major mwendwa naomba tuyaache hayo nadhani kwa sasa ni premature kuyazungumza,tusije tukamharibia C.T.U uzi wake bwana ukakosa wasomaji.Ngoja watu wapate mwangaza wa hizi ngazi za chini na kati halafu watataka kuendelea kujua yaliyojificha zaidi,sasa huko ukiwaletea habari za zile "familia nyingine teule",mtakwenda sawa ila kwa hapa mie ukiniuliza sanaaa,ntakuambia tuu,hawa tunaowazungumzia hapa wengi ni "knight of Malta" from the city with seven mountains,ila usiniulize hiyo ni nini bwana,sitajibu ha ha haah!ntakuongezea tuu kwa kusema,"ule mji ambao makao yake makuu yalipigwa radi wakati mkuu wake wa zamani akitangaza kujiuzulu baada ya kutokubali kuruhusu abomination,leo hii kuna mkuu mpya pale na jinsi mwenendo wake ulivyo,na kauli soft za "whom am i to judge?" bila shaka wenye akili tumeelewa ni kwa nini mzee wa bavaria aliamua kuachia ngazi na pia sasa naelewa ishara ya ile radi baada ya tangazo la kustaafu la mzee wa watu!that lightning means a lot!tuachane nayo haya bwana,nimegusia tu kukuonyesha najua hao master minds unaowasema na wengi humu wanawajua ila mind yangu nzito kuwazungumza hapa.sitaki kukwaza watu.