kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
Hata ile sofia ya uturuki ilikuwa kanisasasa ikawaje ukaitwa musikiti badala ya kanisa au waliwauzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ile sofia ya uturuki ilikuwa kanisasasa ikawaje ukaitwa musikiti badala ya kanisa au waliwauzia
Wanaoita msikiti ni wale wazee wa mihemko!sasa ikawaje ukaitwa musikiti badala ya kanisa au waliwauzia
Jamaa kaja na ushahidi wa maandiko na historia Mkuu.Sisi waisilamu tupo restrictive sana kwenye historia yetu na vitabu vyetu.
Kuna mamia ya mamilioni ya watu wamehifadhi Quran na vitabu muhimu vya dini kama Vya Hadithi za mtume.
Hivyo inahitajika kuja na ushahidi wa maana kusema tunadanganya.
Ushahidi gani? Wewe kusema unapewa mabikra saba si ushahidi unatakiwa quote Quran ama scholar mkubwa ama hadith ambayo ni sahihi. Kama huna hivyo huo si ushahidi bali ni porojo kama porojo nyengine.Jamaa kaja na ushahidi wa maandiko na historia Mkuu.
Mfano, unapoambiwa ukifa sijui shahidi (japo ni shahidi wa kuua wengine) unakwenda peponi na unapewa mabikra 7 unaamini ni kweli mkuu?
Prediction zipi hizo ziweke hapaMkuu Quran imejibu maswali mengi ambayo Bible haina majibu. Mfano Bible haijaelezea ni miungu gani waliabudu kipindi cha Ibrahim, Quran imeelezea na juzi juzi hapa Iraq wamefukua fukua Mabaki ya Babylon na ku approve hio Miungu iliotajwa, How did Muhammad know?
Kuna mamia ya predictions kwenye uisilamu nyengine zimekuwa proved miaka ya karibuni, vitu havijaandikwa hata kwenye Biblia.
Acha uzushi Mzee,Daudi alikuwa myahudi au mwebrania wa kabila la Yuda , na Hadi Leo archeologist wamechimbua mji wa Daudi upo pale Israel ,una historia nyingi na mabaki yanayothibitishaAlikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
Quran si mnasema Ina kila majibu ?Alikua ni mwana wa Israel aliyeitawala Palestina hakuwa myahudi.
Qur'an haikutaja kabila bro.
Ila inaeleza kuwa Daud alipewa Zabur kuwaongoza wana wa israel na Suleyman ndiye akarithi hiyo kazi.
Na wana wa israel ni uzao wa Nabii Yakuub.
Ambae babaye ni Ishaq mtoto wa Ibrahim .
Hiyo Zaburi ukiulizwa Leo ipo wapi unaweza kuelezea ?Na samahani Daud alipewa Zabur siyo Taurat.
Taurat alipewa Musa.
Sawa bro.
Acheni UtapeliUislam ulianza.
Bimaana uislam sio tu kusema unamuabudu Allah,uislam ni mfumo wa maisha kiujumla.
Toka Adam (a.s) alikua muislam.
Swali anarejeaje kwa vitabu mnavyosema vimebadilishwa?Hadithi utoe hakuna mahali kuna hadithi ilitamka hilo.
Ila Qur'an ni zaid ya ayah tatu mtume ameambiwa aulize watu wa kitabu.
Kulingana na sababu tofauti.
Mayahudi na manaswara ni watu ambao waliteremshiwa vitabu taurat,injil na zabur.
Bimaana wanaufaham utukufu wa Allah na ndiomaana mtume aliambiwa arejelee kwao.
Zipo kibao zitafute mwenyewe, ila mfano dhahiri ni wa Byzantine vs Persia vitaPrediction zipi hizo ziweke hapa
Historia ipo wazi, archeologist wamechimbua ,kila kitu hapo Yerusalemu kipo wazi , Hadi Rumi walivyovamia mwaka 70AD Kila kitu kipoYaani nimegundua ili uwe Muislam,lazima uamue kujivua akili zake na kujivika upumbavu.Yaani lazimanuamue kujidunga nusukaputi.
Niwekee Aya kwa Quran alivyotabiri hivoZipo kibao zitafute mwenyewe, ila mfano dhahiri ni wa Byzantine vs Persia vita
![]()
The Byzantine Comeback — Proving Islam
An unexpected turn of events that shocked the world, precisely prophesized beforehand. The comeback of the Byzantines.www.provingislam.com
Baada ya Byzantine kupigwa na Syria Quran ika predict within 9 years Byzantine watampiga Persia na utabiri ukawa kweli.
Si nimekuwekea, link yenye Aya?? Acha uvivuNiwekee Aya kwa Quran alivyotabiri hivo
Historia ipo wazi ,vitabu vipo wazi vya historia ,Kama shida yako ni kujua ukweli, hutoupata kwenye Mitandao ya kijamii, tafuta wasomi, hata sio lazima wasomi wa kiisilamu, tafuta wasomi wa Historia ambao ni verified kabisa wamebobea Hio field miaka na miaka wame dedicate maisha yao kufanya tafiti hizo.
Historia ya Jerusalem na Crusaders kuanzia mtafute Proffesor Roy Casagranda wa Chuo cha Austin Texas Marekani, Jamaa amebobea Historia ya Middle East na lectures zake ni Public anaziweka youtube, search tu jina lake youtube na Neno Crusaders kwa mbele.
Sio uvivu nilitegemea uweke maelezo na Aya ,wewe unaleta linkSi nimekuwekea, link yenye Aya?? Acha
🤣🤣🤣Sijui.
Haya maswali ni konki ,hata asiye muislamu akienda kufatilia atajua amepigwa changa la macho ,1. Hao wayahudi wasio wa zionism kama wapo hapo palestina je, wanauhusiano gani na sehemu inayopiganiwa na wapalestina wengine yaani hapo penye hekalu la suleiman au al aqsa?
2. Umesema kuwa mitume na mabii wengi walikuwa ni wayahudi.... Sasa dini yenu imetokana na ishmael na ikaja mpaka kwa mohamed ambae ni mwarabu... Je, mabii wakiarabu kutoka kwa ishmael mpaka kwa Mohamed wakowapi kama hawapo ni kwa nn?
3. Israeli kama taifa mwanzo wake ni upi? sababu hata maandiko ya historia za kale zinatambua israel kama taifa... Na je hao manabii wayahudi wakale uliowataja wao walikuwa taifa gani?
4. Kama a kila mtu anaejisalimisha kwa Mungu ni muislamu.... Basi wayahudi, wahindu, na dini zingine wote kwa tamaduni zao wako sahihi sababu abu kila mmoja anaamini amejisalimisha kwa Mungu...
Kwanini sasa uislamu unataka watu waslimu...? Hivyo huwenda Yesu hakuwa muislamu sababu tayari unakubali alikuwa ni myahudi ambayo nayo ilikuwa ni dini kama ulivyo sema na uislamu pia ni dini, kwa hio hata wakati wa Yesu uyahudi ulikuwepo na uislamu ulikuwepo, kwanini useme Yesu alikuwa ni mwislamu.?
Umejibu bla blaa sana ,umeripuaripua sana,wacha nijibu maswali yako kama ulivo uliza ili wote tupate kuelimika.
1. Hao wayahudi ambao sio wazayonist ni wazawa wa eneo hilo. Ndio maana watu wanasema wapalestina ndio waisrael wenyewe kwa sababu kiazazi chao kimeanza hapo zaidi ya miaka 100 iliyopita. hawajawa dispalced bibi na babu wamezaliwa hapo. toka kipindi cha Ottoman Empire walikuwa hapo sio wakristo sio waislam sio wayahudi baadhi walikuwa wakiishi pamoja ndani ya Palestina. Lengo la kupigani eneo hio ni kutokana na UWANZILISHI WA DINI ULIANZIA HAPO. Uislam tuna amini ulianza hapo kutoka kwa Nabii Ismael na vizazi vingine. hata Nabii Ibrahim amezikwa hapo.
2. Swali lako la pili nimekujibu kwa video inayo elezea family tree ya mtume Mohammad SAW.
3. Taifa la Israel limeanzia kwa Mtume Yakoub/ Yakobo mwana wa Isiaka mwana wa Ibrahim. pia kupitia hiyo video nimejibu maswali yako kadhaa. Unajua kwanini huyajui haya sababu dini yenu ina wazuia kutafuta elimu nnje ya box. mfano leo hii ukiona utata katika dini yenu utarudi kwa mchungaji ambaye huenda hajui chochote lakini ata kuzonga hivo hivo bila kukupa majibu. lakini katika uislam huwezi kumburuza mtu. unaweza kuwa ni imam au sheikh lakini ukikosea tuna kuchana. haya tuendelee na swali la nne.
4.Unajisalimisha kwa Mungu yupi? Una muita YESU Mungu ndio ujisalimishe kwake? Una abudu miungu au masanamu kama wale wahindi sijui ndio mabudha ndio useme uislam huo. kwani kisa na Nabii ibrahim kuvunja masanamu hamkusoma au kufundishwa katika vitabu vyenu?
nikuelimishe kidogo kuhusu hizi dini wayahudi walitaka ku sulubisha Yesu sababu walikataa ujumbe wa Injil. kwa sababu wayahudi wana muamini Nabii Musa.
Nabii Musa alikuwa myahudi na alikabidhiwa kitabu cha taurat. amri kumi za Mungu na ndio ali waahidi atawapeleka wa israel kwenye nchi ya ahadi.
mtume Mohammad SAW ndio mtume pekee na wa mwisho kuja au kuletwa katika zama zijazo mpaka kiama kitapo simama. sababu lengo la Mwenyezi Mungu lime timia. Ndio maana uislam umecover kila idara unayo ijua wewe na Quran tukufu ni kitabu kisicho kuwa na shaka ndani yake. Karibu tena mpaka tufike kwenye makubaliano sahihi. Ahsante
Wewe jamaa maswali yako yanafungua ubongo wa mtu aliyedanganywa1. Kama wote walikuwepo hapo kwa nn wanagombania eneo la al aqsa au solomon's temple.... Unasema hawakuwahi kuhamishwa je una fahamu historia juu ya kuvunjwa kwa hekalu la yerusalemu mwaka 70 AD? Je ni nini kilwakuta wayahudi?
2. Sasa mbona hao manabii wa kutokea upande wa Ishmael hamuwatumii katika kuonesha mtitiriko wa dini ya kiislamu ila mnatumia manabii wenye asili ya israel katika konesha muendelezo wa dini ya kiislamu. Je wao walifanya kitu gani cha kukumbuka katika uislamu kama dini.... Na hapo tayari unakubali wengi wa manabii kama suleiman, Daud, ayub wote hao walikuwa wayahudi, sasa kwanini hawa wayahudi tu ndo wanaonesha lineage ya uislamu?
3. Kama manabii wengi wakubwa katika uislamu pia walikuwa ni waisrael... Sasa hawa wanauhusiano gani na wale Ishmael ambao ndio chimbuko la uislamu?
4. Wewe siunasema Yesu alikuwa mwislamu na uislamu ni Dini... Na pia unakubali kuwa Yesu alikuwa ni myahudi na umeshasema kuwa uyahudi ni Dini je, Yesu huyo huyo alikuwa myahudi na muislamu kwa wakati mmoja? Kama sio kwann useme kuwa kila anaemwamini Mungu ni mwislamu.... Je Mungu yupi Yesu alimwamini Je ni ALLAH au ni YAHWEH(jehovah) ambae ni Mungu wa Israeli au wayahudi?
Nyongeza.. ; Kabla ya Muhammad, kabila lake la wa quraish waliabudu Mungu yupi? Sababu historia inasema kuwa walikuwa na miungu yao mingine tofauti na huyo Allah na wala hawakuwa waislamu....