Of course ni hiyari, lakini ni upumbavu kujaribu kupotosha watu!Chanjo ni hiari ya mwananchi na si lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of course ni hiyari, lakini ni upumbavu kujaribu kupotosha watu!Chanjo ni hiari ya mwananchi na si lazima
Yeah,sioni sababu ya kutumia nguvu na kuona anayechanja ni mwelevu na asiyetaka ni mjinga.....ujinga ni kuingilia maisha ya mtu na maamuzi yakeKabisa kwenye hili suala ifike mahali kila mtu afanye maamuzi yake na si kulazimishwa
SahihiOf course ni hiyari, lakini ni upumbavu kujaribu kupotosha watu!
Majariwa is by far smarter than this fella! Would not utter such nonsense!Unauhakika gani Gwajima kamzidi huyo jamaa kila kitu mkuu? unamjua huyo mkuu nje ya hapa? inawezekama hata huyo jamaa ni waziri mkuu......hizi fake Ids zisifanye uone wote hawana vyeo humu.
💯Yeah,sioni sababu ya kutumia nguvu na kuona anayechanja ni mwelevu na asiyetaka ni mjinga.....ujinga ni kuingilia maisha ya mtu na maamuzi yake
Hapo ndipo unapojiingiza chaka mwenyewe, unapoishia kufikiria kuwa kelele hizi zinalenga kulinda legacy!Unfikiri tatizo ni elimu basi!! Ni upumbavu tu, wengine wana elimu kubwa tu lakini ni walinda legacy ya Mwendazake!!!
halafu kwanini chanjo ya hii kitu imekuwa fasta sana kuliko ugonjwa wenyewe,nikama vile chanjo ilikuwa tayari stooHiyo kauli kuwa “Mbona wazungu hawajagunduwa chanjo za malaria na UKIMWI”, mwasisi wake ni mwendazake. Hao wananchi wanarudia tu alichosema kipindi kile akipinga chanjo.
Asante kwa kuendelea kujifunua jinsi ulivyo mtupu! Kimsingi komenti za mapungu kama ww hazinisumbui!Umeandika Gazeti ukijiona una akili wee kumbe kiazi tu. Ivi hujui kuwa Technologies inakuwa kila siku na wataalam wa afya wanafanyia uchunguzi taaluma mpya kila mwaka ya matibabu ndio Maana unaona hata tiba zinabadilika kila siku mfano upande wa HIV walikuwa wanameza vidonge vingi ili kupunguza makali Lakini Sasa ivi wanameza kidonge kimoja tu na kinafanya kazi vizuri hata upande wa vipimo unaweza kuangalia Kuna magonjwa yalikuwa upimaji wake Ni mzunguko lakini Sasa ivi na rahisi tu.. so badilika technologies inakuwa Mzee utaachwa..
Tatiz kubwa hapo ni ujinga ujinga na watu kam gwajiboy wanautumia ujinga wa watu kuaminika suluhusisho hapo ni elimu elimuHakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU
Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii.
Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za kawaida kweli au kuna tatizo?
Maana kama ni ujinga basi Taifa hili ujinga ni wa hali ya juu sana, Serikali naomba iwekeze zaidi kwenye elimu,
Hivi kipindi ebora Imepamba moto Congo, chanjo yake siilitengenezwa faster, chanjo siilileta majibu chanya mpaka sasa hakuna Ebora, Waliochanjwa Ebora mlisikia wamekuabmazombi? Alietemgeneza chanjo ya Ebora ni nani? si mzungu huyohuyo?
Unaacha kuamini wataalamu wa Afya ambao tangu umezaliwa unatibiwa kwa dawa zao unaenda kumuamini Askofu Rashidi ambae hajui hata Paracentamol inatengenezwaje?
Kazi ipo!
Wenye akili ya kuona yajayo mbeleni ngoja tukachanjwe.
Over!
Hapo ndipo unapojiingiza chaka mwenyewe, unapoishia kufikiria kuwa kelele hizi zinalenga kulinda legacy!
Nakubaliana na wewe 100%. Kwa akili hizi za kina Askofu Rashid aka Kibwetele, kuna haja ya kufuata ushauri wa Diallo. Lazima kuna watu wana mafile yao Milembe lakini wameshikilia nafasi.Next time wafanyie kazi mawazo ya Antony Diallo.
Japo CCM kuna unafiki wa hali ya juu ila ni likely vichaa walijipenyeza kipindi cha nyuma na kugombea uongozi na wakapewa dhamana hiyo !
Ni muda sasa tuangalie tulijikwaa wapi tusirudie tena makosa! 100% mawazo hayo ya kupinga chanjo yalitoka kwa kichaa baada ya kushauriana na vichaa wenzie
Hilo chupi ambalo umevaa limetoka kwa hao mabeberu, hizo PEDI ambazo umeweka huko kwenye Hilo bwawa lako pia zimetoka hukohuko kwa hao mabeberu,Kinyogole mkubwa, wewe ndiye lijinga mno tena lijinga la kiwango cha nyesi. Mnakaririshwa kuwapigia magoti mabeberu, sisi ni watu tunaojitambua tunatambua thamani ya utu wetu kama waafrica, ni wazalendo wa hali ya juu, hatuyumbishwi na pimbi kama nyie
Jibu swali ya ukimwi na malaria iko wapiHakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU
Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii.
Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za kawaida kweli au kuna tatizo?
Maana kama ni ujinga basi Taifa hili ujinga ni wa hali ya juu sana, Serikali naomba iwekeze zaidi kwenye elimu,
Hivi kipindi ebora Imepamba moto Congo, chanjo yake siilitengenezwa faster, chanjo siilileta majibu chanya mpaka sasa hakuna Ebora, Waliochanjwa Ebora mlisikia wamekuabmazombi? Alietemgeneza chanjo ya Ebora ni nani? si mzungu huyohuyo?
Unaacha kuamini wataalamu wa Afya ambao tangu umezaliwa unatibiwa kwa dawa zao unaenda kumuamini Askofu Rashidi ambae hajui hata Paracentamol inatengenezwaje?
Kazi ipo!
Wenye akili ya kuona yajayo mbeleni ngoja tukachanjwe.
Over!
Hiyo chanjo ni ya majaribio, hakuna kiongozi wa nchi anaweza kuwa tayari kufanyiwa majaribio, zile ni vitamin c labda walizochomwa, siamini hata sekunde moja kwamba ni chanjo ileHakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU
Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii.
Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za kawaida kweli au kuna tatizo?
Maana kama ni ujinga basi Taifa hili ujinga ni wa hali ya juu sana, Serikali naomba iwekeze zaidi kwenye elimu,
Hivi kipindi ebora Imepamba moto Congo, chanjo yake siilitengenezwa faster, chanjo siilileta majibu chanya mpaka sasa hakuna Ebora, Waliochanjwa Ebora mlisikia wamekuabmazombi? Alietemgeneza chanjo ya Ebora ni nani? si mzungu huyohuyo?
Unaacha kuamini wataalamu wa Afya ambao tangu umezaliwa unatibiwa kwa dawa zao unaenda kumuamini Askofu Rashidi ambae hajui hata Paracentamol inatengenezwaje?
Kazi ipo!
Wenye akili ya kuona yajayo mbeleni ngoja tukachanjwe.
Over!
True hata mimi siamini kama Raisi wetu ni Samia Suluhu mpaka nione Birth Certificate yake.Wewe una uhakika gani kwamba ile ilikuwa chanjo halisi? Tumia akili kufikili
Sasa kwanini usijibu hoja yake juu ya hiyo kauli ya CDC, badala yake unamvamia yeye personally, vamia hoja zake, hapa ndio msababishwa tuwaone mataahira tuwe elitwege unajulikana tangu zamani ubongo wako hauko sawa
Jibuni hoja zake tu, msihangaike na mengine, hiyo chanjo ni ya majaribio? Kisa mtu amekutishia nyoka haimaanishi ujiue kwa sumu...sasa alikua mashuhuri kudhihaki covid, matokeo yake si yalionekana, watu hawajifunzi tu