Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.

Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.

Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .

Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .

Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .

Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .

kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mnayo fatana ,mtoa post hapo anaye like wote ofisi moja Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah
Screenshot_20260713-190134.png
 
Yaani mtu anaona wazi kabisa kua anatapeliwa na mafisadi kama vile makamu mwenyekiti wao, but anakua mbishi kweli kweli,

ama kwahakikia,
mtu akitaka kutapeliwa hua mbishi kupindukia, ndio hao chadema walipofikia sasa
 
kama watu wa mtandao tu wananchi wana hali ngumu wao wananunua flats dubai
 
Mtoa mada mshamba, sisi watanganyika tunaipenda CHADEMA Kwa mioyo yetu ya dhati, nyinyi kinachowauma ni nini? Samia na kundi lake ndiyo wanakula kodi zetu. Mimi naendelea kuwachangia CHADEMA kwa chochote nilichonacho ili tuitoe hii serikali haramu ya dikteta samia. Tunafahamu mnalipwa ili kuiua CHADEMA.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.

Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.

Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .

Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .

Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .

Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .

kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Heche we Endelea kukemea mapepo mpaka yachomoke.
Hela ya kula watanzania tutachanga.
 
Acha longolongo ,Breanda Rupia amesema kama una ushahidi peleka ofisi ya katibu mkuu ili wafanyie kazi hizo tuhuma/malamiko yako kuhusu viongozi wa CDM.
 
Back
Top Bottom