Maco marco
Senior Member
- Jun 10, 2023
- 108
- 86
Embu tukae hapa kwenye Yesu kuwa muislamu.... Mmesema Yesu alikuwa Myahudi.... Wakati huo uyahudi ni dini na unaesma sio lazima kuwa myahudi na kupractice uyahudi.... Moja, una uthibitisho gani kwamba Yesu hakuuishi Uyahudi japokuwa yeye mwenyewe kuwa myahudi?Kama kawaida yangu wacha nikuelimishe tena
1. Inapo tokea vita lazima itokee misplacement ya vitu au watu. Kwa maana kuna ambao wata bahatika kukimbia au kuwa mateka na wengine wata bahatika kusalia katika eneo hilo kwa sababu wanaonekana sio threat.
Wayahudi wengi wapo kwenye nchi za kislam sababu walikuwa hawafanyiwi hila, kuuliwa tofauti na walivo kuwa kwenye mataifa ambayo sio ya kiislam. Pia sababu kubwa ya wayahudi kuuliwa na Hitler ni kutokana na idadi kubwa ya wao kuleta usaliti kwenye vita ya kwanza ya dunia na kupelekea Germany kushindwa vibaya. Hitler alivo pata nguvu kwenye vita ya pili ndio akawa ana wachinja tu kila siku. Kwahyo tukija kwenye hiyo historia ya kuvunjwa Kwa hekalu au Mskiti wa Al Aqsa na kutokea vita. Kuna ambao wali hama na kuna ambao wapo. Kama sasa hivi vita inayo pigwana huko Palestina kuna ambao wamehama na kuna ambao bado wapo. Mimi naongelea ambao hawaku hawa. Wamezaliwa kwenye vita na kufa kwenye vita. Hata leo kuna wayahudi ambao ni wazawa wa Pale na sio hawa wakina Netanyahu ambao wazaliwa ulaya na kwenda kuishi Palestina?
Hata Zionist wengi ni machotara sio wazaliwa asili kwa maana baba myahudi na mama myahudi. Wengi wamechanganya. Kwahyo uki niiliza kili wakuta nini wayahudi narudia kusema wayahudi walikuwa misplaced tena kwa idadi kubwa na Utawala wa Roman empire unahusika pia kuwa swaga waisrael kwenda kwenye nchi za watu. Utawala wa Ottoman uka wasitiri mpaka pale vita ya kwanza ya dunia.
2. Manabii kutokea upande wa Ismael ni wawili tu. Ismael peke yake na Mohammad SAW. Kwahyo vizazi vilivo fuata bana ya Ismael walikuwa watu wa kawaida na hawakupewa utume. Ukisema manabii wenye Asili ya Israel unakosea sababu uisrael umeanzia kwa Mtume Yakobo nadhani. Nabii Ibrahim haku anzisha kizazi cha Bani Israel. Usibabaike sana na kizazi cha Israel au wayahudi. Ukiona mtume ameletwa katika jamii fulani tambua fika hicho kizazi ndio kinacho ongoza kwa kufanya ubadhirifu katika jamii. Haya mambo ya ushoga wameanza hao majamaa huku Afrika kulikuwa hakuna hizi tabia. Hebu fikiria kizazi cha lutu mpaka mkewe kamkataa mtume unafikiri ni jambo dogo. Jamaa ni washenzi sana ndio maana waliletewa mitume. Huku Afrika mitume wengi hawaja wahi kufika lakini tuna amini. Tuendelee, unaposema wao walifanya kitu gani kukumbuka uislam kama ni dini. Family tree ya mitume inakufundisha nini? Hiyo ni asili ya vizazi vyao na ndio maana tunasema hakuna mtume Mnyakyusa au Mwanamke sababu wote wana toka Generation moja mzee baba. Uislam ni asili na kinacho tofautiana ni matendo tu. Uislam wa sasa ni wa kuswali swala tano. Ila wa zama za Nabii Musa au Yesu kulikuwa hakuna kuswali swala tano. Ilikuwa una sujudu chini na matendo mengine ya ibada. Hivi nikuulize huyo Yesu wenu alikuwa akiimba nyimbo za kumtukuza Mungu? Ukielewa concept yangu moja kwa moja utagundua hata huyo Yesu mnaye sema ni Mungu haimake sense.
3. Sisi waislam hatu waitii hao manabii Waisrael tuna waiba Banu Israel kwa maana kizazi cha Yakoub/Yakobo. Kwa sababu kimeanzia kwa Nabii Yakoub kuja mpaka kwa Issa bin Mariam au Yoshua ambaye nyingi mna muita Yesu kwa kiswahili na Jesus kwa Engish. Sasa uki niuliza wana uhusiano gani na waislam wakati nimesha kuelezea kwa mchoro bado unaendelea kukaza fuvu sijui unataka nitumie njia gani kukueleweshe rafiki yangu. Labda kama una hoja ya ushahidi mwengine kupinga hiki nilicho kieleza lakini unacho pinga wewe ni uelewa. Ni sawa na kusema 1+1=2 na nimekuelezea hii 2 tunaipata vipi. Kama unaona 2 sio jibu sahihi leta wewe solution ya kwanini 1+1 sio mbili na si kukataa tu bila sababu. Hili swali lako halina mashiko umerudia swali na majibu nitayo kupa nimesha kujibu.
4. Ndio Yoshua alikuwa Muislam na Uislam ni dini ya haki na haina shaka ndani yake. Yesu alikuwa myahudi ndio kwa maana amezaliwa katika uyahudi. Kuwa myahudi sio mpaka ufanye practice za uyahidi. Kuwa wayahudi wakristo pia unafahamu hilo. Kuwa wayahudi waislam pia na kuna wayahudi ambao ni wazayuni ambao hawa ndio waharibifu.
Kila Muisrael ni myahudi. Lakini sio kila myahudi ni muisrael. Kupitia hii statement unaweza kuelewa. Ngoja nikuelezee. Netanyahu ni myahudi lakini sio muirael. Kazaliwa Dermark huko kwa wazungu. Ana uisrael gani? Mhuni tu yule. Ukisema kila anaye Muamini Mungu ni muislam tuweke sawa kidogo. Kila anaye muamini Allah ni muislam hii imekaa sawa. Maana neno Mungu linaweza leta ukakasi kidogo. Mungu aliye Muamini Yesu ni Allah pekee sababu Allah ndio Mungu wetu sote wanadamu. Yeye ndiye aliye watuma mitume wote ulimwenguni. Mungu wa Israel, Mungu wa Daudi, Mungu wa Wayahudi ndio Allah. Pia kuhusu kizazi cha Banuu Israel kimesha sambaratika na hao mna wasoma katika biblia wa zama hizo za zamani sio hizi sasa. Ufalme ulikuwepo enzi wa mitume lakini mitume washapita na karne zimesha enda na waliobakia ndio hawa washenzi wa dunia walio leta biashara ya kamari, umalaya, pombe na ushoga.
Kwenye Nyongeza,
Kabla kuzaliwa Mohammad SAW kwenye hilo kabila la Quraishi walikuwa wakiabudu miungu kwa maana masanamu. Walikuwa wakitengeneza sanamu kwa tende na kufanya Mungu wao. Njaa zikiwa kali wana chomoa vipande wanakula. Tuseme tu mpaka sasa kuna watu hawa amini kuwa dini zipo wengine wanasema tumeletewa na wazungu wengine wanasema ni uongo stori zipo nyingi.
Ila ukweli ni kwamba Mitume inaletwa kwenye ulimwengu huu pindi jamii fulani au kizazi fulani linapo kithirisha kufanya maovu katika jamii ndio mtume anakuja. Toka zama za Issa bin Mariam zaidi ya miaka 500 ndio amekuja Mtume Mohammad SAW. Uzuri ni kwamba ujio wa mtume Mohammad SAW ulitabiriwa kwenye maandiko na Injil ya Yesu. Sema kinacho tokea kuna washenzi wana futa huu ukweli. Hata Mtume Mohammad SAW ametajwa katika biblia. Sio hii ya kiswali ile Original scripture yenye maandishi ya ki Hebrew.
Ahsante na karibu tena
Lakini pia kuna utata kwa yeyote anayejaribu kufikiri swala hili.... Yaani Mungu awatumie Manabii na mitume wayahudi( wenye chimbuko la Israel yaani Yakobo)kila walipokosea ila kwa mara moja tu mwaka 600 AD ndo aende kumtumia mtume kutoka macca tena amtoe nabii kutoka katika jsmii ya watu(waqureish) ambao hata walikuwa hawamjui huyo Mungu na taratibu zake, yaani aache kuendelea kutoa mitume kutoka kwa watu ambao aliwapa sharia yake aende akamwinue mtume kutoka kwa wapagani ambao walikuwa hawamjui Mungu kabisa? Hii inafikirisha kukubali uhalali wa mtume Muhammed S. A,.
Lakini pia kwanini mna quote habari zilizopo kwenye Bible alafu mistari ya mbele yake mnaipuuza hamuoni kuwa mnakosa ujumbe wote kwa kutafuta kile mnchotaka kusikia tu?
Mfano; mnakubali kuwa yesu alisujudu, alivaa kanzu kama ushahidi wenu wa kuwa alikuwa muislamu, lakini swala la kubatizwa hilo mnakataa ikiwa vyote vinatoka kwenye kitabu kimoja hamuoni kama mnakosa mantiki katika hoja zenu?