Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

Weka ushahidi wewe na njaa zako zilizo kupanda kichwani
Wewe unayetaka kufuatilia miamala ya watu ndiye una njaa na kuendekeza kwako njaa na tamaa ndiyo kumekufanya kuwa ***** na chawa. Sema nikutumie kwenye namba gani ?
 
UNAONAJE TUKIMWACHIA TL KWANZA
 
Michango iliyopewa CCM nawe ulipata mgao, haina ubishi.
 
Jumamosi wakati marathon michango inaanza ikiwa na milioni 5 tu baada ya saa chache ulipandisha hapa bandiko ukipanua proboscis kwamba watu wasichange .

Watu hawasikilizi ushauri wa machawa, kunguni, vidampa , na vizabizabina wa muuaji wa Kizimkazi.

Hakika ni habari mbaya kwako chawa kidampa wa buku 7.

Hadi sasa taarifa mpya ni hii michango imefikia hapa na marathon inaendelea.

Kawaambie wakuongeze posho kazi yako imekua ngumu sana.


View: https://x.com/i/status/2077619630206591202
 
Ba
Basi wajinga watakuwa ni WaTanganyika... Kodi zao zinatumbuliwa vibaya sana na serikali ya ccm.
Uthibitisho ni ripoti za kila mara za CAG.
Kumbuka kodi za WaTanganyika ni maradufu kuliko tone tone ya wananchi kwa CHADEMA.
 
 
Sasa pesa za michango za watu wengine, wewe zinakuumia nini?
Pesa sio zako wewe zinakuuma!
 

Huku kodi hazifiki kunakohusika.
 


Wewe ndiye ulielala . Too late kuwazuia chadema Watanzania wanawaelewa. Endeleza uchawa na kuinamia hao masultani wakupe vidole
 
Stori zako zinaonyesha wewe ni mwanamke uliyeachwa halafu hutaki ku-move on!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…