Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Your browser is not able to display this video.
 
umesoma biblia ipi kati ya hizi ??

Your browser is not able to display this video.
 

Mnaamini katika injili ila mnakataa kuwa Yesu ni Mungu[emoji28][emoji28],unafiki uongo ndio muongozo wa kiislamu.
 
Mnaamini katika injili ila mnakataa kuwa Yesu ni Mungu[emoji28][emoji28],unafiki uongo ndio muongozo wa kiislamu.
injili ipi unayokusudia ?? ya yesu , ya paulo , ya Marko , Ya yohanna , ya mathayo , ya Luka au maelfu ya injili ambazo baadhi ya makanisa hawazikubali ??

Biblia ipi hapo ni sahihi ??

Your browser is not able to display this video.
 
dini ya uislamu habari yake ipo katika Quran takatifu na sio issue ya kihistoria ,kwaiyo wakuu tuheshimiane na kila moja akae na dini yake hatulazimishani ,acheni kujifanya munajua dini ya kiislamu kwa kuleta habari ya abunuasi hapo ,wabilahi towfiq.
Kwani nani aliandika hicho kitabu?
 
Tena mimi nililiandika humu toka mwendazake yupo hai, kwa sauti kubwa, hisomee:

 
😄 🤣 😂 😆
 
Hii nzuri nimeicopy kabisa.
 
Msikiti wa Al-Aqsa ulijengwa wakati wa utawala wa Rashidun, specifically under the caliphate of Umar ibn al-Khattab, one of the closest companions of the Islamic Prophet Muhammad. The construction of Al-Aqsa Mosque began in the 7th century CE. It is important to note that the Al-Aqsa Mosque, which is part of the larger complex known as Haram al-Sharif in Jerusalem, has a rich history and has undergone various modifications and renovations over the centuries. It is one of the oldest and most revered Islamic sites.
 
Hii nzuri nimeicopy kabisa.
Nimrekebishe tu huyo mburura .
Quraysh asili Yao sio Yemeni no Saudia.
Pia upagani unapingana na vitendo vya uislam.
Kuanzia itikadi mpaka ibada.
Wapagani Wana miungu mingi uislam unaitakidi Mungu mmoja.
 
Nimrekebishe tu huyo mburura .
Quraysh asili Yao sio Yemeni no Saudia.
Pia upagani unapingana na vitendo vya uislam.
Kuanzia itikadi mpaka ibada.
Wapagani Wana miungu mingi uislam unaitakidi Mungu mmoja.
Kabila la Quraysh lina asili yake katika eneo la Arabia. Quraysh ilikuwa moja ya makabila makubwa na yenye ushawishi katika eneo hilo, hasa katika enzi za kabla ya Uislamu na katika miaka ya mwanzo ya Uislamu. Kabila hili lilikuwa na makabila madogo yaliyojumuisha Waarabu wa Kiarabu, na liliishi karibu na mji wa Mecca.

Jina Quraysh linasemekana lilitokana na jina la babu wa kabila hilo, Quraysh bin Kilab. Mji wa Mecca ulikuwa makao makuu ya Quraysh, na walikuwa wakusimamia Kabla ya, eneo la ibada kwa Waarabu .

Pia, ni muhimu kutambua kwamba Mtume Muhammad, mwanzilishi wa Uislamu, alizaliwa ndani ya kabila la Quraysh, na kutoka kwake, Uislamu ulienea katika eneo hilo na baadaye ulimwenguni kote.
 
Hii nzuri nimeicopy kabis
Halafu pale alaqswa Kuna kiwanja kitakatifu,dome mbili ya sinagogi na dome ya msikiti.
Kafuatilie makabila halisi ya Yemeni na Saudia.
Maana asiki ya Yemeni ni watu weusi Quraysh ni watu wa jamii weupe huwezi mkuta Quraysh mweusi.
Na kabila kubwa Yemeni toka zamani ni ABRI.
nenda kawasome.
Mtume kuzaliwa Quraysh hai justify kuwa uislam hnatokana na upagani.
Kwasababu hata Nabii Ibrahim alizaliwa na baba mchonga miungu ya kisanamu.
Ingekua Uislam unatokana na upagani basi mtume asingepingwa,itikadi ya Imani ingefanana,ibada zingefanana na kusingekuwa na mabadiliko kiasi hicho labda kungekuwa na modification.
Unachodai wewe gari imetokana na pikipiki ilhali ukitizama kuanzia muundo mpaka ufanyaji kazi vinatofautiana.
 
Mkuu sijapinga mambo ya ibada wala kuhusu kutokana na upagani ,hizo mimi sjui ,mimi nimekueleza tu asili ya hiyo jamaii na imetoka wap na chimbuko lake basi.
 
Mkuu sijapinga mambo ya ibada wala kuhusu kutokana na upagani ,hizo mimi sjui ,mimi nimekueleza tu asili ya hiyo jamaii na imetoka wap na chimbuko lake basi.
Aya kaka mkubwa na Mimi nimeeleza kuhusu knowledge nilopata.
 

Ulijengwa juu ya misingi ya hekalu la wayahudi lililobomolewa.
 
Nafikiri Kuna tofauti kubwa kati ya DINI na IMANI, Yawezekana Ibrahim na wengineo kabla ya Musa walikuwa na IMANI lakini siyo Dini. Ibrahim alikuwa na IMANI juu ya Mungu muumba ilikuwa ni IMANI hisiyo na mfumo/mtindo maalumu (DIni)! Hii mifumo ya kiimani(Dini) ilikuja wakati wa Musa ambapo Mungu alimpatia mfumo/mtindo maalumu wa kumwabudu yeye. Mtindo ambao Ungewatofautisha Waisrael na jamii zingine.

Hii mitindo ilikuja kuanza kupewa majina baadaye, majina utolewa na waanzilishi/wafuasi au wapinzani, majina Aya yanalenga kushadadia au kupondea ili mtindo Fulani uonekane Bora kuliko mwingine. Mfano Islam (kujikabidhi Kwa Mungu) ni jina zuri ambalo mzazi/mwanzilishi alimbatiza mwanaye(mtindo mpya wa IMANI) na jina likilenga kuwakosoa wale waliojikabidhi Kwa Yesu badala ya Mungu na kujiita Wakristo.
 
dini ya uislamu habari yake ipo katika Quran takatifu na sio issue ya kihistoria ,kwaiyo wakuu tuheshimiane na kila moja akae na dini yake hatulazimishani ,acheni kujifanya munajua dini ya kiislamu kwa kuleta habari ya abunuasi hapo ,wabilahi towfiq.
Usitishe watu.
Tulia na uongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…