allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,233
- 10,563
Mimi na wachora tu afu venye mijinga inaweza ata kuuana hii.Mizimu ya babu zenu na miungu yenu mnaiacha mnagombania majengo ya bara Asia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na wachora tu afu venye mijinga inaweza ata kuuana hii.Mizimu ya babu zenu na miungu yenu mnaiacha mnagombania majengo ya bara Asia.
Usichachamae kusema waislam wasome je wewe umeshasoma na ukapata majibu sawasawa kuwa Yale masanamu mnayoyachonga na kuyanyenyekea na kuyapiga mabusu motomoto ndiye yesu hasa au ile sura ilikopiwa wapi kiasi cha kila afugae midevu na nywele ndefu ujikute fahamu zikikutoka,na je pale yesu alipokufa na kuzikwa kabla kufufuka dunia ilikuwa inaongozwa na nani Baada ya Mungu kufa kwa kutundikwa msalabani?Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire
Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa wamedanganwya na kulishwa vitu vingi vya uongo.
View attachment 1757085
Kilicho jitokeza ni nini?
Waislam wengi huupinga na kusema huu ni msikiti uliojengwa na Suleiman![]()
ni vichekesho kidogo wengine wakasema umejengwa na Umar ibn Al-Khattāb ili mradi tu! Kupinga kuwa haukuwa kanisa before.![]()
Na kitu wanacho changanya waislam wengi ni msikiti wa al aqsa na the dome of the rock
The dome of the rock sio msikiti msikiti ni al aqsa ijapokuwa hivi vitu viwili vipo karibu na eneo moja
hiyo ni kawaida ya waislam wengi kupinga na kupinga kwao si bure coz ni wamefundishwa vitu vingi na bila kujua kuwa mengine walidanganywa kwa manufaa ya viongozi wao bila wao kujua ni sumu walilishwa.
So tuangalie historia kidogo
Eneo hili ndipo palipokuwa hekalu la wayaudi na mara kwa mara waisrael walipokuwa wakivamiwa na kushambuliwa basi hekalu lilibomolewa basi miaka ikasonga mfalme Suleiman akajenga hekalu jipya kwa vipimo alivyopewa na Mungu
1 wafalme 6:1-38 likaanza kutumika miaka ikasonga mpaka akaja YESU kristo na kutoa utabiri huu
Marko 13:1-2![]()
Alipokuwa akitoka nje ya Hekalu, mmojawapo wa wanafunzi wake akamwambia, “Mwalimu, ona jinsi mawe haya na majengo haya yalivyo maridadi!”
Yesu akamjibu, “Unayaona majengo haya yalivyo makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalobaki juu ya jingine, yote yatabomo lewa.”
Na utabiri huo ulitimia March mwaka 70 A.D baada ya kristo kufa na kupaa mbinguni, warumi waliuvamia mji wa Jerusalem na kulibomoa kabisa hekalu na kila kitu kilichomo ndani ya hekalu hakikubakia kitu Kama Yesu alivyotabiri/
So nashangaa waislam wanavyosema kuwa huo msikiti ulijengwa na Suleiman wakati hekalu alilojenga Suleiman lilishabomolewa na warumi mwaka 70 na lilikuwa ni hekalu na si msikiti remember that![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
So miaka ikasonga mnamo mwaka 310A.D ndipo dola la kirumi lilianza kugeuza uelekeo na kuwa la kikristo kamili ,mfalme Constatino na mama yake Herena walianza kujenga makanisa katika dola ya kirumi na ndani ya Jerusalem 313AD, kwa kipindi hiko na moja ya makanisa yaliojengwa ni pamoja na hilo
msikiti wa al aqsa
Ilipofika mwaka 638AD Umar ibn Al-Khattāb aliuteka mji wa Jerusalem na kuukalia na kubadilisha mambo mengi ndani ya mji na moja vitu alivyo badirisha ni kanisa hilo na kujenga the dome of the rock but ilipofika mwaka 1100AD wakristo waliuchukua tena huo mji na kuukalia wakarudisha vitu vyao tena but ilipofika mwaka 1500AD Ottoman waliuchukua tena mpaka mwaka 1900AD, but kipindi cha katikati hapo Jerusalem hapakutulia palikuwa na mashambulio ya mara kwa mara baina ya Muslim na Christian na Jewish but ilipofika mwaka 1917 great British waliuchukua mji na kuukalia baada ya hapo ni mgawanyo wa mji mpaka leo
So tukirudi kwnye mada yetu ili jengo lilikuwaje?
Kama tunavyoona kwenye picha kapo chinimuundo wa ujenzi na mosic, milango, madirisha, nguzo 100% ni mitindo ya makanisa hiyo haitoshi hivi karibuni kumegunduliwa mosic yenye takribani miaka 1700 ambapo ni mitindo ya Byzantine empire kwenye kudecorate makanisa na majengo yao miaka hiyo na imegunduliwa eneo moja wapo la msikiti so hii inatoa ushaidi tosha kuwa Byzantine or Roman empire walikuwa ndio wajenzi wa jengo hili na si vinginevyo![]()
So kwa waislam wote nawasihi kusoma histolia before hujadanganywa na viongozi wenu coz bila kujua na nyinyi mnaongozwa na mihemko kuliko akili
View attachment 1757143
Nani kakwambia nyakati zote sheria ilikuwa ni moja tu? hii ndio shida Uislam hujui halafu unausemea kuna changamoto sana, kila Umah ulikuwa na sheria yake kijana, Kuna Umah wa Adam huna sheria zake, Umah wa Ibrahim huna sheria zake, Umah wa Mohammed una sheria zake, sasa unaleta maswali ata mtoto mdogo anakushangaa, ndio Adam alikuwa Muislamu na aliingia Uislam kwa kukiri Mungu mmoja wala hana mshirika, suala la nabii ata yeye Adam alikuwa nabii hivyo haitaji kumkiri Mohamad, na watu wa Umah wake watamkiri Adam kama nabii sio Mohammed, watu wa Umah husika watawajibika kwa nabii na sheria husika, SWALI tuambie Adam alikuwa DINI gani kama unadai hakuwa Muislamu?Walatamka Shahada?
Walishuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Mtume mmoja tu ambaye ni Muhammad?
Jibu kinagaubaga
Mbona mkuu hujajibu hoja za AL aqsa umekimbilia huku?
Kumfuata mtu kuna mambo mengi
1. Appearence yake, Yesu alikuwa akifunga ndevu kama mitume wengine leo hamfuati mafundisho haya
2. Mavazi yake ya kanzu fupi na makubazi Leo utasikia wakristo wanavyodhihaki watu wanaovaa hivi, wanawake wake kama mama yake alikuwa akivaa ushungi lakini leo mmeutupa kule
3.kabla ya Ibada yesu alikua akiosha mikono, miguu, na uso kama waisilamu wa Leo,
4.yesu na mitume wa zamani walikuwa wakiabudu kwa kusujudu chini kama waisilamu wa leo
-yesu mwenyewe (as)
And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt." - New Testament (Matthew 26:39)
-wanafunzi wake
And when the disciples heard it, they fell on their face, and were sore afraid." - New Testament (Matthew 17:6)
-na Musa (as)
And Moses made haste, and bowed his head toward the earth, and worshipped." - Old Testament (Tanakh) (Exodus 34:8)
-na Ibrahim (as)
And Abram fell on his face: and God talked with him, saying," - Old Testament (Tanakh) (Genesis 17:3)
Nyie mmeieka tu ile Bible kama pambo, hamsomi wala hamuifatilii,
(AL – AN-A’AM – 163)Mbona mkuu hujajibu hoja za AL aqsa umekimbilia huku?

Ibrahimu Hakuwa Muislamu, wala Mwanaye Ismaeli Sio Baba wa Waarabu wala Allah wa Quran HAJUI maana na asili ya Neno IsraeliMbona mkuu hujajibu hoja za AL aqsa umekimbilia huku?
Kumfuata mtu kuna mambo mengi
1. Appearence yake, Yesu alikuwa akifunga ndevu kama mitume wengine leo hamfuati mafundisho haya
2. Mavazi yake ya kanzu fupi na makubazi Leo utasikia wakristo wanavyodhihaki watu wanaovaa hivi, wanawake wake kama mama yake alikuwa akivaa ushungi lakini leo mmeutupa kule
3.kabla ya Ibada yesu alikua akiosha mikono, miguu, na uso kama waisilamu wa Leo,
4.yesu na mitume wa zamani walikuwa wakiabudu kwa kusujudu chini kama waisilamu wa leo
-yesu mwenyewe (as)
And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt." - New Testament (Matthew 26:39)
-wanafunzi wake
And when the disciples heard it, they fell on their face, and were sore afraid." - New Testament (Matthew 17:6)
-na Musa (as)
And Moses made haste, and bowed his head toward the earth, and worshipped." - Old Testament (Tanakh) (Exodus 34:8)
-na Ibrahim (as)
And Abram fell on his face: and God talked with him, saying," - Old Testament (Tanakh) (Genesis 17:3)
Nyie mmeieka tu ile Bible kama pambo, hamsomi wala hamuifatilii,
Tatizo LA nyie jamaa hamsomi vitabu vyenu, mngekuwa mnasoma msingekuwa clueless hivi,
Hao mitume waliopita walikuwa wapoje? Walihubiri nini na Mtume Muhammad kahubiri nini? Na Leo waisilamu wanafanya nini?
Waisilamu Leo wamekuwa watu wanao Fuata Maelekezo ya yesu kushinda nyie mnaofuata dini ya tamaa.
Mpaka sasa hivi hujaleta ushahidi wowote wa kupinga nilicholeta mimi hapa, nimekuwekea hadi picha kwamba Dome of rock sio AL aqsa pekee kama mnavyoclaim.
Nakuletea ushahidi mwengine toka maandiko ya kiyahudi ambayo Yana lingana na maandiko ya kiisilamu
Lete na wewe ushahidi otherwise ukae kimya maana porojo hazisai
SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAM MSIKITINMuogopeni Mungu na Moto wake, msibadili maneno yake, hii Aya Tafsiri yake ni
(39:12) and I am bidden to be the first of those who surrender to Him.”33
33. That is, my mission is not only to exhort others but also to practice what I preach to myself. First, I follow the way which I call others to follow
Ikimaanisha Mtume ametakiwa kuwa wa kwanza kufuata anachokihubiria na sio anahubiri ikiwa yeye hafuati
Jibu la hio Aya ya 163 ungelipata kwenye Aya ya 161 ambayo ni muendelezo (Aya ya 161 mpaka 163 inazungumzia kitu kimoja) Aya ya 161 inasema
{161. Say: “Truly, my Lord has guided me to a straight path, a right religion, the religion of Ibrahim, Hanifan (monotheism) and he was not of the Mushrikin.”
uislsmu umekuja mwaka 600AD, sayansi ipo before uislamu... leo unadanganya, unapozungumzia ELIMU dunia, uislamu upo nyuma sanaVitu vingi vya mathematics, physics na chemistry asili yake ni uislamu na ndio maana ukisoma Kemia mambo mengi yanaanzi wa na AL ambayo kiarabu ni The, vitu kama Alchemy, Alkaline etc.
Juzi tu Hapa Unesco wamekubali kwamba University ya kwanza kutoa Degree ni invention ya Bibie Fatma huko Morocco toka Karne ya 9,
Leo katika ulimwengu wa kutoa Elimu kuna kitu bora kuliko Vyuo vya Elimu na maabara za Tafiti? Mbona vyote hivi ni legacy za waisilamu?
QUR'AN NI KITABU CHA WAARABU WANNE SIYO KITABU CHA MWENYEZI MUNGUVitu vingi vya mathematics, physics na chemistry asili yake ni uislamu na ndio maana ukisoma Kemia mambo mengi yanaanzi wa na AL ambayo kiarabu ni The, vitu kama Alchemy, Alkaline etc.
Juzi tu Hapa Unesco wamekubali kwamba University ya kwanza kutoa Degree ni invention ya Bibie Fatma huko Morocco toka Karne ya 9,
Leo katika ulimwengu wa kutoa Elimu kuna kitu bora kuliko Vyuo vya Elimu na maabara za Tafiti? Mbona vyote hivi ni legacy za waisilamu?
Note: kwenye uislam hamna kiongoz anaitwa muddy,huo ni uhunimakka ilikuwa inakaliwa na wapagan... huo uislamu ulikuwepo lini
Kwahiyo LEO HEKALU ni nyumba ya ibada ya waislamu? maana twajua uislamu kaja nao mudy,Ukweli uko wazi kwenye Qur’an yenyewe (hata kama inajichanganya) kwamba Muhammad ndiye alikuwa mwanzo wa Uislamu, before mudy hakujawahi kuwepo hata dalili kama kuliwahi kuwepo dini inayoitwa uislamu, wala jengo liitwalo MSIKITI ,
suleiman ni dini ya kiyahudi akitokea moja ya makabila 12, kabila la YUDA, , moja ya dini kongwe , uislamu hata historia inauumbua , hakuwahi kuwepo kabla ya 622AD
Wale watoto 12 wa YAKOBO, walikuja kuwa makabila 12, na manabii wengi wametoka humo, hawaijui wala hawahusiki na dini ya kiislamu iliyokuja miaka 1500 BAADAE,
Dini ya ubudha tu ipo kabla ya ukristo, na historia inathibitisha, cha ajabu hakuna dalili kuliwahi kuwepo mtu wa dini ya kiislamu before 622A.D,
UNALETA HADITH ZA BUKHARI ambazo tu zimekuja kujulikana miaka 1000AD huko mudy kashakufa, ndio unataka kuthibitishia JAMBO la miaka 1300 B.C? unajitambua kweli
MUHAMMAD NI NABII WA UONGO ALISEMA UKILA TENDE SABA ZA KUTOKA AJWA HUWEZI KUFA KWA SUMU WALA KUROGWA LAKINI MUHAMMAD ALIKUFA KWA SUMU NA ALIROGWA PIA KWA USHAHIDI HUU MUHAMMAD SI MTUME WA MWENYEZI MUNGU 100%Shida yako huna marejeo,unaandika kama unahadithia wenzako kijiweni.
Hadithi za Abunuwas zikoje na unazitofautishaje na Hadithi za Mtume,maana katika Hadithi za mtume zinaelezea mambo ya Historia na nukuu niliyo kuwekea ni hadithi ya Mtume katika kuelezea Historia ya ujengwaji wa msikiti wa al Aqsa.
Naona ulichokitarajia sicho.
Tuendelee....
SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAMU MATAKONI JAMAEnyi wagalatia msio na akili ni nani aliye.............
Note: kwenye uislam hamna kiongoz anaitwa muddy,huo ni u
Hebu andika Aya ya 161 ya sura hio hio Aya ya pili tu toka nyuma ya hapo.(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.
Hapo katika zama zake hakuna, yeye anatajwa kuwa ni wa kwanza wa Waislamu, sasa tuambie, katika ya MUHAMMADI ambaye ni muislamu wa kwanza, na Yesu Kristo Mwana wa Mungu, ni nani ametangulia kuwepo DUNIANI??
PIA JE! Kuna andiko hata moja, la Yesu Kristo, amenukuliwa na wanafunzi wake, akisema yeye ni muislamu, ama kulitaja tu neno Uislamu?
MUHAMMADI anakiri kwa kusema kwamba yeye ni muislamu wa kwanza.
لَا شَرِيكَ لَهُ ۖ وَبِذَٰلِكَ أُمِرْتُ وَأَنَا أَوَّلُ الْمُسْلِمِينَ
(AL – AN-A’AM – 163)
Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.
Je! unalo andiko mfano wa hilo kwa kinywa cha Yesu Kristo mwenyewe akisema yeye ni Muislamu???
Huwezi ukafasiri kitu kwa ku quote maneno matatu tu unatakiwa usome kitu kwa ujumla wake,kifupi cha muhammad
MUHAMMAD NI NABII WA UONGO KANUKUU UCHAWI WA ZAMANI
Qurani 15:91 Ambao wameifanya Quran kuwa ni mkusanyiko wa uongo aliokusanya nabii Muhammad akadai kuwa ni maneno ya Mwenyezi Mungu![]()
Quran 74:24 Na akasema Hayakuwa haya aliyokuja nayo Nabii Muhammad ila ni uchawi ulionukuliwa kwa wachawi wakubwa kabisa wa zamani?![]()
ACHA UONGO HATA KAMA MUDY KARUHUSUMbona mkuu hujajibu hoja za AL aqsa umekimbilia huku?
Kumfuata mtu kuna mambo mengi
1. Appearence yake, Yesu alikuwa akifunga ndevu kama mitume wengine leo hamfuati mafundisho haya
2. Mavazi yake ya kanzu fupi na makubazi Leo utasikia wakristo wanavyodhihaki watu wanaovaa hivi, wanawake wake kama mama yake alikuwa akivaa ushungi lakini leo mmeutupa kule
3.kabla ya Ibada yesu alikua akiosha mikono, miguu, na uso kama waisilamu wa Leo,
4.yesu na mitume wa zamani walikuwa wakiabudu kwa kusujudu chini kama waisilamu wa leo
-yesu mwenyewe (as)
And he (Jesus) went a little farther, and fell on his face, and prayed, saying, O my Father, if it be possible, let this cup pass from me: nevertheless not as I will, but as thou wilt." - New Testament (Matthew 26:39)
-wanafunzi wake
And when the disciples heard it, they fell on their face, and were sore afraid." - New Testament (Matthew 17:6)
-na Musa (as)
And Moses made haste, and bowed his head toward the earth, and worshipped." - Old Testament (Tanakh) (Exodus 34:8)
-na Ibrahim (as)
And Abram fell on his face: and God talked with him, saying," - Old Testament (Tanakh) (Genesis 17:3)
Nyie mmeieka tu ile Bible kama pambo, hamsomi wala hamuifatilii,
Kwenye Quran na sunnah kwa ujumla kuna mamia ya vitu vimekuwa predicted ama kuelezewa ambavyo ni karibuni tu vimekuja kuthibitika kama ni kweli kama vileQUR'AN NI KITABU CHA WAARABU WANNE SIYO KITABU CHA MWENYEZI MUNGU
1 saidna abubakar.
2 saidna ummar
3 saidna uthman na
4 saidna ally
Watunzi wa Quran ni Muhammad na amawshikisha maswahaba wake ambao ni:
~ Abu bakari
~ Zayd ibn Thabit
~ Uthman
ni kwa mujibu wa Suna![]()
( sahih bukhari -vol 6, book 61, Hadith 507)
WaShia nao wanasema aliye andika ni :
~ AL ibn Abi Talib
( Tafsiri ya Ali Juma Mayunga uk 190-1)