Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

The Quba Mosque in Medina was built in 622 CE. This is the first mosque that can be accurately dated and is described in the Islamic holy book, the Quran, as the first mosque to be built on piety.
Weka ushahidi wa hiki ulichokiandika. Msikiti wa kwanza ni wa Makka rejea katika Sahihi Bukhari kisha masjid al Aqsa na mtume akasema tofauti ya umri baina ya misikiti hiyo ni miaka 40.
KIJANA, uislamu na hekalu wapi na wapi
Jiamboe wewe sasa Hekalu kwa nabii Suleyman alikuwa analifanyia nini ?
unaleta janja janja,et chain,yaan mnaungaunga story, ili kudanganya umma
Hapa kwenye "chain" ndiyo huwa mnapoteana,kama hujui nini chain,wewe endelea kujadiliana na mimi kama hutakimbia hii mada. Sisi tunataka chain,hizi hanari mnazipata wapi ? Elimu hurithishwa vizazi na vizazi.
Hapo mlipovamia na kuweka msikiti wenu al aqsa, palikuwa na hekalu, historia haiongopi..
Suleyman alikuwa dini gani ? Niambie na unipe ushahidi.

Nipo ...
 
hahaaaa huu ndio uongo ambao tunauumbua, ibrahimu na uislamu wapi na wapi, ibrahimu ni wa dini ya kiyahudi hadi kina yakobo, na wanae 12 , uislamu wa 622AD , wapi na wapi na kina ibrahimu, huu uongo ndio hatuutaki
 
makka ilikuwa inakaliwa na wapagan... huo uislamu ulikuwepo lini

Kwahiyo LEO HEKALU ni nyumba ya ibada ya waislamu? maana twajua uislamu kaja nao mudy,Ukweli uko wazi kwenye Qur’an yenyewe (hata kama inajichanganya) kwamba Muhammad ndiye alikuwa mwanzo wa Uislamu, before mudy hakujawahi kuwepo hata dalili kama kuliwahi kuwepo dini inayoitwa uislamu, wala jengo liitwalo MSIKITI ,

suleiman ni dini ya kiyahudi akitokea moja ya makabila 12, kabila la YUDA, , moja ya dini kongwe , uislamu hata historia inauumbua , hakuwahi kuwepo kabla ya 622AD

Wale watoto 12 wa YAKOBO, walikuja kuwa makabila 12, na manabii wengi wametoka humo, hawaijui wala hawahusiki na dini ya kiislamu iliyokuja miaka 1500 BAADAE,

Dini ya ubudha tu ipo kabla ya ukristo, na historia inathibitisha, cha ajabu hakuna dalili kuliwahi kuwepo mtu wa dini ya kiislamu before 622A.D,


UNALETA HADITH ZA BUKHARI ambazo tu zimekuja kujulikana miaka 1000AD huko mudy kashakufa, ndio unataka kuthibitishia JAMBO la miaka 1300 B.C? unajitambua kweli
 
Kwa sisi weusi.kama mkaa aya tuusu sana aya natamani ya uane ya uko kubaki alone tuamie uko.

Waenga wanasema adui yako muombee njaa kwaiyo mayahudi na maarabu na yaombea yafumuane mpka kubaki.mashimo tu uko.
 
Umeishawahi kujiuliza Maka ilikuwaje kabla Muhammad hajazaliwa? Hakukuwahi kuwepo msikiti zaidi ni ibada za UPAGANI, ambazo mudy alipoanzisha uislamu aliziingiza humo....

Watu wa kabila la Kureshi wa Maka walimwabudu Hubal, Al-ilah na mabinti watatu wa Al- ilah. Mwamba mweusi kutoka mbinguni uliheshimiwa sana uliwekwa kwenye kona ya kaaba.

Kaaba ilikuwa ni kitovu cha kuabudia miungu/sanamu 360 kwa mujibu wa Bukhari juzuu ya 3 kitabu cha 43 sura ya 33 na.658 uk. 396 na juzuu ya 5 kitabu cha 59 sura ya 47 na.583 uk. 406.

Ensaiklopidia ya Uislam (iliyohaririwa na Eliade) uk.303 na kuendelea inasema, watu, kabla ya Uislam, waliomba mara 5 wakielekeza nyuso zao Maka na kufunga nusu siku kwa muda wa mwezi mzima. Wakureshi walifunga siku ya 10 ya Myharram/Muharam.

Hii nayo Muhammad aliagiza ifanyike, lakini baadaye ikawa hiari. (Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 25 na.172 uk.109), pia Bukhari juzuu ya 6 kitabu cha 60 sura ya 24 na.31 uk. 25.

Waarabu kabla ya Uislam walifanya hija (Umrah) Maka. Fiqh us-Sunnah juzuu ya 5 uk.122, na Bukhari juzuu ya 2 kitabu 26 sura ya 33 na.635 uk.371-372 zinasema walidhani kutokufanya 'Umrah ikijuwa ni moja ya dhambi kubwa sana duniani. Walipofika Maka waliifunika kaaba kwa nguo ya Fiqh juzuu ya 5 uk.131, na walikuwa na mwezi mtakatifu uliohitaji kujitenga na vita kabla ya kuja kwa Uislam (Bukhari juzuu ya 2 kitabu cha 23 sura ya 96 na.482 uk.273.


Kwa muhtasari, Maka wakati wa Muhammad ulikuwa mji wenye watu toka mataifa mbalimbali. Wasabaiani (Sabaeans), na kabila la Muhammad yaani Wakureshi waliabudu sanamu mwezi iliyoitwa Al-ilah au Allah, pamoja na mabinti zake watatu


HEKALU NI NYUMBA YA IBADA YA WAYAHUDI NA HUMO NDANI MWA HEKALU KULIKUWA NA IBADA ZA KUCHINJA WANYAMA ILI KUSAMEHEWA DHAMBI,KULIKUWA NA SANDUKU LA AGANO

Swali, haya mambo yanahusihana nini na uislamu, hadi muwasingizie Wakina IBRAHIMU, MUSA, SULEIMAN walikuwa dini ya kiislamu?
Hekalu la kwanza lilijengwa na mtoto wa mfalme Daudi,Mfalme Suleimani. Lilijengwa mnamo mwaka 957 KK.

Hekalu hili likabomolewa na mfalme Nebukadreza II mnamo 586 KK.
Hekalu la pili,
Lilijengwa 536 KK -515KK baada ya uhamisho wa Babeli.

BAADAE LILIVAMIWA MWAKA 70AD, historia haiongopi, baadae WAISLAMU walivamia hapo
 
Shida yako huna marejeo,unaandika kama unahadithia wenzako kijiweni.

Hadithi za Abunuwas zikoje na unazitofautishaje na Hadithi za Mtume,maana katika Hadithi za mtume zinaelezea mambo ya Historia na nukuu niliyo kuwekea ni hadithi ya Mtume katika kuelezea Historia ya ujengwaji wa msikiti wa al Aqsa.

Naona ulichokitarajia sicho.

Tuendelee....
 
hahaaaa huu ndio uongo ambao tunauumbua, ibrahimu na uislamu wapi na wapi, ibrahimu ni wa dini ya kiyahudi hadi kina yakobo, na wanae 12 , uislamu wa 622AD , wapi na wapi na kina ibrahimu, huu uongo ndio hatuutaki
Safi kabisa,nakuonyesha kama wewe hujui chochote katika historia.

Asili ya jina Uyahudi limetokana na nini na wapi na lini uyahudi ulijulikana...?

Pili,Yakobo ni mjukuu wa nabii Ibrahimu ambaye alimzaa nabii Is'haqa. Sasa nionyeshe kama Uyahudi ulikuwepo tu kipindi cha nabii Yusufu au baba yake Yakobo achilia mbali kipindi cha baba yetu wa Imani Ibrahimu,huko mbali sana.

Kisha utaniambia nini maana ya Uislamu.

Nipo ...
 
makka ilikuwa inakaliwa na wapagan... huo uislamu ulikuwepo lini
Hii ilikuwa lini ? Bado tunaduru katika Historia,nataka nikuonyeshe Historia sahihi ni ile yenye "chain".
Usiniulize swali ambalo unapaswa kujibu wewe,hekalu ni nini ? Ni kanisa ? Au hekalu ni soko ?

Huwa najiuliza inakuwaje mnajadili mambo msiyo kuwa na elimu nayo ?

Uislamu umegawanyika sehemu kuu mbili :

1. Uislamu wa ujumla huu ni ule ambao mitume na manabii wote waliufundisha ya kwamba aabudiwe Mola peke yake wala wasimshirikishe na chochote na kuwapiga vita mataghuti na washirikina kwa hali zao zote. Mafundisho haya yalifundishwa na mitume wote na manabii,ndiyo kuanzia Nuhu mpaka Mtume muhammad imani yao ilikuwa moja.

2. Kuna Uislamu maalumu ambao huu amekuja nao Mtume Muhammad.
suleiman ni dini ya kiyahudi akitokea moja ya makabila 12, kabila la YUDA, , moja ya dini kongwe , uislamu hata historia inauumbua , hakuwahi kuwepo kabla ya 622AD
Usipate shida kijana,thibitisha wapi Suleyman alikuwa myahudi,sababu Uyahudi ulilaaniwa kwa ulimi wa Yesu (Issa) na ulimi wa Dawood (Baba yake Suleyman).

Ukinithibitishia ya kuwa Suleyman alikuwa Myahudi kiimani mimi nitakuwa Myahudi.
Wale watoto 12 wa YAKOBO, walikuja kuwa makabila 12, na manabii wengi wametoka humo, hawaijui wala hawahusiki na dini ya kiislamu iliyokuja miaka 1500 BAADAE,
Wewe niambie tu lini Uyahudi ulianza na nani alikuwa wa mwanzo katika dini hii. Hizi stori nyingine hazina maana hapa,sababu hazielezei chimbuko la Uyahudi.
UNALETA HADITH ZA BUKHARI ambazo tu zimekuja kujulikana miaka 1000AD huko mudy kashakufa, ndio unataka kuthibitishia JAMBO la miaka 1300 B.C? unajitambua kweli
Ushawahi kukisoma hicho kitabu kwanza ? Ukweli uko hivi baada ya Qur'aan kwa usahihi hakuna kitabu kinazidi sahihi Bukhari kwa usahihi,kusanya vitabu vyote mpaka vya Sayansi hakuna duniani.

Sasa unatakiwa ujiuliza Bukhari ni nani na alikusanya vipi hizo hadithi je aliota au ilikuwaje kisha uje kujadiliana na mimi kuhusu Hadithi. Elimu yake ni elimu yenye sharafu.

Ndiyo maana sisi tunataka chain,Bukhari alikuwa na chain inayofika mpaka kwa mtume kupitia watu walio waona wanafunzi wa mtume mpaka walio muona mtume. Leo hii hapo ulipo unaamini ya kuwa Isaac Newton alikuwepo lakini tukikuuliza unamjua yeyote aliyemuona Newton na akatupasha sisi habari mpaka kufika leo hii,swali hili huwezi kujiuliza zaidi ya kukariri nw kufurahia stori za Sayansi,lakini huki kwetu lazima tumjue nani amesimulia toka kwa nani mpaka inafika kwa wa kwanza. Hii ndiyo Elimu ya Haidithi.

Tuendelee...
 
HEKALU NI NYUMBA YA IBADA YA WAYAHUDI NA HUMO NDANI MWA HEKALU KULIKUWA NA IBADA ZA KUCHINJA WANYAMA ILI KUSAMEHEWA DHAMBI,KULIKUWA NA SANDUKU LA AGANO
Safi kabisa,sasa tuthibitishie ya kuwa Suleyman ni Myahudi.
Umeishawahi kujiuliza Maka ilikuwaje kabla Muhammad hajazaliwa? Hakukuwahi kuwepo msikiti zaidi ni ibada za UPAGANI, ambazo mudy alipoanzisha uislamu aliziingiza humo....
Siyo kwamba nimeshawahi,sema nikwambie hizi habari utazipata wapi. Vitabu vya historia ya Uislamu vimeelezea haya yote,rejea kitabu "Al Bidayah wa an Nihayah" cha Imaam Ibn Kathiri.

Rejea kadhalika kitabu "Tarekh al Kabiir" cha Imaam al Bukhari na vitabu vingine katika historia. Kadhalika rejea kitabu "Mu'ujam al Buldan" cha Yakut.
 
hahaaaa huu ndio uongo ambao tunauumbua, ibrahimu na uislamu wapi na wapi, ibrahimu ni wa dini ya kiyahudi hadi kina yakobo, na wanae 12 , uislamu wa 622AD , wapi na wapi na kina ibrahimu, huu uongo ndio hatuutaki
Unaweza kuthibitisha kuwa Ibrahim ni wa dini ya kiyahudi kimaandiko?
 
Na kudai hadi Adam na Eva walikuwa Waislam wenzao, sijui walisilimu wapi wakati aliyeleta Uislam Mtume Mudy hakuwepo

Wafuasi wa Bwn.Mudy wanachekesha sana

[emoji317][emoji317][emoji317]
Kama unakataa Adam na Eva walikuwa sio waislamu, bila Shaka unayo majibu walikuwa watu wa dini tofauti ebu tumbie walikuwa wa dini gani?
 
Unawapigia mbuzi gitaa wacheze

Hawa Waislam hawana asili ya kupenda Elimu wala Ukweli, hapa watakutukana na kukubeza sana bila kujali mwezi huu wanaouita mtukufu.

Ngoja waje wale walioshiba vizuri futari waanze kukujambia utakoma
Kujamba ni maumbile, labda wewe umekosa ladha hiyo pole sanaaaaaaa, ukweli huonekana haulazimishwi
 
Tatizo LA nyie jamaa hamsomi vitabu vyenu, mngekuwa mnasoma msingekuwa clueless hivi,

Hao mitume waliopita walikuwa wapoje? Walihubiri nini na Mtume Muhammad kahubiri nini? Na Leo waisilamu wanafanya nini?

Waisilamu Leo wamekuwa watu wanao Fuata Maelekezo ya yesu kushinda nyie mnaofuata dini ya tamaa.

Mpaka sasa hivi hujaleta ushahidi wowote wa kupinga nilicholeta mimi hapa, nimekuwekea hadi picha kwamba Dome of rock sio AL aqsa pekee kama mnavyoclaim.

Nakuletea ushahidi mwengine toka maandiko ya kiyahudi ambayo Yana lingana na maandiko ya kiisilamu

Lete na wewe ushahidi otherwise ukae kimya maana porojo hazisaidii
 
Nitajie Elimu mliyoitunza inayotusaidia hivi sasa
Vitu vingi vya mathematics, physics na chemistry asili yake ni uislamu na ndio maana ukisoma Kemia mambo mengi yanaanzi wa na AL ambayo kiarabu ni The, vitu kama Alchemy, Alkaline etc.

Juzi tu Hapa Unesco wamekubali kwamba University ya kwanza kutoa Degree ni invention ya Bibie Fatma huko Morocco toka Karne ya 9,

Leo katika ulimwengu wa kutoa Elimu kuna kitu bora kuliko Vyuo vya Elimu na maabara za Tafiti? Mbona vyote hivi ni legacy za waisilamu?
 
Galatia lisilo na akili hili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…