Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Shida yenu ni kwamba huo uongo mnaodanganywa huko makanisani ndio mnauleta katika discussion

Huo uongo wa huko kanisani mnaita DOGMA uishie huko huko hapa lete ushahidi wa mandiko

Kuna watu kama wewe kipindi hicho Cha Mtume walijifanya wanajua sana hapo Allah anawauliza
Mlikuwepo kipindi Cha hao watu au mnazua zua tu

Quran2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.

Sasa hayo unayoyasema kuwa Ibrahim, Isaka na Yakobo na wanawe Yakobo hawakuwa waislam unatakiwa utoe ushahidi wa mandiko kuwa dini Yao ni ipi hizo DOGMA zenu pelekeni huko kanisani
 
Maana ya uisilamu si ndio kujisalimisha, unajua sababu gani wamesema hivi, sababu hakuna maandiko yeyote ya 'kabla ya kushushwa kwa Koran kwa Mohammad' yanayoongelea uislamu popote, ndio maana mkiulizwa hilo swali mnakimbilia kusema maana ya uislamu ni kujisalimisha kwa Mungu

Pia hao wayahudi ambao waliishi vizuri na wapelstina sasa hivi wako wapi, utamaduni wao ni upi, yule Mungu wao waliokuwa wakimtambua kama jehova abdo wapo hao? Ikiwa kama mnasema lile eneo ni la mazayuni feki wakizungu..

Nipe tofauti kuu kati ya wana wa israeli na wayuhudi, hujui kuwa uyahudi ni dini, neno limetokana Judea pahala walikuwa wakiishi, kabla halijatambulika kama israel hii sasa(eneo).?
 

Biblia inasema kipindi cha ibrahimu, babeli iliyokuwa ur ya wakaldayo waliabudu miungu mingine tofauti na Yahweh hilo linatabulika ila ni Miungu gani tena haswa kwa majina nadhani haina maana kwa tuwajue ili iweje? As long walikuwa miungu wasiopaswa kuabudiwa utambulisho huo unatosha...
 
Sasa kitu kilichocopy Biblia iweje kitoe description bora zaidi?
 
Sasa kitu kilichocopy Biblia iweje kitoe description bora zaidi?
Utakuwa umenielewa bibilia haijataka kutoa description zaidi kwa sababu sio center of attention, lengo ni kumjua Mungu sio shetani, sababu ukimjua Mungu huna haja ya kuangaika na shetani, ndio maana maelezo ya miungu hiyo ni machache kwenye biblia
 
Muhimu ni kua hapo Kuna msikiti iuliosimama maelfu ya miaka, na upo mpaka saa hii na utaendelea kuwepo kwa uwezo wa Mungu.

Hayo ya imaginary kanisa au hekalu lililo kuwapo hapo hayana mashiko sababu hakuna dalili.
Hata waislamu waliacha misikiti mingi mikubwa Hispania ambayo imefanywa makanisa au majumba ya makumbusho.
Kazi iendelee, waumini wa dini zote waendeshe ibada kwenye nyumba zao ibada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…