Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Wajua msikiti wa Al aqsa Jerusalem ulijengwa likiwa ni kanisa la Byzantine (Byzantine church)?

Baba wa Imani unasema alikuwa Dini gani tena!? Hivi unajua Uislam ulianza lini duniani?
Nasema hivi hakuna nabii wala Mtume wa Mola ambaye hakuwa Muislamu,anzia kwa nabii Nuhu.

Wote walikuwa Waislamu,kuna mwenzako anasema nabii Ibrahimu alikuwa Myahudi,nikamuomba ushahidi naona ametokomea,na wewe utaniambia nabii Ibrahimu alikuwa dini gani ?
 
kosa ni uislamu kudanganya watu, kuwa suleimani alijenga msikiti... ili kudanganya umma, uislamu ulikuwepo before 600AD
Hivi Suleiman na msikiti wapi na wapi?
Seleiman alijenga masinagogi kwa ajili ya dini ya kiyahudi.
Misikiti imeanza wakati wa Mohamed, kwanini waislamu wanapenda sana kudandia mambo?
 
Nasema hivi hakuna nabii wala Mtume wa Mola ambaye hakuwa Muislamu,anzia kwa nabii Nuhu.

Wote walikuwa Waislamu,kuna mwenzako anasema nabii Ibrahimu alikuwa Myahudi,nikamuomba ushahidi naona ametokomea,na wewe utaniambia nabii Ibrahimu alikuwa dini gani ?
Toa ushahidi kuwa Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu na sio Myahudi.
Au nyie waislamu ni wayahudi basi.
 
Toa ushahidi kuwa Nabii Ibrahimu alikuwa Muislamu na sio Myahudi.
Au nyie waislamu ni wayahudi basi.
Allah anasema katika Qur'aan :

127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

128. Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.

131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.

132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

133. Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. (al-Baqarah : 127 - 133)

Akasema tena katika sura ya 3 ndani ya Qur'aan :

67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. (al-Imraan : 67)
 
UKIONWA UNAROGWA WEWE NI DHAIFU KTK IMANI

NDIO MAANA HAKUNA NABII WA MUNGU AU MTUME ALIYEROGWA

NI DHAHIRI MUHAMMAD NI NABII WA UONGO

Hes 23:23

Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
Vipi kuhusu kuvalishwa diaper na kutandikwa msalabani we mfuasi wa Brian Deacon? Umeenda kuliomba sanamu la Brian Deacon au picha yake leo?
 
Kwenye Quran na sunnah kwa ujumla kuna mamia ya vitu vimekuwa predicted ama kuelezewa ambavyo ni karibuni tu vimekuja kuthibitika kama ni kweli kama vile

1. Nyuki Ana matumbo mawili
2. Siafu wanaongea
3.bing bang theory
4. Expansion of universe
5.Embryology
6.fingerprints etc

Kuna mamia ya vitu yameelezewa miaka 1400 iliopita.

Nielezee mkuu walijuaje?
kwan kweny bible hakuna vitu vikivotabiriwa na vinatokea kweli?
 
kwan kweny bible hakuna vitu vikivotabiriwa na vinatokea kweli?
Mkuu sisi waisilamu hatukatai Taurat, INjil na zaburi havikuwepo, Katika Nguzo za imani za uislamu ni lazima uamini Hilo. Waisilamu wengi point yetu kuhusu Bible ni kwamba imechakachuliwa mpaka kukosa uhalisia wake (kufuata matamanio ya watu)

Na mimi nimeweka point Kuhusu Dini yangu ya uislamu, haiwezekani mtu karne ya 7 huko miaka zaidi ya 1400 iliopita atabiri vitu vitokee leo, angetabiri kimoja ama viwili basi ungesema ni fluke, ila kuna mamia ya predictions na maelezo ya vitu vya anga, physics, biology etc ambavyo vingi vimegunduliwa miaka ya karibuni, hizi ni signs kwamba si kitabu cha binadamu.
 
naamin hapakua na dini yoyote
Kwenye uislamu hakuna kitu kama kutokua na dini, binadamu wote wana dini,

Dini ni lifestyle maisha unayoishi toka kuamka mpaka kulala, Dini yako inaweza kuwa simba ama yanga, dini inaweza kuwa mziki, unaweza abudu hela etc.
 
Dini dini dini ni pasua kichwa ndugu zangu udugu wetu, umoja wetu kikomo chake huwa dini nakwambia. Tukifika tu suala la kujadili na kuongelea dini kwa kila mtu kuinenea vema ya kwake ghafla mabishano hutokea na kupingana na kuoneshana ya kwako sio kitu zaidi ya yakwangu.
Histori husena kweli lakini dini huaminisha kile ambacho ukiwa mfuasi lazima uamini na nilazima na usipoamini basi wewe sio wa imani hiyo kabisa.
Sasa nini tufuate? Historia tuambiwayo na wazee wetu walioishi kwenye zama hizo au imani katika kufuata dini zetu?
Ninacho amini mimi baada ya kusikiliza histori na kuamini ktk imani yangu juu ya dini yangu haya nimeamua kuja nayo katika maisha.

1. Mungu yupo
2. Mungu hana dini
3. Dini ni njia tu yakujua makuu ya Mungu
4. Dini sio njia ya kukupeleka mbinguni
5. Mbinguni tunapelekwa na common terms ambozo zinamuelezea Mungu (matendo yasio unafiki katika maisha ya kila siku)

6. Dhambi ni kumkosea binadamu mwenzako, viumbe vingine vinavyokuzunguka na Mungu na sio kukosea dini.

7. Mungu ni upendo.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Allah anasema katika Qur'aan :

127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi ya ile Nyumba wakaomba: Ewe Mola Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi.

128. Ewe Mola Mlezi wetu! Tujaalie tuwe ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi vyetu wawe umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe ndiye Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.

129. Ewe Mola Mlezi wetu! Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hikima.

130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa anayeitia nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.

131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia: Silimu, Nyenyekea! Alinena: Nimesilimu, nimenyenyekea kwa Mola wa walimwengu wote.

132. Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

133. Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. (al-Baqarah : 127 - 133)

Akasema tena katika sura ya 3 ndani ya Qur'aan :

67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. (al-Imraan : 67)
Tatizo linaanzia hapa, Allah anasema na kumbukeni, maana yake nini? Wakumbuke kutoka kwenye maandiko au simulizi. Kama ni hivyo ni maandiko yapi?
 
Mpagani ni mtu asiye na imani yeyote ya DINI(kamusi ya kiswahiliii ) , kwahiyo unatuthibitishia kuwa wakina Adam walikuwa wapagani?
dini ya zamani kuliko dini zote ni hinduism according to records...na ukitumia hata logic kuchek na kutafakari sheria zao unaweza ona iko more perfect kuliko hata dini zetu hizi mbili
 
dini ya zamani kuliko dini zote ni hinduism according to records...na ukitumia hata logic kuchek na kutafakari sheria zao unaweza ona iko more perfect kuliko hata dini zetu hizi mbili
Mbona unajibu kitu ambacho sijakuuliza Mzee, ebu Jikite kwenye mambo ulioulizwa, Acha kuchafua maongezi, swali langu lipo wazi nijibu
 
Tatizo linaanzia hapa, Allah anasema na kumbukeni, maana yake nini? Wakumbuke kutoka kwenye maandiko au simulizi. Kama ni hivyo ni maandiko yapi?
Hapo anafunuliwa habari za zamani Mtume wa Allah kuhusu mitume na manabii waliopita. Unafikiri angezipata vipi habari za uhakika bila kufunuliwa na Mola wake mwenye kujua na mjuzi wa kudhibiti mambo kipindi ambacho maandiko yalikuwa yanepotoshwa na kusahaulika ?

Hapo tatizo unalo wewe na hakuna tatizo hapo.
 
Tatizo liko pale pale. Allah anasema 'na kumbukeni', Allah anamkumbusha mtume au mtume anaukumbusha umma!?
 
Back
Top Bottom