Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.

Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.

Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .

Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .

Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .

Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .

kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Sasa hela si zetu we inakuuma nini?
 
Umeshinda kuamka usingizi ww unae tumika na chama chako kama kondomu ata vocha hawakuwekei na ata ajira zikitoka hawakukumbuki na ata kwenye madeal yao pia hukumbuki wala hawakujui

Ata wenye ccm yao tu hawakujui
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao.

Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi Mamilioni kwa Mamilioni ya pesa hizo huenda na kufanya kazi ikiwa hata ofisi tu chama kimekuwa hakina huko mikoani ambazo zimejengwa kwa pesa za chama . Chama kimepokea mamilioni kwa mamilioni ya pesa kama Ruzuku kwa miaka mingi lakini hakuna kilichofanyika wala kufanikishwa na chama kujiwekea kama kitega Uchumi.

Unajua ni kwanini na pesa zinakwenda wapi? Jibu ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekiweka na wanakitumia CHADEMA na wana CHADEMA kujineemesha na kujitajirisha . Viongozi wa CHADEMA wanatumia Minofu ya chama kushibisha Matumbo yao .

Wana CHADEMA wanakitumia chama kujijengea mahekalu kwa jasho la wana CHADEMA bila wao kuvuja hata tone la jasho. Viongozi wa CHADEMA wana kula wasipilima wala kutumia nguvu zao, wana kula kwa mrija huku wana CHADEMA na CHADEMA wakibakia mifupa mitupu kwa kukondeana na kupoteza nuru .

Viongozi wa CHADEMA wameshaona kuwa wana CHADEMA ni watu wasio jitambua na wasio na uwezo wa kufikiri wala kuchambua mambo . Wanawaona wana CHADEMA kama Nyumbu tu ambao hawaelewi kitu chochote kile. Ndio maana wanawaimbisha kila aina ya wimbo na kuwalazimisha waombe kama Makasuku vile .

Ndio Maana viongozi wa CHADEMA Ukiwakosoa kwa hoja unaona wanaanza kuporomosha matusi kama vichaa au wendawazimu maana wanajua kuwa unahatarisha ulaji wao ndani ya chama .

kibaya zaidi ni kuwa wafuasi wengi wa CHADEMA Hawana Elimu za kutosha wala uelewa wa kutosha na ndio maana akili zao zimelala usingizi wa Pono. Yaani wanaendeshwa kama karoboti vile . Wao ni kuswagwa tu kama Mifugo inayopelekwa machinjioni.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Waambie makao makuu Lumumba wanunue mchicha na vitunguu swaumu kwa wingi ili kushusha Sukari na presha.

1784284438830.png
 
Hapo vipi bwana Lucas Mwashambwa?
 
Attachments

  • Screenshot_20260717-130925_Instagram.jpg
    Screenshot_20260717-130925_Instagram.jpg
    212.5 KB · Views: 11

1784286909283.png

Dada mrembua macho wa Lucas Mwashambwa
 
1784287022493.png
Gheto kali
 
Kodi pekee haitoshelezi

Sasa yale mabilion ya siku ya Kiswahili Paris ufaransa si mngetusaidia maji.?

Kweli jaman maji mpaka 2031? 😄

Na kila dc ana V8
 
Attachments

  • Screenshot_20260717-161741_Instagram.jpg
    Screenshot_20260717-161741_Instagram.jpg
    302.8 KB · Views: 9
Wewe ni chawa tu kama machawa wengine huna lolote.
 
Vipi wewe kidampa wa mafisadi umeshachangia moto wa kukimbizwa.?

Maana unapanua tu humu proboscis kwa CHADEMA kuchangiwa pesa za baraza kuu kumbe CCM mnachangishana kukimbiza moto kama wendawazimu.
HN6n_h0WMAARjN2.jpg
 
Back
Top Bottom