Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
CHADEMA wamepuuzwaWewe ndiye ulielala . Too late kuwazuia chadema Watanzania wanawaelewa. Endeleza uchawa na kuinamia hao masultani wakupe vidole

Jibu murua sana.Sasa pesa za michango za watu wengine, wewe zinakuumia nini?
Pesa sio zako wewe zinakuuma!
Hao mliowanunua kuisaliti hiyo Chadema yenu na ushahidi upo, mtaendelea kuwalipa maisha yao yote au ndiyo mtawatelekeza, kama toilet paper ???Ondoa akili zako za kinyumbu hapa
Kwa hiyo ninyi CHADEMA mnanunulika kama Bidhaa ?Hao mliowanunua kuisaliti hiyo Chadema yenu na ushahidi upo, mtaendelea kuwalipa maisha yao yote au ndiyo mtawatelekeza, kama toilet paper ???
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.
Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.
Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .
Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .
Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .
Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .
kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Yaani mtu anaona wazi kabisa kua anatapeliwa na mafisadi kama vile makamu mwenyekiti wao, but anakua mbishi kweli kweli,
ama kwahakikia,
mtu akitaka kutapeliwa hua mbishi kupindukia, ndio hao chadema walipofikia sasa
Clip imevuja huko hujasikia Mkuu hili lishabuma tafuteni lingineNdugu zangu Watanzania,
Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.
Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.
Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .
Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .
Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .
Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .
kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu yangu Lukasi tupo pamoja ,shukrani kwa kutoa darsa kwa wajinga jinga wa ufipaNdugu zangu Watanzania,

Hakuna muluzi hapa zaidi ya ukweliNaona miluzi ya mbwa imezidi!
Kuwa makini na mambo ya watu, utakunwa.Ndugu zangu Watanzania,

Tunataka viongozi safu na siyo wale wa kuwanyonya WananchiINAMAANA WEWE NDIE UNAUMIA SANA NA MATUMIZI YA VIONGOZI WA CHADEMA KULIKO WANACHADEMA?
Tumekamliwa na CCM miaka NENDA miaka ludi CCM hawachokiNdugu zangu Watanzania,
Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.
Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.
Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .
Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .
Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .
Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .
kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwamba huoni maendeleo makubwa na yenye Kugusa Maisha ya watu yaliyopatikana na kufikiwa ?Tumekamliwa na CCM miaka NENDA miaka ludi CCM hawachoki
Mbona huongelei mnazotapeliwa na wachungaji wanaowauzia maji, udongo mpaka chupi eti za Upako na hao vilema na vipofu feki?Yaani mtu anaona wazi kabisa kua anatapeliwa na mafisadi kama vile makamu mwenyekiti wao, but anakua mbishi kweli kweli,
ama kwahakikia,
mtu akitaka kutapeliwa hua mbishi kupindukia, ndio hao chadema walipofikia sasa
Mbona huongelei mnazotapeliwa na wachungaji wanaowauzia maji, udongo mpaka chupi eti za Upako na hao vilema na vipofu feki?