Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Manabii waliotajwa katika Biblia walikuwa sehemu ya historia ya Israeli na walifundisha sheria za Torati au Injili, si Uislamu.

Yesu hakuwa Muislamu; alifundisha imani kwa Mungu wa Israeli na alitimiza Torati.

Kujisalimisha kwa Mungu kuna maana pana, lakini Uislamu kama mfumo wa kidini ulianza na kukamilishwa kupitia Muhammad (SAW).

Ushahidi wa kihistoria na maandiko hauonyeshi kwamba Uislamu ulikuwepo kabla ya Muhammad kwa jina na mfumo wake wa sasa.

Madai kwamba manabii walikuwa Waislamu si sahihi kihistoria wala kimandiko.Ni uzushi kama uzushi mwingine
 
Historia haiongopi,historia zipo wazi kwanini mnadanganya watu ?

Qur'an inataja Msikiti wa Al-Aqsa katika Sura ya 17:1:

"Ametakasika Yeye aliyemchukua mja wake usiku kutoka Msikiti Mtakatifu hadi Msikiti wa Mbali (Al-Aqsa), ambao tumeubariki pembezoni mwake..."

Aya hii haisemi kwamba Msikiti wa Al-Aqsa ulijengwa na Nabii Ibrahim au kwamba ulikuwepo wakati wa Nabii Muhammad (SAW). Kwa hakika, Msikiti wa Al-Aqsa ulijengwa rasmi miaka mingi baada ya Muhammad.

Msingi wa imani unaojengwa hapa ni hadithi za Abunuasi na Bulicheka kwamba manabii wote walikuwa Waislamu. Hata hivyo, hakutajwa katika Qur'an kwamba Ibrahim au Isaka walijenga Msikiti wa Al-Aqsa, bali hoja hii hutokana na tafsiri za baadaye za historia za Kiislamu.,ili tu kuwasingizia manabii walikuwa waislamu

Qur'an yenyewe inasema kwamba Ibrahim hakufuata sheria ya Uislamu kama inavyofundishwa leo:

Qur'an 2:130-132 inasema:
"Na nani anayeikana mila ya Ibrahim isipokuwa aliyedhahiri kupumbazika? Na hakika tulimteua yeye katika dunia, na kwa hakika yeye katika Akhera ni miongoni mwa watu wema."

Hii inaonyesha kwamba Ibrahim alikuwa na "mila" yake maalum (Hanif) na si sheria za Uislamu wa Muhammad.

Biblia inathibitisha kwamba Ibrahimu, Isaka, na Yakobo walifuata maagizo ya Mungu wa Israeli, Yahweh, lakini haionyeshi kuwa walikuwa Waislamu:

Mwanzo 12:1-3: Mungu alimwita Ibrahimu kutoka kwa watu wake na akampa maagizo maalum. Hakutajwa popote kuhusu Uislamu kama mfumo wa kidini au kuwa alijisalimisha kwa Allah wa Qur'an.

Yakobo na Isaka walifuata maagizo ya Mungu wa Israeli, walipewa agano hilo, na walihusiana moja kwa moja na taifa la Israeli, si Uislamu.
 
Sisi waisilamu tupo restrictive sana kwenye historia yetu na vitabu vyetu.

Kuna mamia ya mamilioni ya watu wamehifadhi Quran na vitabu muhimu vya dini kama Vya Hadithi za mtume.

Hivyo inahitajika kuja na ushahidi wa maana kusema tunadanganya.
Kwa hiyo imeandikwa kuwa mtume alioa kitoto cha miaka sita ni na akaanza majukumu ya kindoa mtoto akiwa na miaka 9 ni kweli au sio kweli?

Nataka jibu moja
 
Mbona kama unalialia hivi nani aliyekuambia uwe mkristo dini ambayo ukianza kuangalia historia za manabii inakuwa bubu

Mandiko ndani ya Quran yanayosema manabii wote walikuwa waislam yapo mengi mno ila sitaki kuenda huko twende katika historia ya Masijid Al aqswa

Nabii Ibrahim alinunu kipande Cha aridhi Kwa ajili ya kupata eneo la kumzikia mkewe Sara na kujenga nyumba ya ibada na hilo eneo ndio Jerusalem

Alipofariki mkewe Sara alimzika hapo na akajenga nyumba ya kufanyia ibada hapo akiwa na mwanawe Isaka soma Mwanzo 12 katika maagizo ambayo anapewa Ibrahim atakapofika katika nchi aliyo elekezwa ni pamoja na kujenga nyumba ya kufanyia ibada
Sasa kama wewe unaamini kuwa Ibrahim na Isaka hawakuwa na nyumba ya kufanyia ibada huo ni umbumbu wako

Ibrahim na Isaka walipofariki Yakobo na wanawe wakarnda Misri ambako huko walikuwa watumwa na Yakobo alipofariki wanawe walienda kumzika Jerusalem hapo katika hivyo viwanja vya Masijid Al Aqswa

Daudi alipowarudisha waisrael Jerusalem ndiopo mwanawe Suleiman Akajenga Jengo zuri la hekalu katika hivyo viwanja ambapo pia Kuna bakaburi ya hao Babu zao na ndio huo msikiti wa Al Aqswa

Suleiman alipofariki Jerusalem ikatawaliwa na mfarume Nebuchadnezzar akalivunja akalivunj hekalu lililojengwa na Suleiman 580 AD

70 AD Roman empire wakalichoma moto na baadae wakalikarabati na kuanza kufanyia ibada zao za kuabudu masanamu

315 AD mfarume wa Roma Constantine alipo ibadirisha Roman empire kuwa ukristo wakawa hawana mpango tena wa kulitumia hilo Hekalu na Wayahudi hawakulichukulia tena kama kuwa kama ni nyumba takatifu
Hivyo likabaki kuwa kama gofu

621 AD Mtume Muhammad katika safari yake ya miraji alipita Jerusalem na akaswali ndani ya huo msikiti

637 AD Umar Ibn Khatab aliukarabati huo msikiti na waislam wakanza kuutumia kama nyumba Yao ya kufanyia ibada

Karine ya 11 European Christian wakawa choma moto wayahudi wakiwa ndani ya Temple na waislam wakiwa ndani ya Masijid Al Aqswa na kuiteka Jerusalem

1189 AD Salah Aldeen akawatimua European Christian katika Jerusalem na kuirudisha Jerusalem mikononi mwa waislam na hapo Christian, Wayahudi na waislam wakawa wanaishi Kwa amani

Hu mgogoro unaoendelea Sasa huko Israel ni kutukana na maamuzi ya 1948 kuwapa uhuru waisrael na kuminya uhuru Kwa Palestine

Hivyo kinacho angaliwa hapo katika huo msikiti wa Al Aqswa ni msingi wa mwanzo na sio nani alimuboa au aliuchoma moto na nani aliukarabati
 
Kwahiyo unakiri kabisa Quran inaongopa kuhusu hao manabii kuwa waislamu ,maana kwa historia uliyoweka hapo ni dhahiri inakufunga kuwa Quran ni tabu la uongo kuwasingizia wayahudi kina Daudi, Suleiman Hadi Yesu kuwa ni waislamu ,ilihali uislamu umekuja mwaka 600 na Muhammad
 
Mbona kama unalialia hivi nani aliyekuambia uwe mkristo dini ambayo ukianza kuangalia historia za manabii inakuwa bubu

Mandiko ndani ya Quran yanayosema manabii wote walikuwa waislam yapo mengi mno ila sitaki kuenda huko twende katika historia ya Masijid Al aqswa

Nabii Ibrahim alinunu kipande Cha aridhi Kwa ajili ya kupata eneo la kumzikia mkewe Sara na kujenga nyumba ya ibada na hilo eneo ndio Jerusalem

Alipofariki mkewe Sara alimzika hapo na akajenga nyumba ya kufanyia ibada hapo akiwa na mwanawe Isaka soma Mwanzo 12 katika maagizo ambayo anapewa Ibrahim atakapofika katika nchi aliyo elekezwa ni pamoja na kujenga nyumba ya kufanyia ibada
Sasa kama wewe unaamini kuwa Ibrahim na Isaka hawakuwa na nyumba ya kufanyia ibada huo ni umbumbu wako

Ibrahim na Isaka walipofariki Yakobo na wanawe wakarnda Misri ambako huko walikuwa watumwa na Yakobo alipofariki wanawe walienda kumzika Jerusalem hapo katika hivyo viwanja vya Masijid Al Aqswa

Daudi alipowarudisha waisrael Jerusalem ndiopo mwanawe Suleiman Akajenga Jengo zuri la hekalu katika hivyo viwanja ambapo pia Kuna makaburi ya hao Babu zao na ndio huo msikiti wa Al Aqswa

Suleiman alipofariki Jerusalem ikatawaliwa na mfarume Nebuchadnezzar akalivunja hilo hekalu lililojengwa na Suleiman 580 BC

70 AD Roman empire wakalichoma moto na baadae wakalikarabati na kuanza kufanyia ibada zao za kuabudu masanamu

315 AD mfarume wa Roma Constantine alipo ibadirisha Roman empire kuwa ukristo wakawa hawana mpango tena wa kulitumia hilo Hekalu na Wayahudi hawakulichukulia tena kuwa kama ni nyumba takatifu
Hivyo likabaki kuwa kama gofu

621 AD Mtume Muhammad katika safari yake ya miraji alipita Jerusalem na akaswali ndani ya huo msikiti

637 AD Umar Ibn Khatab aliukarabati huo msikiti na waislam wakanza kuutumia kama nyumba Yao ya kufanyia ibada

Karine ya 11 European Christian wakawa choma moto wayahudi wakiwa ndani ya Temple na waislam wakiwa ndani ya Masijid Al Aqswa na kuiteka Jerusalem

1189 AD Salah Aldeen akawatimua European Christian katika Jerusalem na kuirudisha Jerusalem mikononi mwa waislam na hapo Christian, Wayahudi na waislam wakawa wanaishi Kwa amani

Hu mgogoro unaoendelea Sasa huko Israel ni kutukana na maamuzi ya 1948 kuwapa uhuru waisrael na kuminya uhuru Kwa Palestine

Hivyo kinacho angaliwa hapo katika huo msikiti wa Al Aqswa ni msingi wa mwanzo na sio nani aliubomoa au aliuchoma moto na nani aliukarabati
 
Kwahiyo unakiri kabisa Quran inaongopa kuhusu hao manabii kuwa waislamu ,maana kwa historia uliyoweka hapo ni dhahiri inakufunga kuwa Quran ni tabu la uongo kuwasingizia wayahudi kina Daudi, Suleiman Hadi Yesu kuwa ni waislamu ,ilihali uislamu umekuja mwaka 600 na Muhammad
 
Mimi najua Kwa Nini hapo umeanza na Daudi na Suleiman na Yesu Ili upate kichaka Cha kujificha katika Uyahudi na ukristo na ukawacha akina Ibrahim, Isaka na Yakobo maana hao hauna uwezo wa kusema kuwa ni dini Yao ni Uyahudi au ukristo Kwa sababu Uyahudi na ukristo ni majina ya wajukuu zao hizo sio dini

Katika watoto 12 wa Yakobo mmoja ndio anaitwa Yuda likapatikana kabila la Uyahudi na baadae watu ndio wakaifanya ndio dini

Kristo maana yake ni masiha Yani mpakwa Mafuta ni jina hilo nyinyi ndio mlifanya kuwa dini

Quran inasema
Ibrahim, Isaka,Yakobo, Musa. Daudi, Suleiman, Zakaria na Yesu hao wote walikuwa waislam

Kama unao ushahidi wa mandika kuwa hao manabii walikuwa Wayahudi au wakristo au walikuwa wapagani toa Ili Quran ionekane imedanganya
 
Acha uzushi Petra hakuna msikiti wewe usitufanye wajinga hapa
Huo msikiti alijenga mtume gani na Uislamu ulianzishwa na Mohammad Abdula bin Mutalib?
 
T Kusema Abraham,Isaka,Jacob nk walikua ni Islam ni sawa na mtu kusema Mwaka 1950 hii nchi iliitwa Tanzania huo ni uzuzu na ujinga wa kiwango cha lami!
 
Una chekesha sana , mbona tunaambiwa kanisa la kw2anza limejengwa Rome na St Peter ??
 
Sawa mkuu nenda kauchukue
 
ukristo upi , kihistoria huyo yesu ni fiction tu ??

View: https://www.youtube.com/watch?v=k24cQMaJzPk&list=PLpJsLTOXQpoBH0t_6BWVbxWUlqxz6nxZ0
 
T
Kusema Abraham,Isaka,Jacob nk walikua ni Islam ni sawa na mtu kusema Mwaka 1950 hii nchi iliitwa Tanzania huo ni uzuzu na ujinga wa kiwango cha lami!

Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

Isije ikawa wewe ndio mjinga hapo Quran inasema Ibrahim na wanawe na wajukuu zake walikuwa waislam

Sasa wewe unayepinga Ili usiwe mjinga toa andika katika kitabu chochote Cha Mungu kinacho Sema dini yao walikuwa wakristo au wayahudi
 
Unaongea hadi mimi naona aibu.
Wenye historia yao mayahudi wakikusikia wanacheka sana
 
Porojo za kuwafanya manbii wa Mungu wa Ibbeahim ,Isaka na Yakobo kuwa muslims
 
Hivi nyie mnajielewa kweli?
Hivi unajua mwanzo wa Dini za Abrahamic?

Abraham na wanawe hawajawahi kuabudu kwenye dini yeyote iwe Uyahudi,Ukristo na Uislamu
Kwanza huyo Abram alikua anaabudu Miungu ya Wakaldayo kabla Elohim hajamtokea na kwa Taarifa yako Wakaldayo waliabudu miungu ya Zoadic yaani Miungu ya Babel
Sasa ukija na abracadabra za kua alikua Muslim nakuona hamnazo maana hizo dini zote mbeleni zilikuja maelfu ya miaka mbele baada ya hao watu kutoweka
Hivi nyie hicho kitabu chenu kimejaa uongo na uzushi ambao hata historical background inawapiga chenga halafu mnadai kilishushwa na mungu Allah
Hio inadhihilisha huyo mungu wenu kilaza na hana historical information,
Someni historia acheni kulishana nyanyachungu wazee!
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…