Anaambiwa Mtume kisha Mtume anatuambia sisi maana yake sote tunaingia humo.Tatizo liko pale pale. Allah anasema 'na kumbukeni', Allah anamkumbusha mtume au mtume anaukumbusha umma!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaambiwa Mtume kisha Mtume anatuambia sisi maana yake sote tunaingia humo.Tatizo liko pale pale. Allah anasema 'na kumbukeni', Allah anamkumbusha mtume au mtume anaukumbusha umma!?
Hayo ni madai yako ww na makafiri wenzako.YAMEKUWEPO madai kwamba Uislam ulianza tangu kuumbwa kwa dunia. Na wapo watu wanaotuaminisha hayo. Ukweli ni kwamba Uislam ulianzishwa na Nabii Muhammad mwaka 622 BK huko Arabia. Kabla yake, dini zilizokuwepo zilikuwa ni Uyuda ambayo ni dini rasmi ya Wayahudi (Judaism) na Ukristo ambayo ni dini ya mataifa wasio Wayahudi
Kweli kabisa ni habari njema. Kwa sababu lazima Wayahudi wauvunje huo msikiti ili wajenge hekalu lao ili lile neno litimie. Usinhekuwepo huo msikiti basi unabii wa mitume wa Kiyahudi ungekuwa wa uongo. Lazima msikiti uvunjwe lijengwe hekalu.Kama lilikuwa kanisa then ukawa msikiti ni habari njema hio [emoji4]
[emoji41][emoji41]uislamu umejengwa juu ya uongo
Njoo na hoja shindanishi ni sio maneno uliyolishwa na wasiojua kitu sheikh!Huyo jamaa ni empty head with empty minda
Magogoni ilikuwa Chuo cha kufundisha mafundisho matukufu ya Dini ya Uislamu.Wanadai mpaka ikulu ya Tanzania ni yao mkuu
Jomo Kenyatta aliwahi kusema tuliambiwa tufumbe macho tuombe, kuja kufumbua macho wametuachia Bible wenyewe wamechukua mali wamesepa. Kwahiyo ukristo umejengwa juu ya utapeli!!!!uislamu umejengwa juu ya uongo
Acha kutoa nukuu za uongo.Jomo Kenyatta aliwahi kusema tuliambiwa tufumbe macho tuombe, kuja kufumbua macho wametuachia Bible wenyewe wamechukua mali wamesepa. Kwahiyo ukristo umejengwa juu ya utapeli!!!!
sikutaka kukoment huu Uzi ila Kwa comment Yako imedhihilisha wewe ni kilaza mmoja usiejua chochote kuhusu historia ya Dini hizi za Abrahamic Yaani unataka kutuaminisha hapa et misikiti ilikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca?Hayo ni madai yako ww na makafiri wenzako.
Jordan maeneo kama Petra,Israel maeneo ya occupied west bank kuna mabaki ya msikiti yaligundulika na kupimwa na kusemekana yalikuwepo toka 500AD kabla kuzaliwa kwa Muhammad.
Ila ww nguruwe pori mmoja unataka utuaninishe tofauti.
Makkah kuna unyayo wa Ibrahim ulokauwepo miaka zaidi ya 300 kabla ya Muhammad kuzaliwa.
TEMBEENI MUJIFUNZE HUSUSAN PETRA NA SUUDIA MTAUJUA UKWELI
Hapa ndipo Waislamu wanaponiacha hoi!Wewe na hao waisilamu wako (kama wapo) wote mmejichanganya.
Masjid al aqsa ni eneo kama unavyo sema kinondoni,
Waisilamu hawa swali kwenye Dome of the rock, wanaswali kwengine, na dome of the rock imejengwa mtume Ameshafariki, na Hilo eneo lilikuwa takatifu toka kipindi cha mtume hivyo haimake sense kwa jengo jipya kuwa ni msikiti wa al aqsa hali ya kuwa mitume wa zamani wametumia.
Ushahidi nakupa hii picha
![]()
Hao ni waisilamu wanaswali AL Aqsa wameipa mgongo dome of the rock, kwa mbali unaona dome of the rock. Hivyo dome of the rock sio masjid al aqsa kama mnavyotaka kupiga watu kamba.
Conclusion, masjid al aqsa ni eneo si jengo, waisilamu wa naenda hapo na ku swali chini kwenye michanga, Dome of the rock ni Jengo.
Mbona unaropokwa sana?sikutaka kukoment huu Uzi ila Kwa comment Yako imedhihilisha wewe ni kilaza mmoja usiejua chochote kuhusu historia ya Dini hizi za Abrahamic Yaani unataka kutuaminisha hapa et misikiti ilikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca?
Hebu Acha kudanganya watu wazima Humu aiseee huko Petra Jordan unakodai Kuna mabaki ya misikiti ni ulongo mkuu Lete source ya habari Yako!
We unasoma vitabu vilivyokua fabricated mwenzako NATEMBEA.sikutaka kukoment huu Uzi ila Kwa comment Yako imedhihilisha wewe ni kilaza mmoja usiejua chochote kuhusu historia ya Dini hizi za Abrahamic Yaani unataka kutuaminisha hapa et misikiti ilikuwepo kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca?
Hebu Acha kudanganya watu wazima Humu aiseee huko Petra Jordan unakodai Kuna mabaki ya misikiti ni ulongo mkuu Lete source ya habari Yako!
Nani hajatembea hata Ndugai alitembea ila alikuja kutwambia alimeona Yesu na mke wake Marry Magdalene huko Capernaum,Mbona unaropokwa sana?
Mie nilijua ukija utakua mjenga hoja kumbe mbwambwaji?
Kwanza umenisoma vizuri au umekurupuka!?
Unataka source?!
Mbona kuna mambo kibao yapo na source haipo?
Macca kuna unyayo wa nabii Ibrahim kwa walioenda hijjah na Umrah wameuona je hilo limeekwa mtandaoni?
MM NIMETEMBEA NAONGEA NACHOKIJUA.
UKITAKA KUUJUA UISLAM ULIPOTOKEA NENDA PETRA JORDAN NA MAKKAH,MADINAH TEMBEA SWAFAA NA MARWA UTAKUTA VIELELEZO VINGI SANA.
Wewe umetembea tu huko Mimi nimekimbia kabisa na huwezi nifananisha Mimi na wewe ni watu wawili tofauti kabisa,We unasoma vitabu vilivyokua fabricated mwenzako NATEMBEA.
HATUWEZI KUFANANA.
kuna uthibitisho gani huo unyayo ni wa ibrahimu au ngwanamalundi? upi uthibitisho kuwa huo unyayo ni wa ibrahimu? msidanganye watu kisa mmedanganywaHayo ni madai yako ww na makafiri wenzako.
Jordan maeneo kama Petra,Israel maeneo ya occupied west bank kuna mabaki ya msikiti yaligundulika na kupimwa na kusemekana yalikuwepo toka 500AD kabla kuzaliwa kwa Muhammad.
Ila ww nguruwe pori mmoja unataka utuaninishe tofauti.
Makkah kuna unyayo wa Ibrahim ulokauwepo miaka zaidi ya 300 kabla ya Muhammad kuzaliwa.
TEMBEENI MUJIFUNZE HUSUSAN PETRA NA SUUDIA MTAUJUA UKWELI
huyu anadhani wote ni wapuuzi eti unyayo wa ibrahimu....Nani hajatembea hata Ndugai alitembea ila alikuja kutwambia alimeona Yesu na mke wake Marry Magdalene huko Capernaum,
Unaweza ukawa umetembea na ukawa zuzu vile vile kama ilivyo kwako,wewe historia hujui umekaririshwa ujuha na Ujinga kuamini bila kureson mambo
Narudia Tena hapa kabla ya Muhammad Abdulla wa Mecca kuzaliwa kulikua hakuna Dini inaitwa uislamu Wala jengo linaloitwa msikiti na kama
Hio misikiti ilikuwepo basi Ilikua ni majengo ya kuabudia wapagan wa kiquresh,
Acha kupotosha hapa sisi sio watoto maana tunajua Muhammad kabla hajaanzisha Dini ya kiislamu alikua mpagan then akaenda Jerusalem kikazi na huko akawa anaabudu Dini ya uyahudi Kwa kusali jumamosi na kuitunza Sabato baade Ndio akapata maono pangon na kuja na Quran na kuanzisha Uislam
Hiyo Ndio historia iliyokaa Katika mpangilio wa kihistoria na ushahidi upo
Halafu unakuja kunyer kunyer hapa et misikiti ilikuwepo miaka 500 nyuma kabla ya Muhammad acha porojo bwana mkubwa
Eboooo!
Hawa Ndio wale majuha waojazwa Ujinga na maostadh ubwabwa madrasa wasio na Elimu yoyote Wala kujua historical background,huyu anadhani wote ni wapuuzi eti unyayo wa ibrahimu....