Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Umeendaa uzi baada ya pande mbili kukubaliana na kusitisha walichokuwa wanafanya halafu unajiona umeongea point au unaakili sanaKwema Wakuu!
Bado natafakari wanaodhani kuwa kinachoendelea Huko Urusi ati kitaangusha utawala wa Putin. Kwa kweli Akili zao hawazitumii vizuri. Na macho Yao nafikiri hayaoni wala kujua Dunia inaendeshwaje.
Hivi kama Urusi imechukua miaka miwili kutaka kuangusha utawala wa Comedian Zelensky ndio hichi kikundi kiangushe utawala wa Urusi.
Kuangusha utawala wa Al Asady pale Syria huu ni Mwaka wa 12 tangu Mwaka 2011.
Hata kama ni ushabiki lakini usiwatie vipofu.
Masaa 48 kuanzia leo yaani jumatatu hapa tutazungumza ishu nyingine
Tusifikiri Russia ni kama nchi zetu
Umeendaa uzi baada ya pande mbili kukubaliana na kusitisha walichokua wanafanya alafu unajiona umeongea point au unaakili sana
Anaweza kushindwa lakini sio Kwa namna kama hiiNamuombea Putin mafanikio mema kila uchao
Ipo wazi wapi acha uongo na kutaka cheap popularityHiyo mbona ilikuwa Ipo wazi matokeo yangekuwa hivi Mkuu.
Hiyo ni Michezo ya Siasa za vita.
Alafu hakukuwa na Pande mbili
Wagner walikengeuka wakaaza kuelekea moscova....wamepata mashambulizi kazaa ya angaa nazan wameona hawatatoboa...
Ipo wazi wapi acha uongo na kutaka cheap popularity
Hakuna aliyekua anajua nin kitatokeaKwa hiyo Kwa Akili yako ulifikiri kilichokiaa kinaendelea kilikuwa Halisi?
Sio chief hangaya?Namuombea Putin mafanikio mema kila uchao
Hakuna aliyekua anajua nin kitatokea
In short hakuna ajuaye kesho
Acha kutaka sifa za kishamba
Kama kikundi Cha mamluki kimeweza kuvuka mpaka,wakateka kituo Cha kijeshi,wakafika 200km from Moscow!
Putin ilibidi aombe msaada wa beralus,ili kupatanisha,
Putin amehaibishwa,udhaifu umeonekana,hata kama hata ngolewa Leo,it's a matter of time
hauna tofauti na msukuma baada ya kuona kaongwa li v8 kavaa kanzu kujitetea kuwa waarabu wajamuonga
Huu uzi angeandaa kabla ya wagner kuretreat angeonekana ana akili na aliona mbali, ila anaandaa uzi baada ya ceasefire alafu anataka kuchukua credit kwa kitu ambacho kipo obvioushauna tofauti na msukuma baada ya kuona kaongwa li v8 kavaa kanzu kujitetea kuwa waarabu wajamuonga
Weka ushahidi usio na shaka hapa kua msukuma kahongwa v8 au msukuma umemjua kwenye hii issue ya Bandari tu?hauna tofauti na msukuma baada ya kuona kaongwa li v8 kavaa kanzu kujitetea kuwa waarabu wajamuonga