Wajinga ndio wanadhani utawala wa Putin utaanguka

πŸ˜„ Jamaa anataka kuonekana brained kwenye low IQ issues kama hiki kilichotokea.

Yaani watu wanaangalia safari ya Wagner na source ya huu uasi wao yeye analeta blah blah ahahahaaaa...
Hana tofauti na mshabiki ambaye anasubiria mpira uishe ndo anaisifia timu yake iliyoshinda kwa mbinde
 
Alafu huwez amin mim siku hata na upande nilikua nasubiria mwisho wake
Mim sio kama wewe ambaye unatafuta cheap popularity

Hukuwa na upande Kwa sababu hiki kilichotokea?
Unafikiri kila MTU anatafuta umaarufu? Au kisa nimetumia ID halisi? Mada hii ningeianzisha Kwa I'd fake ungesema ulichokisema? πŸ˜€
 
Kumbikumbi mmeanza kutoka kwenye vichuguu
 
Nahisi huu no mtego kwa askari walioko vitani wale wa Ukraine.ilimjue watu wametoka front line matokeo nikupigwa ambush.
Pili unapo ambiwa Wagner wamevuka mpaka na kuingia Russia unatakiwa ujiulize kwani Wagner wanatokea taifa gani na makao makuu yao yako wapi jibu yapo Russia so unakuja kujua kuwa wanarudi nyumbani.
 
Huu ni udhaifu wa putini,haiwezekani ugomvi wa maswahiba zake kufanya kuwa ugomvi wa kitaifazalitakiwa awaits awasurhishe siku nyingi
 
Sina imani tena na Russia, kitendo cha kundi la wafungwa waliofunguliwa na mchanganyiko wa vibaka wenye silaha kutembea mamia ya kilomita bila upinzani ni dalili mbaya ya Russia kijeshi. Wagner wao wenyewe hawawezi ipindua serikali, support kutoka jeshini, polisi na usalama ndio ingeleta mabadiliko. Au trigger kutoka Wagner, hata bila support yao ingeleta matokeo tofauti.

Sasa kama ingekuwa jeshi halisi ingekuwaje.
 
Active combatant hatoki eneo la deployment bila ruhusa, aachi eneo aliloteka vitani na kurudi nyumbani kuzurula mjini, halipui helikopta za jeshi lake, halipui ndege, havunji vizuizi barabarani, hateki makao makuu ya kundi la jeshi lake, kamanda wake hatukani jeshi na Rais na Waziri wa Ulinzi na mkuu wa majeshi.
Hakuna mtego hapo, ni udhaifu wa superpower uchwara. Hata jeshi la Congo misituni wale wavaa yeboyebo hawafanyi hivyo
 
Mkuu huwa nasoma baadhi ya posts zako uko vizuri sana kwenye mambo ya majeshi, kama hutojali ningependa kujua wewe ni mwanajeshi na kama siyo je unapenda kuwa mwanajeshi, au ni unapenda tu kufuatilia hivyo vitu
 
Nahisi Wagner wamevurugwa na vita.. wajeda wanapo toka vitani vichwa vinakuwa moto sana
Hao hawawezi kumuondoa Putin ndio kawalea. Kulikuwa na changamoto wanataka kuzi address kwenye serikali ya Putin ila washawekana sawa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa nini hiki walichokifanya kututia presha siku nzima tangu Jana.
Alafu mapinduzi gani ya vile, au uasi gani wa vile. Kimsingi wengi tuliachwa Njia panda,
pro-Nato leo ilikuwa siku nzuri kwaoπŸ˜‚πŸ˜‚
Panya wa Pro Nato walitoka mashimoni baada ya kuona paka mkubwa amevamiwa lindoni na watoto wake🀣🀣🀣
 
Usichokijua ni kwamba Russia na Wagner PMC walijua Igizo walilokuwa wakilifanya ili kuchezesha akili zenu 🀣🀣🀣 mlivyo wapuuzi mkajaa. Subirieni kipigo kitakachowapata huko Ukraine.
 
Mi narara bwana kuanzia leo mimi sio murusi tena mm ni dp woldi mwalabu
 
Mkuu siku hizi umekuaje? Ulikuaga vizuri mbona tena unaenda kusiko? Matusi ya nini sasa kwa mfano?
 
Punyeto zimeathiri ufahamu wako mpaka unashindwa hata kungamuwa kitu kidogo namna hiyo?
Kwanza kwa sasa wargener haishiriki vita nchini Ukraine kwa sababu tangu kuiteka Bakhihumt bado hawajapewa kandarasi mpya.
Kuhusu hilkopita kuangushwa hizo zote zilikuwa ni habari feki hakuna helkopita iliyo angusha ,hakuna mwanajeshi aliye uawa ,hakuna madaraja yaliyo bomolewa,bali kuna tukio la kulipuka kituo cha mafuta na mlipuko huo haukuwa na uhusiano na kilicho kuwa kinaendea.

Tangu mwanzo niliwaambia watu humu kuwa haya ni maigizo ya Putin hivyo kuweni na akiba ya maneno mtakuja kula matapishi yenu humu.

Wenda hili igizo lilikuwa ni mtego wa Putin kwa viongozi wa kijeshi ila na wao wameuruka mtego wake.
 
Usichokijua ni kwamba Russia na Wagner PMC walijua Igizo walilokuwa wakilifanya ili kuchezesha akili zenu 🀣🀣🀣 mlivyo wapuuzi mkajaa. Subirieni kipigo kitakachowapata huko Ukraine.
Russia ni disorganized, hata ikilipua ndege yake yenyewe mnasema walipanga. Hata ilipopigwa misafara yake ikakimbia Kyiv mlisema walipanga. Kutumia zaidi ya mwaka kwenye vita na taifa dhaifu mnasema wamepanga. Jeshi zima kutishiwa na babantilie hadi kuvunja madaraja, kulipua maghala ya mafuta, kumpigia magoti Lukashenko afanye negotiations, kufanya rally ya majenerali kumuunga mkono Putin, Putin kuhutubia na kulaani huku akisema kasalitiwa, bado na hayo yote mnasema imepangwa. Hata wangempindua Putin nayo mungesema wamepanga.

In fact Russia ni kama uganga au dini, mgonjwa akipona Mungu ashukuriwe apewe sifa kwa uponyaji, akifa hata kama mlisali novena na matoleo na dua asifariki bado mtasema kazi ya Mungu haina makosa kampenda zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…