Wajuba msaada kwenye bajeti

Mbali na hivyo kuna Ajali zipo nyingi tuu, unaweza kupatwa na ugonjwa au Ajali itakayokufanya ushindwe kuendelea na kazi.
Alafu muda huo hauna nyumba, mbona chamoto utakipata.
Hapo Ankali ROBERT HERIEL umenena kweli kabisa

Watu wanasahau kua NHIF imekufa kwa mujibu wa Ummy Mwalimu sasa itabidi wachukue ushauri wako

Na kwa maisha ya sasa Afya ndio kila kitu ukiondoa pesa maana huwezi fanya kazi km afya yako itakua imeingia kwenye mgogoro wa hapa na pale
 
Achana na 80k mkuu, 50k unapata chumba cha master saaafi kabisa... Kikubwa na chenye kila kitu ndani...

Limtu liko single unaenda kukaa nyumba ya 250k ya nini? Kwani una wakwe kwamba atakuja kukutembelea wakose pa kulala?[emoji23][emoji23]
Na vya 50 vipo vingi sana vyenye master

Na ghetto ukalijaza likawa kalii

Mwamba anataka ujiko
 
Vijana wa kiume kutoboa ni ngumu sana..kwa hio mshahara wote inabaki pesa ambayo hata seapiano mpya hupati

Mtu mwenye akili timamu mshahara wa 300k after miaka miwili anaweza kukuzidi maendeleo

Nyumba ya 200k unaishi na Nani ? Mafuta unaenda wapi na gari mshahara haufiki hata 1m😁
 
Hapa nakaa chumba cha laki ambacho ni master na jiko,so nikipanga cha 50k ni kurudi nyuma kimaisha
Kichwa ako ni empty kurudi nyuma kwenye nyumba ya watu πŸ˜‚πŸ˜‚ nilijua kwako wamekwambia uvunjeπŸ˜‚

Sasa jiko we unapika nini au sehemu ya kupashia maji asee dhuu,
 
Kiuhalisia hiyo pesa inamtosha bachela asiye na majukumu hata ya kusaidia wazazi, lakini kibongobongo unakuta ndo mshahara wa afisa mkubwa kabisa huko kwenye siri kali, ukiambiwa bongolala ni nchi ya miujiza usibishe.....hatari sana.​
 
Kula 300000,Kodi ya nyumba 100000 Kwa mwez,na (400000 kikoba ikazae huko)
 
pesa zako upangiwe budget na sisi... Hiyo pesa kubwa sana kuna wajuba wanapokea mshahara wa 400,000 net anamiliki gari kilasiku anakuja nalo kazin, anakula na familia, kodi, umeme na maji, na wazaz wanapata chochote kitu...
 
pesa zako upangiwe budget na sisi... Hiyo pesa kubwa sana kuna wajuba wanapokea mshahara wa 400,000 net anamiliki gari kilasiku anakuja nalo kazin, anakula na familia, kodi, umeme na maji, na wazaz wanapata chochote kitu...
mchanganuo tafadhali nasisi tujipange
 

Kusave 5m kwa mshahara wa 850k kwa miezi 10

Anyways, Bwana anawajua walio wake na kila alitajae jina lake na auache uovu
 

Sio kila mtu anaishi Morogoro ndugu wa fasihi
 
Minilianza kulipwa 700k take home na
Nilikua Nafanya hivi
1.Kodi 150k
2.matumizii ya kawaida 300k(chakula,umeme ,maji,dstv)
3.matumizi ya dharura 100K
4.Posho posho zilikua zinazuia mavazi, vocha,outing nk
Miwsho wa mwezi inabaki 150k...na kama hamna dharura inakua 250k laizma ujibane
 
Hapo kwenye mademu nipeleke sehemu Pana extend bajeti ya mafuta laxima ifike 400k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…