Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Mkuu Juve nimekusoma I always do the homework I.e nilipata booka of enock na za david icke etc etc bildberg arch ni kitabu au na ninakipata online?

mkuu tafuta kitabu kinaitwa THE GRAND CHESSBOARD,American primacy and it's geostrategic imperative cha Zbigniew Brzezinski.Kweli watu hawasomi.Jamaa wameweka mikakati yao kwenye vitabu but nobody read them.
 
Kuna kauzi nimekaandika kule international forum kanaelezea kuhusu Ayatollah Imam Khomeini .kuna reference books nzuri zimetajwa mle.Kapitieni wakuu huenda mkapata kitu kidogo.
 
Mkuu juve haya matabu yanapatika vp,ka ni eaesy kupatina online tafadhali naomba tusaidie link jombaa au ka unasoft copy si vibaya ukatusaidi.Samahani kwa uusmbufu mkuu!Napenda fuatilia sana hizi mambo.
 

Kwa hiyo Juve,unaniambia huyo kiongozi wa Iran Ayatollah ni kibaraka wa UK?Sasa Mbona Mara nyingi anawatukana sana hawa westerners?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo Juve,unaniambia huyo kiongozi wa Iran Ayatollah ni kibaraka wa UK?Sasa Mbona Mara nyingi anawatukana sana hawa westerners?

Dah,mkuu pitia pitia elimu kuhusu ujasusi,utapata mwanga.Kwa mfano pale middle east pamejaa agent provocateurs wengi sana wa westerners ambao kutwa kucha wao huwaporomoshea matusi mabosi wao hao na kuaminiwa sana na wananchi wa middle east countries.mfano mzuri ni jinsi Kagame alivyokuwa akitumia jina la interahamwe kupata sababu ya kuendelea kuwepo Congo.Pia kuna wakati Hamas ilivurugika kutokana na viongozi wake kushutumiana kuwa provocateurs wa Israel.hawa ni watu wanaoipa marekani sababu ya kuendelea kuwepo middle east.kiongozi wa nchi anaweza kutengeneza hawa provocateurs kazi yao ikawa ni kumpinga tu,tena na michezo ya kuigiza provocateur,anakamatwa,anawekwa ndani,anatoka,anaendelea kutukana rais,kwa staili hiyo anawavuta wale wote wenye upinzani wa kweli kwa rais kujiunga naye,misimamo yao na agenda zao,tena anaanzisha mikakati kabambe,na wao wanampa yao kabambe,anawajua wote,anapeleka taarifa kwa rais,mtego unawekwa,unasikia mtu kafa kwa kuvamiwa na majambazi,ajali,n.k,kumbe kashashughulikiwa.nikuulize swali,hivi kati ya marekani na vikundi vya kigaidi,nani hasa anadestabilize middle east?
 
kuna wakati huwa unafika nashindwa kabisa kuelewa dini yangu ni "nini"?
 

Mimi naona hivi vikundi vya kigaidi ndiyo vinadestabilize middle east hata hivyo US si ndiyo wametengeneza hivi vikundi? MKUU Juve shukrani kwa contribution yako umenifunza kitu kikubwa sana isitoshe sasa hivi nasomea mambo ya diplomacy.Mimi huwa napenda sana contribution zako lakini huwa unapotea sana kuna thread huwa natamani sana uchangie lakini sikuoni.Infact hii thread ya Rockefeller umenifunza
sana nilikuwa sijui mambo kibao.Kuna topic nilipost international forum niliomba contribution yako lakini sikukuona niliikuta hiyo habari yahoo inasema hivi:ZOMBIE APOCALYPSE:US ARMY HAS PLAN TO STOP ATTACKS BY THE UNDEAD.Kuhusu Amatolah nafikiri juzi umeona habari Iran Iran says it has copied US drone na imetengenezwa kweli na huyo Amatolah alikuwa anafurahia sana.Sijui hili unalielezeaje?
https://uk.news.yahoo.com/lightbox/...supreme-leader-ayatollah-photo-171934413.html

AFP/Iranian leader's website/AFP - A handout picture released by the office of Iran's Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei on May 11, 2014 shows him sitting next to the captured US drone and its copy, …more Iran said on Sunday it has succeeded in copying a US drone it captured in December 2011, with state television broadcasting images apparently showing the replicated aircraft. Tehran captured the US RQ-170 Sentinel in 2011 while it was in its airspace, apparently on a mission to spy on the country's nuclear sites, media in the United States reported. "Our engineers succeeded in breaking the drone's secrets and copying them. It will soon take a test flight," an officer said in the footage. The broadcast showed supreme leader Ayatollah Ali Khamenei's visit to an exhibition organised by the powerful Revolutionary Guards air wing about Iran's military advances, particularly regarding ballistic missiles and drones. Footage showed two nearly identical drones. "This drone is very important for reconnaissance missions," Khamenei said, standing in front of the Iranian copy of the American unmanned aircraft. Iran said it had taken control of the ultra hi-tech drone and forced it down in the desert where it was recovered nearly intact. Washington said it had lost control of the aircraft. At the time, US military officials tried to play the incident down, saying Iran did not have the technology to decipher its secrets, and President Barack Obama asked the Islamic republic to return the Sentinel. Iran has been working to develop a significant drone programme of its own, and some of its unmanned aircraft have a range of hundreds of kilometres (miles) and are armed with missiles. The state broadcaster also showed images that the commentary said had been recorded by an Iranian drone above a US aircraft carrier in the Gulf. In the pictures, which were relatively clear, it was possible to see American personnel working on planes and helicopters aboard the vessel.
 
Mali wanazo lakini wengine kwenye familia wameyatoa makalio sadaka kwani Ni mashoga
 
Mkuu tupe elimu hii Zaidi coz inausu maisha yetu moja kwa moja mwenye sikio na asikie..!!
 
Mkuu samahani haya mambo mazito unayapata wapi ;naomba unisaidie na mimi niweze kuelezea vitu kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…