua Dunia inaendeshwaje.
Hivi kama Urusi imechukua miaka miwili kutaka kuangusha utawala wa Comedian Zelensky ndio hichi kikundi kiangushe utawala wa Urusi.
Kuangusha utawala wa Al Asady pale Syria huu ni Mwaka wa 12 tangu Mwaka 2011.
Hata kama ni ushabiki lakini usiwatie vipofu.
Masaa 48 kuanzia leo yaani Jumatatu hapa tutazungumza ishu nyingine
Tusifikiri Russia ni kama nchi zetu
Rais wa belarus ndo ameokoa jahaziSikujua kama mrusi no dhaifu hivi!!
Aamue anasubiri nin sasaPutin akiamua kuwakanyagia Ukreine kwa uhakika kabisa ,Dunia italalama.
Warusi wa Kwa mtogole mnashida!?
Ndo maana nikamwambia anafosi aonekane anaupeo mkubwa kumbe hakuna maajabu yeyote yale aliyaongea kwenye uzi wakeUmeandika uzi muda ambao tiyari inaonekana Wagner hawafanyi movement na wapo wanafanya negotiations. Kisha ukasema unatoa masaa 48. Uzi wako ungeandikwa jana, au leo saa moja asubuhi ingekuwa umefanya analysis kwa akili yako, hapa sasa ulichofanya ni umefanya observation na baada ya tukio ukasema kitu ambacho obvious kitatokea na hata kilaza ataona hivyo hivyo ulivyoona.
Ni sawa na timu kubwa imeshafunga goli tatu bila, wako dakika ya 70 alafu unatabiri itachukua ushindi.
ngoja nimpigie nimuulize.Aamue anasubiri nin sasa
Aamue anasubiri nin sasa
Kwani uasi uliotishia kumtoa mwalimu Nyerere madarakani ulianzaje ?[emoji23][emoji23]
Sasa nini hiki walichokifanya kututia presha siku nzima tangu Jana.
Alafu mapinduzi gani ya vile, au uasi gani wa vile. Kimsingi wengi tuliachwa Njia panda,
pro-Nato leo ilikuwa siku nzuri kwao[emoji23][emoji23]
Alafu huwez amin mim siku hata na upande nilikua nasubiria mwisho wake😂😂
Leo mngewalaza na viatu Warusi wa kibondo.
Mchana wote hoi
Umeandika uzi muda ambao tiyari inaonekana Wagner hawafanyi movement na wapo wanafanya negotiations. Kisha ukasema unatoa masaa 48. Uzi wako ungeandikwa jana, au leo saa moja asubuhi ingekuwa umefanya analysis kwa akili yako, hapa sasa ulichofanya ni umefanya observation na baada ya tukio ukasema kitu ambacho obvious kitatokea na hata kilaza ataona hivyo hivyo ulivyoona.
Ni sawa na timu kubwa imeshafunga goli tatu bila, wako dakika ya 70 alafu unatabiri itachukua ushindi.