Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani





mkuu katika hizi familia zaidi ya 90% ni za kiyahudi, kuna moja ni ya kichina na moja pia ya kiarabu.
 

Juve nimekuelewa sana na uzuri ni kwamba nimekuwa nikifuatilia sana haya mambo tena thankx a lot for the information.Nakuomba tu unieleweshe vitu viwili:kwanza kwenye hayo majina ya malaika waliomuasi Mwenyezi Mungu,Satan yeye yuko wapi hapo au Satan aliasi wakati gani??Pili naomba tu uniambie kwa kifupi kuwa aliens,UFO na ET walizaliwaje au uzao wao ulikujaje na wanaishi planets zipi?
 
Nashukuru mtoa mada umeendelea kupanua upeo wangu hapo kwenye hizo deal zao za revenge kwa ajili ya kurudisha biashara ya mafuta ni kweli na mipango ya kuitumia serikali na walalahoi kwa vita ili wauze silaha dah maisha ni zaidi ya unachokiona
 
Hii mbona noma sasa kama ni hivyo c wanaweza wakaamua kuinunua Tanzania,Kenya na Uganda
duuuh Hatariiiiiiii...................
But mbona cjaona mahali kwamba WAMEJENGA MSKITI AU KANISA AU NDO WALEWALE WA <G>
 
waungwana.kuna kitabu kinaitwa "the book of Enoch".ndio kinaelezea haya kwa undani.ni kitabu ambacho kiliandikwa na nabii Enoch(Idris).ni descendent wa karibu wa Adam.kimekuwa sehemu ya biblia hata wakati wa Yesu na hata mmojawapo wa mitume wake,Yuda(sio Iskariote) alinukuu kitabu hiki wakati akizungumzia kiama.kitabu hiki ni mojawapo ya vitabu vingi vya biblia vilivyopigwa marufuku na warumi wakati walipojihalalishia umiliki wa dini ya ukristo na kuchakachua baadhi ya maana za mafundisho yake.interaction ya malaika walinzi na binadamu waliopewa jukumu la kuwalinda lakini wakaacha na kuwaelekeza mambo tofauti na Mungu kwa tamaa ya uzinzi na mamlaka ya kujifanya miungu wa wanadamu ndio the biggest issue inayofichwa na kanisa na serikali za dunia ya leo na kuban any serious material inayoreveal siri hiyo.sasa hii issue wameifichaa,lakini wsmeshindwa,wameingia plan b,kuwafanya watu kupuuzia na kutoamini ukweli wa sources zenye story hii.kwa nini?wakuu wa dunia hii wanatoa nguvu zao huko,ndio maana hawataki tujue,maana ukijua historia,utajua ukweli,n ukijua ukweli,utajua uhalali wa jambo,kama zuri au baya.kama wote tungeujua kwa usahihi asili ya ku kujua tu historia ya kweli ya binadamu na mazingira yake,tusingehangaika kutenganisha uongo na ukweli.lakini haya mafundisho meengi huku kila mtu akiongea lake,inaleta diversity ambayo inawajengea watu mashaka juu ya vyote,ukweli na uongo na hivyo hawaamini tena,imani inaondoka,faida kwa aletengeneza hiyo diversity.ni serious researcher tu atakayejua ukweli,wale wenzake na yule wanaosubiri padri na sheikh kusema au mfalme wa nchi hakosei,..inakula kwao sana na huko tuendako huko..
 
mkuu na akina jay z na crew yake i mean rockafella record/family wanamahusiano gan mpk kutumia hlo jna?
 

Mkuu juve tembelea inbox yako nakuomba nimekutext
 

Mkuu juve.. maelezo zaidi naomba hiii mistar umeitoa kitab kipi? Cha enock au?
 
Mkuu juve.. maelezo zaidi naomba hiii mistar umeitoa kitab kipi? Cha enock au?

naam mkuu.ni.hicho kitabu.ujumbe nimeupata.samahani kwa kuchelewa kujibu.kazi zimenibana sana mkuu.nitakupm.wanajamvi tutaendelea na maswali yatajibiwa au kutoa reference mkajisomee wenyewe maana haya mambo ni meengi sana tutakesha miaka na miaka humu jamvini tukitaka kuzungumzia kila kitu wakuu.
 
Kuna uhausiano kati ya Roman Catholic kule Vatican na hizi familia 13?
Kama upo, uliaanza je na nini faida ya wahusika wote hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…