China kuna ukoo wa Li ndio unashikilia uchumi fuatilia 13 bloodline but Rothchild ana 50% ya utajiri wote wa dunia anzia federal reserve bankWakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!
Wakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!
Wakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!
Mkuu Juve2012 na wadau wengine kuna market strategies anazotumia china kuteka soko la dunia china hajali quality bali your choice of preference at your affordable price for a commodity. unahitaji simu lakini una shilingi 10000 atakutengenzea bidhaa kutokana na pesa yako tofauti sana na nchi za kimagharibi wao wanajali quality yao tu na si pesa ya mteja kutokana na tabia na desturi za wateja kwao sio tatizo ukilinganisha na kwetu ukweli ni kwamba china ana export high quality commodities kwa westerns hii inachangia kukuwa kwakeWakuu C.T.U Pasco Kiranga Walas Ba Mjuni Lwambo Gaijin mwanza Kdm255 ZionTZ Ritz MD25 Consigliere Invisible Elungata hekimatele major mwendwa Eiyer na wadau wengine wa jukwaa hili naomba maoni yenu juu ya maswali yafuatalo,Mojawapo ya sababu zinazoifanya China kukua sana kiuchumi ni kuwa na export kubwa ya commodities.Na hawa wachina wame-cover production ya kila standard ya bidhaa kulingana na demand ilivyo duniani,wanatengeneza hadi bidhaa za low standard nyingi mno na huku kwetu ndio soko lao kubwa!kwa nini western economic giants hawataki kufanya low standard production ili kwenda sawa na wachina au economically hakuna future threat yoyote kwao kutokana na Chinese economic growth?swali la pili,je,kuna mkono wowote wa western economic giants katika uchumi wa China?kama upo,ukuaji wa uchumi wa China unawafaidisha vipi wao(westerners) na nchi zao?swali langu la tatu lipo specific kwa U.S.Nimekuwa muagizaji mkubwa wa bidhaa toka huko kutokana na ubora wa bidhaa hizo tofauti na nikiagiza toka China,Malaysia au U.A.E.Cha ajabu bidhaa zote zimeandikwa made in China hata zikitoka U.S lakini zinapishana ubora kabisa.Bidhaa za U.S zina ubora wa hali ya juu sana.Ina maana wachina wanapeleka bidhaa bora kule.Je,kuna mtu hapa anauelewa kwa kifupi ule mkataba wa kibiashara kati ya U.S na China?je,wote wawili wanafaidika vipi?mkataba huo unamfaidisha nani zaidi katika soko la dunia nzima?swali langu la nne na la mwisho,kuna mtu yeyote hapa mwenye info japo kidogo juu ya investments za Rockfeller,Carnegie na Rothschilds na any other western economic giants ndani ya China na far East kwa ujumla?Investments hizo zina ukubwa kiasi cha kuleta major economic impact kwa ukuaji wa uchumi wa China?kama kuna impact,does it mean hawa jamaa "wanaipenda sana China" kuliko nchi zao?tafadhali naomba maoni yenu wadau.Thanks wakuu!
Mkuu juve2012 nakubaliana na wewe na ndo maana nikasema haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya ila ni mkakati kwa sisi wakristo k ywa kiasi ambao wanaielewa biblia katika ufunuo wa Yohana hakuna wanaloshangaa sababu kila taifa kila kitu kimezungumzwa mule. Its a matter of time to prove it (Note:kitabu cha ufunuo ni wachache sana wanaoweza kukielewa na kutoa tafsiri halisi ya kile kilichozungumziwa wengi tunasoma na bila kuelewa maana halisi). Ni kweli dunia inaundwa upya na ndivyo itavyokuwa. Lakini jingine ambalo hatulijui hawa ambao tunawaona ni ma master mind wa kila kitu cjui Marekani, rockfeller, Rothschild, Illuminati , Freemanson na wengine hawa wote wanatumiwa tu. Na sisi tunawaona wao ndo tops ila amini nakwambia wapo master mind wenyewe na hao wengine wana receive order's tuMkuu major mwendwa ulipozungumzia kuhusu kupiga vita uislam umenikumbusha skendo moja iliyowakuta wamarekani kule Iraq wakati wa uvamizi wao dhidi ya Sadam regime waliharibu museum nzima ya Baghdad na kuiba atifacts nyingi za enzi na enzi ambazo zilikuwa muhimu sana kwa dunia kutokana na historia ya Iraq tangu enzi za Mesopotamia.Ingawa wamarekani walikanusha kuhusika kwa kudai kuwa waliofanya kazi hiyo ya wizi ni wahuni wa kiarabu tu,uchunguzi ulidhihirisha ile ilikuwa "inside job" na wale "wahuni" waliokuja kuchanachana na "kukojolea" vitabu waliandaliwa kufanya hivyo ili kupoteza lengo na kuficha kazi ya kitaalamu ambayo ilifanyika kabla yao.Cha ajabu miezi michache kabla ya vita,ACCP(American Council for Cultural Policy) walikuwa wakipokea order nyingi za wafanyabiashara artifacts wa U.S wakitaka specific artifacts zilizokuwa kwenye museum ya Baghdad ambazo isingewezekana kuzipata kwa njia za kawaida kwani sheria haziruhusu.Wakati huo huo ACCP wakatoa ombi kwa serikali ya marekani ili kupoza sheria za U.S zinazokataza uingizaji wa artifacts za wizi toka nje ya U.S!Now connect dots..ina maana within ACCP,U.S govt na wafanyabiashara wa U.S ilishajulikana kuwa museum ya Baghdad itashambuliwa na artifacts kuibiwa hata kabla ya vita kuanza?how did they knew?lengo la U.S kuharibu sehemu za urithi wa utamaduni kama ile ni nini?kwamba waarabu na dunia nzima tujiandae na "historia mpya" na utamaduni mpya from them?mtu wa kawaida anaweza akawaona wamarekani machizi lakini kwa wale wanaojua mbinu effective za kiutawala wataelewa kwa nini marekani inataka kuharibu culture ya middle east na dunia nzima!mtu wa kawaida atawaona wamarekani wendawazimu lakini mwerevu ataelewa kwa nini they have invested so heavily in Hollywood!ni sawa sawa na leo aje mzungu hapa Africa na kudistort historia yote watoto wetu wasijue mambo ya ukoloni huko nyuma.You can see hatari itakayokabili kizazi cha watoto hao.Hili litafanyika hadi kwenye dini na vitabu vyake na historia yake.Watu wamekaa underground huko saa hizi wanapika "historia mpya","vitabu vipya","elimu mpya","dini mpya","culture mpya" na "Mungu mpya"!kazi kweli kweli!
Mkuu juve2012 nakubaliana na wewe na ndo maana nikasema haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya ila ni mkakati kwa sisi wakristo k ywa kiasi ambao wanaielewa biblia katika ufunuo wa Yohana hakuna wanaloshangaa sababu kila taifa kila kitu kimezungumzwa mule. Its a matter of time to prove it (Note:kitabu cha ufunuo ni wachache sana wanaoweza kukielewa na kutoa tafsiri halisi ya kile kilichozungumziwa wengi tunasoma na bila kuelewa maana halisi). Ni kweli dunia inaundwa upya na ndivyo itavyokuwa. Lakini jingine ambalo hatulijui hawa ambao tunawaona ni ma master mind wa kila kitu cjui Marekani, rockfeller, Rothschild, Illuminati , Freemanson na wengine hawa wote wanatumiwa tu. Na sisi tunawaona wao ndo tops ila amini nakwambia wapo master mind wenyewe na hao wengine wana receive order's tu
mkuu hapa naomba ntofautiane na wewe
siamini kama ile gharika ya nuhu ilipiga dunia nzima
la hasha ila ilipiga tu maeneo ambayo nuhu alikuwako kipindi kile na kwa kuwa hakuna mtu ambaye aligundua maeneo mengine ya dunia yaliyokaliwa na watu
siamini kama ile gharika ilipiga
botswana
siamini kama ile gharika iliigusa marekani
na siamini kama ile gharika iliipiga japan
ila naamini iliishia maeneo yale yale ambayo nuhu na watu wa kipindi kile walikuwa wanaishi
major mwendwa naomba tuyaache hayo nadhani kwa sasa ni premature kuyazungumza,tusije tukamharibia C.T.U uzi wake bwana ukakosa wasomaji.Ngoja watu wapate mwangaza wa hizi ngazi za chini na kati halafu watataka kuendelea kujua yaliyojificha zaidi,sasa huko ukiwaletea habari za zile "familia nyingine teule",mtakwenda sawa ila kwa hapa mie ukiniuliza sanaaa,ntakuambia tuu,hawa tunaowazungumzia hapa wengi ni "knight of Malta" from the city with seven mountains,ila usiniulize hiyo ni nini bwana,sitajibu ha ha haah!ntakuongezea tuu kwa kusema,"ule mji ambao makao yake makuu yalipigwa radi wakati mkuu wake wa zamani akitangaza kujiuzulu baada ya kutokubali kuruhusu abomination,leo hii kuna mkuu mpya pale na jinsi mwenendo wake ulivyo,na kauli soft za "whom am i to judge?" bila shaka wenye akili tumeelewa ni kwa nini mzee wa bavaria aliamua kuachia ngazi na pia sasa naelewa ishara ya ile radi baada ya tangazo la kustaafu la mzee wa watu!that lightning means a lot!tuachane nayo haya bwana,nimegusia tu kukuonyesha najua hao master minds unaowasema na wengi humu wanawajua ila mind yangu nzito kuwazungumza hapa.sitaki kukwaza watu.
Dah hapa nimebaki kwenye mataaa.... juve funguka bana
Wakuu nawasisitiza kucheki hiyo "Bilderbeg's arc of crisis" muelewe kinachoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.
Mkuu Juve nimekusoma I always do the homework I.e nilipata booka of enock na za david icke etc etc bildberg arch ni kitabu au na ninakipata online?
Wakuu nawasisitiza kucheki hiyo "Bilderbeg's arc of crisis" muelewe kinachoendelea mashariki ya kati na ulaya mashariki.