Kwa jinsi ambavyo SSH anaiogopa covid, naamini yule amedungwa lichanjo. Maana yule ni muoga balaa, Alivyotembelea pale hospitali alistuka sana alivyoambiwa hiki chumba ni cha wagonjwa wanaobanwa na pumzi, "wale wa covid!!?, nyie ebhu tokeni huko"[emoji23]