Wajinga ndio wanadhani utawala wa Putin utaanguka

Kama kikundi Cha mamluki kimeweza kuvuka mpaka,wakateka kituo Cha kijeshi,wakafika 200km from Moscow!
Putin ilibidi aombe msaada wa beralus,ili kupatanisha,
Putin amehaibishwa,udhaifu umeonekana,hata kama hata ngolewa Leo,it's a matter of time
Nakushauri uangalie hata Wikipedia kuhusu Wagner Group. Na shuguli zao tangu 2014, kisha utaona kwanini kidogo imeweza kuwa rahisi kwao kufanya hivyo.Lakini kama unaamini Russia ni wepesi kijeshi, jiulize kwanini Ukraine na allies wake hawajaenda moja kwa moja kumng'oa Putin.
 
Umeandika uzi muda ambao tiyari inaonekana Wagner hawafanyi movement na wapo wanafanya negotiations. Kisha ukasema unatoa masaa 48. Uzi wako ungeandikwa jana, au leo saa moja asubuhi ingekuwa umefanya analysis kwa akili yako, hapa sasa ulichofanya ni umefanya observation na baada ya tukio ukasema kitu ambacho obvious kitatokea na hata kilaza ataona hivyo hivyo ulivyoona.

Ni sawa na timu kubwa imeshafunga goli tatu bila, wako dakika ya 70 alafu unatabiri itachukua ushindi.
 
Ndo maana nikamwambia anafosi aonekane anaupeo mkubwa kumbe hakuna maajabu yeyote yale aliyaongea kwenye uzi wake
 
[emoji23][emoji23]
Sasa nini hiki walichokifanya kututia presha siku nzima tangu Jana.
Alafu mapinduzi gani ya vile, au uasi gani wa vile. Kimsingi wengi tuliachwa Njia panda,
pro-Nato leo ilikuwa siku nzuri kwao[emoji23][emoji23]
Kwani uasi uliotishia kumtoa mwalimu Nyerere madarakani ulianzaje ?
 
Hili la wegner limeletwa na ccm ili kuzima ishu za bandari na dp world shtukeni jmn
 

Yeah! Nilikuwa nafuatilia BBC hapa. Waliposema tuu wameagiza vikosi virudi kambini na pia hataki umwagaji wa damu ndio nikaja mbiombio humu.

Sasa turudi kwenye uhalisia ambao hata ningeandika mada hii Jana au kesho. Kundi la Wagner linauwezo WA kuangusha utawala wa Putin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…