Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Martha ameolewa akiwa tayari maarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakulaga na kuhonga hela za madhabahuni 😁
Saaana,wabadhirifu wa matoleo,si unaona hapo anatafuta number ya Martha Mwaipaja,ngoja aipate!usidhani anatafuta Kwa ajili ya huduma za kiroho mmmmhmmmh ana kazi nayo😁😁😁
 
Saaana,wabadhirifu wa matoleo,si unaona hapo anatafuta number ya Martha Mwaipaja,ngoja aipate!usidhani anatafuta Kwa ajili ya huduma za kiroho mmmmhmmmh ana kazi nayo😁😁😁

Na mie ngoja nitafute namba ya Beatrice Mwaipaja ili tubadilishane huduma za kiroho. 😄

-Kaveli-
 
Mzee anàpiga viuno vya hatari
Munyu Evelyn Salt salaam
 
Kula zawadi ya mwaka mpya hii ni bonge la comment lakufungulia mwaka
 
Wewe Comment ya Nifah uliielewa kwani au

"" Hata kama ingekuwa ni mwanaume ndio kavunja ndoa nne na wanawake wanne bado wangesema hao wanawake ndio wenye matatizo""

Bado una sugar coat the question na reality.

Kwamba ndoa 4 zotee zimemshinda, ni kweli wanaume wanachangamoto ndani ya ndoa nne zote?

#YNWA
 
Kumbe wa ovyo namna hi huyu dada..aisee wanamchafua kristo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…