Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani


Ntafatilia kwa karibu. Mimi nilisoma bible knowledge olevel na divinity advance, mwalimu wangu wa advance alikuwa anatuambia kwa kifupi mambo mengi ambayo hayakuwa kwenye syllubus akihofia tunaweza kuacha kufata imani zetu. Nadhani alikuwa anajua mambo mengi yanayoendelea ambayo ni uongo. Sisi tunakaririshwa tu (dogmatism),hata viongozi wa dini nao hawajui. Huwa nafiria mambo mengi sana nikiwa kanisana,mahali ambapo kuna kila aina ya watu na tabia zao mifukoni. Tunaishi kwa maigizo( pretend to live in church principles while we are not). We live in a world of full of lies kwakweli. Na siku ukweli ukijulikana,ndo yatatokea kama ilivyoandikwa katika mathayo 24;1-31
 

hicho kitabu cha enoch kinapatikana wap? kama kuna softcopy yake tunaomba ushee nasi.
 
hicho kitabu cha enoch kinapatikana wap? kama kuna softcopy yake tunaomba ushee nasi.

mkuu hiki kitabu kipo everywhere around the internet.We google "the book of Enoch by Charles" utapata version ya huyo Charles ambayo naona imetafsiriwa vizuri kuliko wengine.Hata hivyo inabidi uwe na background nzuri ya biblia,dini ya ukristo,jewish history and culture na world's ancient history ili kukielewa vizuri zaidi.
 
Nasikia hawa jamaa kipnd kile mwl anataka kujenga mji wa dom uwe makao makuu ya serikali,alifika marekan kutafta pesa,wakamwambia aache kuchangsha watanzania maskin kwa ajil ya ujenz wa mji,wakamwambia mwl wako tayari kutoa fedha za ujenz wa mji wote,shart uitwe rockafeller city,mwl akakataa.
 

Nimefungua hiyo link ya Wiki uliyoambatanisha hapa na hizi information hapa chini zipo kaka!!!
[TABLE="class: infobox biography vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="align: left"]Net worth[/TH]
[TD] $663.4 billion in 2007 dollars, according to List of wealthiest historical figures, based on information from Forbes – February 2008.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Mansa Mussa ndiye bidamu tajiri kuliko woe mpaka sasa kihistoria. Rockeffer family wanashika nafasi ya 3 nyuma a Rothschild family. You can google it.
 
The story is too theoritical to be believed,something morebis that,rockafeller family ni kampuni tayari, na ukiangalia yapo makampuni mengi sana yaliyomzini Gates na Buffet au Slim Carlos kiutajiri,ukiwazungumzia kina bill gates unazungumzia individual wealth,hapa rockafeller ni familia, Forbes sio wajinga.
 

Especially so because the accounting method used to determine the figures is not made clear.

Different accounting tricks may give different figures when manipulated differently.

Ukitoa jibu tu ni sawa na ku compare GDP bila kusema ni PPP, expenditure, income, value added, real, nominal etc.
 




Well said Kiranga
 
Last edited by a moderator:
That the world is full of secret societies bent on control is undisputable, one has only to look at the LIBOR scandal, the mortgage rate fixing or even the just emerged German beer brewers cabal's price fixing to see that. Examples are legion.

That one family is controlling half of the world's economy is simply preposterous.
 
Wacheni utani basi!
Mi nilijua matajiiiiri kumbe hata robo ya mali za baba hawajazifikia!!!!!
 

mkuu hapo juu ni yaliyomzidi na sio 'yaliyomzini'.
 
Mansa Mussa ndiye bidamu tajiri kuliko woe mpaka sasa kihistoria. Rockeffer family wanashika nafasi ya 3 nyuma a Rothschild family. You can google it.

Asante kaka, nilitaka kuweka story ya huyu jamaa bahati mbaya makala niliyoandika iliftika kabla sijaiupload jf, nikaghaili! Huyu jamaa alikuwa kufuru, hao wayahudi na pesa zao za damu hakuna lolote!
 
Asante kaka, nilitaka kuweka story ya huyu jamaa bahati mbaya makala niliyoandika iliftika kabla sijaiupload jf, nikaghaili! Huyu jamaa alikuwa kufuru, hao wayahudi na pesa zao za damu hakuna lolote!

jitahidi mkuu hyo habar ya huyu jamaa uilete hapa jf
 
sikujua kama hawa jamaa ni balaa kiasi hiki hadi kumiliki vyuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…