Wajinga ndio wanadhani utawala wa Putin utaanguka

Huu uzi angeandaa kabla ya wagner kuretreat angeonekana ana akili na aliona mbali, ila anaandaa uzi baada ya ceasefire alafu anataka kuchukua credit kwa kitu ambacho kipo obvious

Wewe ndio huelewi.
Unadhani kila MTU anaandika aonekane anaakili au apate Credit.
Wapo walishasema humu kuwa mpaka jumatatu mtaelewa kuwa kinachoendelea ni kitu gani. Wajinga mkaishia kulaghaiwa kijinga
 


Bro kwa haya ya hawa Wahuni, Putin anaenda aisee, Bila Putin hii dunia haina raha, kweli nasikitika
 
Kuangusha utawala wa Putin wasingeweza. Ila kwa akili ya kawaida hili tukio la hawa wahuni wa wagner walichofanya kina maanisha nini?
 
kha! Usiuanguke umekuwa utawala wa Mungu acha ushabiki hadi unakufuru!, dikteta yeyote lazma mwisho wake mbaya soma historia hakuna jipya.

Kwa namna ile ni ngumu Sana Mkuu.
Hata Mimi Mchana nilikuwa bado ninawasiwasi 50/50 Ila kila dalili zilionyesha ni Ujanjaujanja.
Yaleyale ya Drone kulipua Ikulu😂
 
Ipo wazi wapi acha uongo na kutaka cheap popularity
😄 Jamaa anataka kuonekana brained kwenye low IQ issues kama hiki kilichotokea.

Yaani watu wanaangalia safari ya Wagner na source ya huu uasi wao yeye analeta blah blah ahahahaaaa...
 
Ufalme ukifitinika hausimami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…