Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

John D Rockerfeller founder wa Standard oil alikuwa funded na Rothschilds branch ya London

Conspiracies zinasema Rothschilds walimtumia Rockerfeller ku control uchumi wa marekani hasa central bank ya ,wao waniita Federal reserve

Hii familia ina nguvu sana
 
Wakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!
 
Last edited by a moderator:

China kuna ukoo wa Li ndio unashikilia uchumi fuatilia 13 bloodline but Rothchild ana 50% ya utajiri wote wa dunia anzia federal reserve bank
 
Mkuu juve2012 ningeomba kutoa maoni yangu kwa kifupi katika hoja na maswali yako kama ifuatavyo nikianza na swali la kwanza:

1. Nadhani kuhusu western giants kutokuzalisha bidhaa la low standards ni swala la kisera hasa za makampuni yanayozalisha bidhaa hizo. Jambo hili linaweza kutokana pia na sera za nchi husika kuhusu uzalishaji huo. Lakini tukumbuke pia katika marketing kuna marketing na positioning strategies, na makampuni mengi ya kimagharibi yamejiposition katika katika market kwa "Quality positioning" ambayo mara nyingi inaangalia ubora bila kuzingatia sana uwezo wa manunuzi wa consumers. Na kwa kupitia strategy hii makampuni ya kimagharibi yana pesa nyingi tu na yanatengeneza pesa/faida kubwa sana. Hii haipo katika nchi ya China ambao wamelifungua soko kiasi ambacho kila mtu/kampuni ambayoinafanya uzalishaji inafanya itakavyo. Kuna future economic threakwa mataifa ya magharibi, na hii inawafanya wamagharibi wafikirie namna mbalimbali za kuihujumu China wakati hasa wanapoipa sapoti ya wazi Japan,mfano walivyopitisha ndege katika visiwa vya diayou.

2. Kuhusu kuwepo kwa mkono wa wa taifa la magharibi katika uchumi wa china, inawezekana sana. Marekani iliingia ubia wa kibiashara na serikali ya china na hii imewawezesha wawekezaji wengi wa kimarekani kuwekeza china ambako wamewekewa sera nzuri za kibiashara na kiuwekezaji. Kimsingi ni kuwa Mmarekani aliangalia Population kubwa ya china na kuamua kuwatengenezea Raia wake fursa za kiuwekezaji na kibiashara. Hapa kuna win-win situation kwani uchumi wa china unakuwa kwa kasi sana kutokana na marekani kuwa na massive purchasing power,wakati huo huo china ni sehemu ambayo mmarekani anauza bidhaa zake kuliko nchi nyingine yeyote.

MASWALI MENGINE NINGEPENDA KUWAACHIA WENGINE PIA WAZUNGUMZIE.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!

Mkuu unajua mambo yanavyoendeshwa duniani ni ajabu sana

Kuna mwanajeshi mmoja mstaafu wa jeshi la Uingereza ambae baada ya kustaafu alikuwa ni boss wa kitengo kimoja MI6 na liwahi kwenda kwenye mkutano mmoja wa kuzungumzia amani na mustakabali wa dunia huko Copenhagen ambapo alikutana na watu wazito sana duniani

Ajenda iliyokuwa inazungumzwa huko ilimshangaza sana huyo jamaa na kupelekea kubaki mdomo wazi,walikuwa wanazungumzia kuhusiana na kuja kuwatoa mhanga watu wa China na watu wa mashariki ya kati

Walikuwa wanasema kwenye kikao hicho kuwa "Wazee" wa dunia walikuwa wamekubaliana na "Wakubwa" wa China kuwa watawezesha uchumi wa China kuwa imara lakini na wao watakubali kuja kuwatoa mhanga watu wao kwa hao wakubwa wa dunia kupeleka maradhi kule china,maradhi ya mlipuko kama mafua ya ndege n.k wakati muafaka utakapofika kitendo kitakachopelekea dunia kulazimisha kupatikana kwa suluhu ambayo itapelekea kusimikwa utawala wa serikali moja duniani

Ukiyaangalia maneno ya huyo jamaa unaweza kuona kama ni hadithi hivi lakini kwa mtu ambae anaweza kujiuliza maswali kama hayo uliyouliza hapo juu inaweza tu kuona kuwa kuna jambo haliko sawa katika uchumi wa China na inaonekana kama kuna kama jambo lisiloeleweka hivi

Dunia ndivyo ilivyo na kule China kuna Familia moja hivi ambayo kwa wale wanaofuatilia cospiracy theories watakuwa wanaijua,familia hii inadaiwa kuwa na nguvu sana kule china na inasemekana kuwa ndio waliohusika sana na uchumi wa nchi hiyo kufikia hapo ulipo kutokana na makubaliano waliyokubaliana na Illuminati na familia hiyo ni moja kati ya vizazi 13 vinavyoijenga Illuminati,kizazi hicho kinaitwa Li

Unaweza kujisomea hapa: The Li Bloodline

Kama unataka kujisomea vizazi vyote vinavyoijenga Illuminati gonga hapa: 13 Bloodlines of The Illuminati
 
Wakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!
Mkuu Juve2012 na wadau wengine kuna market strategies anazotumia china kuteka soko la dunia china hajali quality bali your choice of preference at your affordable price for a commodity. unahitaji simu lakini una shilingi 10000 atakutengenzea bidhaa kutokana na pesa yako tofauti sana na nchi za kimagharibi wao wanajali quality yao tu na si pesa ya mteja kutokana na tabia na desturi za wateja kwao sio tatizo ukilinganisha na kwetu ukweli ni kwamba china ana export high quality commodities kwa westerns hii inachangia kukuwa kwake

2. Ukuaji wake na uhusiano wa nchi za kimagharibi. Kuna mazingira yanayotengenezwa ili kudhihilishia dumia yakuwa marekani anaingia katika great financial crisis na huu ni mkakati sio wa kubahatisha bali ni wa pole pole bali hakika. Ipo siku dunia hii itapita siku moja ya kuabudu lakini haiwezi pita hivi hivi bila sababu ya msingi. Sababu yao itakuwa ni kuwa uchumi wa dunia una yumba sababu tuna siku nyingi za mapumziko na kuabudu. Watakubaliana na viongozi wengine wapitishe siku moja ya kusali tena kwa masaa ili muda mwingine watu wautumie katika kuzalisha mali so lazima watengeneze mazingira ya kuudhihilishia ulimwengu ya kuwa hali ya uchumi ni mbaya Marekani ikitikisika tu hata ki mentality kila mtu anaamini kweli hali ni Ngumu na ukitaka kuliamini hili fatilia trends ya masoko yao ya hisa hayapo vizuri kuna progress kidogo sana then zikishuka zinashuka kweli. Hata hivi vita kikwazo cha mpango wao huo ilikuwa ni waislamu, na wasabato hasahasa waislamu hao wengine ni wachache. Usione vita ya marekani na iraq nje inaonekana kama marekani walikuwa na mission ya kuiba mafuta before that war iraq ilikuwa 99% uislamu ilo leo ukienda mji mkuu wao kuna makanisa ya kikiristo mengi. Na kila wanapopita wanamuweka Agent wao wanatumia kigezo cha demokrasia na uhuru wa binadamu ila hiyo ni mission ya ku weaken Muslim strength na hili nani anaweza kubisha kuwa nchi za kiislamu kwa sasa nyingi zimebaki ki majina na sio kama zilivyokuwa awali. Nchi ya Rwanda ilikuwa ni moja ya nchi zilizokuwa na wasabato wengi sana lakini sasa hivi hawapo. wana Main Agendas Na Sub Agendas. Technic wanayotumia ni kuzionyesha Sub Agendas kama ndio main na kujua main Agenda lazima uwe mdadisi na mwenye maswali mengi ya kujiuliza, Kwani MORSI alikosea nini? Kuonyesha tu misimamo yake Tayari akawa down mwendo wao ni wa pole ila hakika Na Lengo kuu ni ku make sure they control you and the whole world in Every aspect. and There will be A great world finincial crisis never experienced before.
 
Mkuu major mwendwa ulipozungumzia kuhusu kupiga vita uislam umenikumbusha skendo moja iliyowakuta wamarekani kule Iraq wakati wa uvamizi wao dhidi ya Sadam regime waliharibu museum nzima ya Baghdad na kuiba atifacts nyingi za enzi na enzi ambazo zilikuwa muhimu sana kwa dunia kutokana na historia ya Iraq tangu enzi za Mesopotamia.Ingawa wamarekani walikanusha kuhusika kwa kudai kuwa waliofanya kazi hiyo ya wizi ni wahuni wa kiarabu tu,uchunguzi ulidhihirisha ile ilikuwa "inside job" na wale "wahuni" waliokuja kuchanachana na "kukojolea" vitabu waliandaliwa kufanya hivyo ili kupoteza lengo na kuficha kazi ya kitaalamu ambayo ilifanyika kabla yao.Cha ajabu miezi michache kabla ya vita,ACCP(American Council for Cultural Policy) walikuwa wakipokea order nyingi za wafanyabiashara artifacts wa U.S wakitaka specific artifacts zilizokuwa kwenye museum ya Baghdad ambazo isingewezekana kuzipata kwa njia za kawaida kwani sheria haziruhusu.Wakati huo huo ACCP wakatoa ombi kwa serikali ya marekani ili kupoza sheria za U.S zinazokataza uingizaji wa artifacts za wizi toka nje ya U.S!Now connect dots..ina maana within ACCP,U.S govt na wafanyabiashara wa U.S ilishajulikana kuwa museum ya Baghdad itashambuliwa na artifacts kuibiwa hata kabla ya vita kuanza?how did they knew?lengo la U.S kuharibu sehemu za urithi wa utamaduni kama ile ni nini?kwamba waarabu na dunia nzima tujiandae na "historia mpya" na utamaduni mpya from them?mtu wa kawaida anaweza akawaona wamarekani machizi lakini kwa wale wanaojua mbinu effective za kiutawala wataelewa kwa nini marekani inataka kuharibu culture ya middle east na dunia nzima!mtu wa kawaida atawaona wamarekani wendawazimu lakini mwerevu ataelewa kwa nini they have invested so heavily in Hollywood!ni sawa sawa na leo aje mzungu hapa Africa na kudistort historia yote watoto wetu wasijue mambo ya ukoloni huko nyuma.You can see hatari itakayokabili kizazi cha watoto hao.Hili litafanyika hadi kwenye dini na vitabu vyake na historia yake.Watu wamekaa underground huko saa hizi wanapika "historia mpya","vitabu vipya","elimu mpya","dini mpya","culture mpya" na "Mungu mpya"!kazi kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu salaam.Kuna mambo yalifaa kuyaanzishia uzi wake kutokana na how deep they are,ila nina tatizo la kuwa na very limited time.Muda wa kukaa na kuandaa uzi wa kueleweka kwa standards za hadharani kama hapa Jf sina kwa kweli.Hivyo naomba tunapokuwa tunagusia mambo humu,kama kuna mtu mwenye muda wa kutosha kuyafanyia research,akayaelewa na kuyaandikia uzi humu,itakuwa vema sana.Kuna mambo yanakuwa connected na maudhui ya huu uzi ukiyaelewa vizuri, ila tu,UKIYAELEWA VIZURI.Nadhani wapo wanaoelewa hii kitu ni vema wakatupiatupia humu ila kwa upande wangu naomba nigusie tu kidogo,nawaomba mkaendelee kufanyia research kitu kinaitwa BILDERBEG'S ARC OF CRISIS.Hii ni scheme moja ambayo dk Bernard Lewis aliwapa hawa jamaa wa Bilderbeg(sijui mnawajua?) mwaka 1979 kwenye mkutano wao kule Austria.Ni mkakati wa kuhujumu mataifa ya kiarabu na eurasia(ulaya mashariki na asia ya kati na kusini) kwa malengo ya kudhibiti mafuta na kuiangusha Urusi.Ni wangapi mmekutana na jina hili,ZBIGNIEW BRZEZINSKI kwenye research zenu?huyu pamoja na HENRY KISSINGER nadhani wana moto wao wa pekee kule Jehanum tofauti na wanasiasa wengine..very bloody policy makers!hebu pitieni hiyo kitu muone watu wanavyokaangwa kwa mafuta yao wenyewe.Mwarabu anakaangwa kwa mafuta na dini yake mwenyewe,mrusi nae anatafutwa akaangwe kwa kutumia majirani zake,rafiki zake na wateja wake.Wenzangu na mie bongo wanashabikia vitendo vya makundi ya waislam wenye siasa kali bila kujua ni nani yuko nyuma ya makundi haya na kwa sababu zipi!Wanashabikia bila kujua hawa "wakorofi" wameanzishwa na kupandikizwa ndani ya uislam kwa lengo la kudestabilize jamii husika!hii dunia hii ni lazima tuwe waangalifu sana.Kuna uzi mmoja humu ulikuwa unazungumzia "muslim brotherhood".nilitoa onyo kule nikisema kama wenye dini zao wataendelea kuyakalia kimya haya makundi ya "vichwa ngumu" ndani ya dini zao wakidhania ni wenzao na wanaimarisha hizo dini,kuna siku hizi dini zitabaki historia!nilikuwa na maana pana.Bila shaka mkipitia hiyo "arc of crisis" mtaelewa ni kwa nini moto unawaka hivi maeneo ya middle east,north Africa na ulaya ya mashariki.And who are behind Bilderbeg group?..same families we are discussing here,Rockefellers,Rothschild,e.t.c
 
Mkuu major mwendwa ulipozungumzia kuhusu kupiga vita uislam umenikumbusha skendo moja iliyowakuta wamarekani kule Iraq wakati wa uvamizi wao dhidi ya Sadam regime waliharibu museum nzima ya Baghdad na kuiba atifacts nyingi za enzi na enzi ambazo zilikuwa muhimu sana kwa dunia kutokana na historia ya Iraq tangu enzi za Mesopotamia.Ingawa wamarekani walikanusha kuhusika kwa kudai kuwa waliofanya kazi hiyo ya wizi ni wahuni wa kiarabu tu,uchunguzi ulidhihirisha ile ilikuwa "inside job" na wale "wahuni" waliokuja kuchanachana na "kukojolea" vitabu waliandaliwa kufanya hivyo ili kupoteza lengo na kuficha kazi ya kitaalamu ambayo ilifanyika kabla yao.Cha ajabu miezi michache kabla ya vita,ACCP(American Council for Cultural Policy) walikuwa wakipokea order nyingi za wafanyabiashara artifacts wa U.S wakitaka specific artifacts zilizokuwa kwenye museum ya Baghdad ambazo isingewezekana kuzipata kwa njia za kawaida kwani sheria haziruhusu.Wakati huo huo ACCP wakatoa ombi kwa serikali ya marekani ili kupoza sheria za U.S zinazokataza uingizaji wa artifacts za wizi toka nje ya U.S!Now connect dots..ina maana within ACCP,U.S govt na wafanyabiashara wa U.S ilishajulikana kuwa museum ya Baghdad itashambuliwa na artifacts kuibiwa hata kabla ya vita kuanza?how did they knew?lengo la U.S kuharibu sehemu za urithi wa utamaduni kama ile ni nini?kwamba waarabu na dunia nzima tujiandae na "historia mpya" na utamaduni mpya from them?mtu wa kawaida anaweza akawaona wamarekani machizi lakini kwa wale wanaojua mbinu effective za kiutawala wataelewa kwa nini marekani inataka kuharibu culture ya middle east na dunia nzima!mtu wa kawaida atawaona wamarekani wendawazimu lakini mwerevu ataelewa kwa nini they have invested so heavily in Hollywood!ni sawa sawa na leo aje mzungu hapa Africa na kudistort historia yote watoto wetu wasijue mambo ya ukoloni huko nyuma.You can see hatari itakayokabili kizazi cha watoto hao.Hili litafanyika hadi kwenye dini na vitabu vyake na historia yake.Watu wamekaa underground huko saa hizi wanapika "historia mpya","vitabu vipya","elimu mpya","dini mpya","culture mpya" na "Mungu mpya"!kazi kweli kweli!
Mkuu juve2012 nakubaliana na wewe na ndo maana nikasema haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya ila ni mkakati kwa sisi wakristo k ywa kiasi ambao wanaielewa biblia katika ufunuo wa Yohana hakuna wanaloshangaa sababu kila taifa kila kitu kimezungumzwa mule. Its a matter of time to prove it (Note:kitabu cha ufunuo ni wachache sana wanaoweza kukielewa na kutoa tafsiri halisi ya kile kilichozungumziwa wengi tunasoma na bila kuelewa maana halisi). Ni kweli dunia inaundwa upya na ndivyo itavyokuwa. Lakini jingine ambalo hatulijui hawa ambao tunawaona ni ma master mind wa kila kitu cjui Marekani, rockfeller, Rothschild, Illuminati , Freemanson na wengine hawa wote wanatumiwa tu. Na sisi tunawaona wao ndo tops ila amini nakwambia wapo master mind wenyewe na hao wengine wana receive order's tu
 
major mwendwa naomba tuyaache hayo nadhani kwa sasa ni premature kuyazungumza,tusije tukamharibia C.T.U uzi wake bwana ukakosa wasomaji.Ngoja watu wapate mwangaza wa hizi ngazi za chini na kati halafu watataka kuendelea kujua yaliyojificha zaidi,sasa huko ukiwaletea habari za zile "familia nyingine teule",mtakwenda sawa ila kwa hapa mie ukiniuliza sanaaa,ntakuambia tuu,hawa tunaowazungumzia hapa wengi ni "knight of Malta" from the city with seven mountains,ila usiniulize hiyo ni nini bwana,sitajibu ha ha haah!ntakuongezea tuu kwa kusema,"ule mji ambao makao yake makuu yalipigwa radi wakati mkuu wake wa zamani akitangaza kujiuzulu baada ya kutokubali kuruhusu abomination,leo hii kuna mkuu mpya pale na jinsi mwenendo wake ulivyo,na kauli soft za "whom am i to judge?" bila shaka wenye akili tumeelewa ni kwa nini mzee wa bavaria aliamua kuachia ngazi na pia sasa naelewa ishara ya ile radi baada ya tangazo la kustaafu la mzee wa watu!that lightning means a lot!tuachane nayo haya bwana,nimegusia tu kukuonyesha najua hao master minds unaowasema na wengi humu wanawajua ila mind yangu nzito kuwazungumza hapa.sitaki kukwaza watu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hapa naomba ntofautiane na wewe
siamini kama ile gharika ya nuhu ilipiga dunia nzima

la hasha ila ilipiga tu maeneo ambayo nuhu alikuwako kipindi kile na kwa kuwa hakuna mtu ambaye aligundua maeneo mengine ya dunia yaliyokaliwa na watu

siamini kama ile gharika ilipiga

botswana
siamini kama ile gharika iliigusa marekani

na siamini kama ile gharika iliipiga japan

ila naamini iliishia maeneo yale yale ambayo nuhu na watu wa kipindi kile walikuwa wanaishi

Kwa tuliosoma Geography kwenye continental drift theory.....tunaamini PANGAEA iligawanyika into Lauretia and Gondwanaland baada ya gharika ya Nuhu (one of the theories)
 
Uzuri wa mareakni anajua kucheza game zote kwa ustadi wa juu sana(safi na chafu)

Ukiangalia kwa mbali unaona kwamba marekan hana sera ya kumtengenezea mteja bidhaa kutokana na pesa aliyo nayo, ila anatengeneza bidhaa kutokana na ubora kadri ya sera yake inavotaka.

Pamoja na kujua kwamba wateja wa bidhaa za high quality wapo wachache na makabwela tupo wengi marekan hakuona umuhimu wakubadil sera yake ili kufanya ushindani na china.

Njia aliiona marekani ni kumfuata huko huko china kwa kuweka mikataba amabayo inaruhusu kampuni zake kutengeneza bidhaa za makabwela, japo jina litaonekana ni la china.

Kwaio apa marekan anaendelea kuonesha dunia kwamba anaenda na sera yake in front lakin behind ana push sera ya china, kimsingi bado inampa faida sana maana huku tupo wengi
.

Maana bado ameshika soko la high quality pia na la makabwela analifuta kupitia mgongo wa china, amabye watu wanaaminishwa kwamba ni mzee wa kulipua. Kumbe walipuaji wapo wengi ila ni mata ya watu ku win tu.

China akiwa anaaminishwa kwamba anakuwa sana ,huyu marekan akaamua amsapoti japan, korea kusin na wengine na yeye akiwa ndan mwa china.
Huu wote ni ubabe wa marekan kuon china hafurukuti kabisa.

Niishie apo mkuu juve2012
 
Last edited by a moderator:
kanisa lipo amesema riverside church,newyork 1930 amejenga rock junior
 
major mwendwa naomba tuyaache hayo nadhani kwa sasa ni premature kuyazungumza,tusije tukamharibia C.T.U uzi wake bwana ukakosa wasomaji.Ngoja watu wapate mwangaza wa hizi ngazi za chini na kati halafu watataka kuendelea kujua yaliyojificha zaidi,sasa huko ukiwaletea habari za zile "familia nyingine teule",mtakwenda sawa ila kwa hapa mie ukiniuliza sanaaa,ntakuambia tuu,hawa tunaowazungumzia hapa wengi ni "knight of Malta" from the city with seven mountains,ila usiniulize hiyo ni nini bwana,sitajibu ha ha haah!ntakuongezea tuu kwa kusema,"ule mji ambao makao yake makuu yalipigwa radi wakati mkuu wake wa zamani akitangaza kujiuzulu baada ya kutokubali kuruhusu abomination,leo hii kuna mkuu mpya pale na jinsi mwenendo wake ulivyo,na kauli soft za "whom am i to judge?" bila shaka wenye akili tumeelewa ni kwa nini mzee wa bavaria aliamua kuachia ngazi na pia sasa naelewa ishara ya ile radi baada ya tangazo la kustaafu la mzee wa watu!that lightning means a lot!tuachane nayo haya bwana,nimegusia tu kukuonyesha najua hao master minds unaowasema na wengi humu wanawajua ila mind yangu nzito kuwazungumza hapa.sitaki kukwaza watu.

Dah hapa nimebaki kwenye mataaa.... juve funguka bana
 
Last edited by a moderator:
Dah hapa nimebaki kwenye mataaa.... juve funguka bana

nilikuwa najaribu kuchambua websites ili niipate yenye info zisizochanganywa na uongo manake jamaa wanaona wanashambuliwa sana sasa wameamua kujibu mapigo kwa kutengeneza websites kibao wakijifanya nao kuponda hawa "wakubwa" lakini wanamislead mambo mengi.Kuweni careful,si kila anayeshambulia hawa jamaa yuko sahihi.Labda pita hapa www.babylonmysteryreligion.com upate mwangaza wa kile ambacho naona uzito kukiandika hapa.Hayo mengine nilikuwa namzungumzia cardinal Ratzinger.Siku aliyojiuzulu kuongoza Vatican,muda mfupi baada ya tangazo lake la kujiuzulu radi ilipiga ule msalaba wa juu kabisa wa St.Peters basilica!yule mzee alikuwa na misimamo kupinga ushoga na ufisadi ndani ya kanisa.Alitaka kuwashughulikia kimya kimya bila kupiga kelele hadharani!akakuta "holy see" imejaa watu wengi wenye itikadi tofauti na hii yake.Akagundua mambo ambayo miaka yote aliyokaa pale Vatican hajawahi kuyajua.Akagundua "Rumi mpya".Akajipima na kuona hafanani na wala hana sifa za kuongoza hii Rumi mpya,na wapinzani wake wakawa wanazidi kumwandama wakitumia media na taasisi mbalimbali kulaumu uongozi wake kwa kushindwa kushughulikia matatizo ya kanisa.Ni kweli alishindwa,lakini si kwa sababu hakuwa na nia,ila kwa sababu nia yake ilikuwa tofauti na council,alitaka kuondoa uozo,kumbe jamaa wameoza na hawataki uozo uondolewe,wakashindwa kukubaliana,akagundua council pamoja na baadhi ya watu pale Vatican wana nguvu kuliko yeye,ingawa kiitifaki wanapaswa kuwa chini yake,akaona ajiondokee.Aliyemfuatia ni Jesuit wa kwanza kuwa papa.Mkuu hapa kwenye neno "Jesuit" naomba kafanye research za kutosha ujionee mwenyewe.Kuna kitu kinaendelea hivi sasa.Kuharmonise mafundisho strict ya kanisa yaendane na low ethical standards za binadamu wa leo,kushusha jina la Yesu liwe sawa na deity wengine wa kipagani,kushughulikia wale "siasa kali" wanaopinga mabadiliko hayo(viongozi kwa waumini),kupigia debe makosa ya kanisa(ambayo yalipandikizwa huko nyuma purposely) ili kupunguza imani thabiti ya waumini kwa kanisa na kutengeneza mioyo iliyo vulnerable kwa aina yoyote ya mabadiliko.After that,itafanyika juhudi ya kuunganisha dini zote na kuwa na dini moja itakayotumika kuwaondoa wanadamu kwa Mungu.Dini ni utamaduni.Wakubwa wanataka kutawala dunia.Ni lazima kumerge tamaduni zote ili wafanikiwe lengo lao.Ni lazima historia iliyopo iharamishwe na iletwe mpya.Wanaong'ang'ania tamaduni zao watakiona cha mtema kuni.Angalia middle east upate picha how serious is this issue.Pia hawa akina Rockfeller wanahangaika sana kumonopolize medical industry.Mh!hapo napo pagumu sana mkuu hebu kafuatilie angle hiyo pia.
 
Wakuu nawasisitiza kucheki hiyo "Bilderbeg's arc of crisis" muelewe kinachoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.

Mkuu Juve nimekusoma I always do the homework I.e nilipata booka of enock na za david icke etc etc bildberg arch ni kitabu au na ninakipata online?
 
Bilderbeg group ni taasisi fulani iliyoundwa na hawa world ellites kama tunaowazungumzia hapa.Kazi yake ni kuintergrate ideas za wakubwa hao na policies za serikali za duniani hapa na institutions zenye mamlaka makubwa duniani kama U.N e.t.c.Wanafanya mkutano mara moja kila mwaka na mkutano huo hufanyika under secrecy and very tight security ukiwahusisha watu wakubwa hao na viongozi mbalimbali duniani wa siasa,dini,tamaduni,wataalam,wanasayansi,media n.k karibu kila nyanja wanakuwepo mabingwa pale.Inatengenezwa mikakati pale kulingana na sera za wakubwa.Mikakati hiyo hupelekwa kwenye mtandao wa taasisi mbalimbali za kimataifa zinazojihusisha na international affairs kwa ajili ya utekelezaji.Karibu nchi nyingi utakuta kitengo cha mahusiano ya kimataifa kwenye wizara ya mambo ya nje lakini pia zipo nchi nyingi ambazo zina taasisi inayojitegemea inayohusika na mambo hayo ambazo huitwa "central for foreign relation(CFR).Taasisi hizi hutengeneza watu ambao huwa key players katika kutekeleza mikakati ya Bilderbeg kwenye eneo husika.Ndio maana napiga kelele kila siku humu kuwa lazima tuwe waangalifu sana kwa nchi zetu maskini hizi kuwapa uongozi na mamlaka za juu za nchi wasomi wetu wenye backgrounds za kimataifa kama hizo.Ni vema tuwachunguze vya kutosha kabla ya kuwapa nchi.Sasa hawa Bilderbeg wana mkakati wao fulani wa "siasa za mafuta" kule middle east.Walianza kuutekeleza siku nyingi tu.Ndio huu "Bilderbeg's arc of crisis".Mmojawapo wa victims wa mwanzo kabisa wa mkakati huo ni mfalme Shah wa Iran!Kuna siku Shah aliwahi kuhojiwa kuhusu Ayatollah na kusema hivi,"ukizinyanyua ndevu zake(Ayatollah),utaona neno "made in England" kwenye kidevu chake.Kapitiepitie haya mambo mkuu nyakato bwana.We google tu upate sources nyingi ili "akili za kupewa" uchanganye na "za kwako" ha ha haa!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu nawasisitiza kucheki hiyo "Bilderbeg's arc of crisis" muelewe kinachoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.

Nimekuisoma mkuu ninafuatilia kwa karibu,najitahidi kuwa mwanafunzi mzuri;
 
Back
Top Bottom