Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Hahahaha braza usije ikawa unawachafua mbna unafatilia sna maisha Yao

Ila waimbaji na hao wanojiita watu was kwanya kwaya hkn kitu Zaid ya umalaya
Kuimba kwaya kwangu kwa miaka 8 na kuwa mzee wa kanisa kwa zaidi ya miongo miwili, nimegundua mengi sana kuhusu wanakwaya na mahusiano.

Nitayaletea uzi siku kukirudishwa jukwaa la dino.
 
Katika hao wanawake wote aliyekuwa hatari ni Christina Shusho, yule ni zaidi ya Ibilisi. Kwa kile Christina Shusho alichomtenda yule Pastor aliyekuwa mumewe ipo siku Mungu atalipiza.

Karma is real.
Alifanya nini mkuu
 
Kwa Upendo hapana, wapo wote na mumewe huko USA mbona
Upendo Kilahiro alishaolewa na bonge flani wa South Africa ni mchungaji, mumewe Amon Kilahiro naye alioa kwa ndoa mpya.
Japo yasemekana chanzo ni mume kucheps.

Iliniuma sana kwao kuachana, walikuwa na ndoa ya kuvutia na huduma bora kabisa
 
Siku hizi uimbaji wake usikitisha sana, injili na nyimbo za dunia ni mafuta na maji.
Sasa anaimba bongo fleva kwenda mbele.
Mungu huwa na wivu sana, ukimchanganya na dunia yeye anakaa kando.

Mwanzo alitoa nyimbo zilizojaa nguvu sana.
Eg. Wakuabudiwa, huo wimbo ulijaa nguvu sana
 
Nipatie namba ya Christina shusho tafadhali
 
Daaah Hii ya Shusho imenipooza brain yangu....
Basi kazi ipo...
 
Sidhani kama umeelewa hoja yangu, sasa kama mwanamke hataki kuwa chini ya mwanaume kisa ukwasi wake kuna haja gani yeye kuruhusiwa kumiliki hizo mali? Asili inasemaje, hakuna mafahali wawili wakakaa zizi moja, hivyo akishindwa kuwa chini ya mume kisa ukwasi wake lazima tu waachane.

Kama mtoaji, mwanaume anajisikia mwenye mamlaka akihudumia familia yake, kula, kulala, kuvaa na huduma zote atatoa bila kufikiri na inamfanya awe proud, njoo upande wa pili, mdada amejiwekeza ila aweza asitoe hata hela ya kiberiti kisa tu "sio kazi yake". Hayupo proud kutoa pesa yake kuhudumia watu wake.
 
Sio Rose mhando huyo msoto wake mbona uko hadharani kila mtu anajua aliyopitia ...nayemsema mimi Jamii haijui kama ana huo msoto mkali maishani...
Duh aisee
Ni nani Mkuu?
Tutajie tumuweke kwenye maombi muimbaji wetu
 
Vipi umefatilia upande wa waume zao?
 
Sauti yake nzito na kwenye kuimba sauti nzito inajaa vizuri kuliko zile nyepesi.

Nasikitika kusikia naye ndoa yake ipo chalii...shetani ameamua kudeal mazima na waimbaji maana ndio ilikuwa kitengo chake huko Mbinguni.

Kumuimbia Mungu bila maombi kwa sana aisee ni kazi sana kutoboa,,shetani anakutafutia angle ya kukupiga.

.......
Tunaendela kumalizia mwaka na a long road trip
Bwana ni mwema wakati wote..
Thank youπŸ™
 
Wamekua vicheche
 
Mwandishi ungejua manyanyaso a Hali ya juu aliyopata Bahati Bukuku ndani ya ndoa kwa kukosa mtoto? Tujitahidi kujua sababu kabla ya kuhukumu.
 
Christina shusho ana mvuto Sana...
Matusi ya watu sidhani kama kweli...
Tuwe na kiasi...tusitukane watu kisa tuna bundle...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…