NJOO TENA HAPA MUHAMMAD SWT BAADA YA KUROGWA ALICHANGANYIKIWA AKAWA ANAITA OVYO OVYO
Anasema Mwana Aisha Mkewe Mtume (r.a) kuwa:"Yahudi mmoja aitwaye Labiid bin Al'aanswam alimroga Mtume (s.a.w) ikawa Mtume baadhi ya nyakati huchanganyikiwa akiita ovyo ovyo." (Sahih Muslim,Juzuu ya 4,uk.38-39)
REJEA TENA HAPA ALLAH ALIPOZIDIWA UJUZI NA HUYU MYAHUDI AKATAREMSHA AYA HII HAPA
Quran 5:51. Enyi mlio amini! Waislamu Msiwafanye
#Mayahudi na
#Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
REJEA TENA HAPA MUHAMMAD ALISEMA NIMEKUWA MWENDAWAZIMU
Quran 15: 6. Na walisema: Ewe Muhammad uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe Muhammad ni mwendawazimu. REJEA HADITHI INASEMA HIVI
Muhammad akisema: O Khadija, Ninaona Mwanga, na nasikia Masautisauti, nina hofu kuwa mimi nina Wazimu. "Kitab al-Tabaqat al-Kabir", (Kitabu cha Madarasa Meja), na Ibn Sad, kutafsiriwa na S. Moinal Haq, [4], ukurasa wa 225.
View attachment 1760834