Spider
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,640
- 550
ndio hivyo kaka.Ukitaka kujua undani wa hayo fuatilia historia ya kanisa enzi za dark ages wakati ule watu wananunua msamaha wa Mungu kwa kulipia pesa kanisani.Tumetoka mbali na tunarudishwa tena huko huko.Malaika Hallel(shetani) yuko ndani ya religious system nzima ya dunia hii na he operates from there!The whole system is corrupt.Hakuna cha ukatoliki,ulutheri,ubaptist,uanglikana,upresbiterian,uorthodox,ulokole,usabato,uislam wala unini!ila cha ajabu watu wa Mungu watatoka humo humo kwenye corrupt system!Wataelewa taratibu na kujitoa na kuanzisha network zisizo rasmi ambazo itakuwa ngumu kufuatiliwa na kuchafuliwa na maajenti wa Hallel na mfumo huo wa kujichuja toka kwenye taasisi utasababisha wanaofanya hivyo kuwa ni wale tu walio serious kweli kumtafuta Mungu na ukweli wake.Hebu kaa kanisani halafu niambie ni mara ngapi unasikia biblia ikisomwa intensively!kaa msikitini uniambie how many times watu wanaquote aya za quran zaidi ya kupiga soga na hadithi za kutunga na hate speeches?yaani imefika mahali hivi sasa ukitaka kuhukumu dini kwa kutazama sera na taratibu za taasisi za dini na matendo na mahubiri ya waumini wake utapotoshwa kabisa maana taasisi na waumini wako nje kabisa ya dini zenyewe.Ukitaka kuujua ukristo soma biblia,uyahudi soma Torah na talmud,uislam soma quran na uhindu soma vedas manake ukitaka kujua toka kwa waumini utapotoka kabisaa.Hawafanani nazo wala hawaamini vitabu vyao!the next move naona wataviharibu na vyenyewe,"kuvirekebisha" viendane na mazingira yao tena kwa biblia na quran hilo lilishaanza.Kuna version feki kibao!Cha ajabu jinsi Mungu alivyo na powerful influence hivi vitabu hata wakivichafua bado mtu akisoma anapata intro ambayo inamuelekeza kujua zaidi na hapo ndio hutafuta mengineyo na kuanza kugundua ukweli halisi.Kwa hiyo Mungu ni kama ameruhusu hii corruption ili kuwe na initiations au ngazi za kuufunua ukweli na ni wale watakaokuwa na nia thabiti tu ndio watakokuwa initiated ngazi hadi ngazi kwa kutegemea juhudi yako.it's just like masonic degrees,illuminati pyramid au madarasa ya elimu!humo humo kwenye uasi wao bado wanatekeleza kazi za Mungu bila kuelewa ha ha haa!Mungu ni mwanasiasa wa kiwango cha juu sana aisee!yaani hata ufanye kosa,yeye atalitumia kosa hilo hilo kuonyesha wema ulipo na ulivyo.Complicated philosophy isn't it?I'm very proud to serve such a genius God!anyway,ukijitazama ulivyoumbwa unapata ka-intro kidogo juu ya intelligence iliyokuumba labda uwe hujijui lakini kwa wale waliopata kutoa tongotongo kwenye sayansi kidogo tu,it's very interesting!nashangaa kusikia eti kuna wanasayansi wasioamini Mungu,wakati wengine tukisoma mambo ya sayansi tunaanza kuona presence ya Mungu kabisa!tafuta kitabu cha padre mmoja anaitwa Malachi Martin,"Keys of this blood",nadhani kuna mahali kipo online.
Ntafatilia kwa karibu. Mimi nilisoma bible knowledge olevel na divinity advance, mwalimu wangu wa advance alikuwa anatuambia kwa kifupi mambo mengi ambayo hayakuwa kwenye syllubus akihofia tunaweza kuacha kufata imani zetu. Nadhani alikuwa anajua mambo mengi yanayoendelea ambayo ni uongo. Sisi tunakaririshwa tu (dogmatism),hata viongozi wa dini nao hawajui. Huwa nafiria mambo mengi sana nikiwa kanisana,mahali ambapo kuna kila aina ya watu na tabia zao mifukoni. Tunaishi kwa maigizo( pretend to live in church principles while we are not). We live in a world of full of lies kwakweli. Na siku ukweli ukijulikana,ndo yatatokea kama ilivyoandikwa katika mathayo 24;1-31