#COVID19 Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

#COVID19 Wajinga wameibuka na hoja kwamba waliochomwa jana sio chanjo ni maji!

na wajinga zaidi wanaamini wale walichanja chanjo watakaoenda kuchanjwa wao mtakufa nyie
 
Kwa jinsi ambavyo SSH anaiogopa covid, naamini yule amedungwa lichanjo. Maana yule ni muoga balaa, Alivyotembelea pale hospitali alistuka sana alivyoambiwa hiki chumba ni cha wagonjwa wanaobanwa na pumzi, "wale wa covid!!?, nyie ebhu tokeni huko"[emoji23]
 
Back
Top Bottom