Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

kale ni katoto ka kufikia, jamaa waliyeachana alikuta watu walishapitaga huko, ni singo maza akamuokota na bado amekuja kumwacha baada ya kupata mpunga. angekua hajapata mpunga martha angamwacha yule bwanake? tuseme ukweli, kwa walomjua martha kipindi anavaa vinguo vya sagulaga ya manzese.
Martha ameolewa akiwa tayari maarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakulaga na kuhonga hela za madhabahuni 😁
Saaana,wabadhirifu wa matoleo,si unaona hapo anatafuta number ya Martha Mwaipaja,ngoja aipate!usidhani anatafuta Kwa ajili ya huduma za kiroho mmmmhmmmh ana kazi nayo😁😁😁
 
Saaana,wabadhirifu wa matoleo,si unaona hapo anatafuta number ya Martha Mwaipaja,ngoja aipate!usidhani anatafuta Kwa ajili ya huduma za kiroho mmmmhmmmh ana kazi nayo😁😁😁

Na mie ngoja nitafute namba ya Beatrice Mwaipaja ili tubadilishane huduma za kiroho. 😄

-Kaveli-
 
Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati.

Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:-
1. Martha Mwaipaja.
2. Martha Baraka.
3. Rose Mhando.

4 Bahati Bukuku. Huyu alitoka Mbeya kuja Dar ili kurisiti mtihami wa f4, lkn akaishia kumpata sponsor aliyemrekodia album ya kwanza na ya pili. Kisha akaolewa na huyo sponsor. Bahati alilpopata umaarufu akambwaga huyo mume).

5. Flora Mbasha (huyu alijifanya anaenda US kusoma muziki kwa miaka 2. Kumbe alirejea nchini baada ya mwezi mmoja na kifichwa na Gwajima ili awe anajipigia mzigo ktk hotel moja jijini DSM) baada ya miezi 6 siri ikavuja )
6. Angel Benard. House girl aliyejikuta anatoboa ktk anga za gospel. Kwa ulimbukeni wa umaarufu kila akiolewa ndoa yake haidumu (kavunja ndoa 4.)

7. Upendo Kilailo. Huyu alisafiri kihuduma kwenda US. Kufika huko akaolewa tena.

8. Christina Shusho. Huyu anadanga kabisa.

Kama unawafahamu wengine ongezea hapa.
Mzee anàpiga viuno vya hatari
Munyu Evelyn Salt salaam
 
Siyo kasumba, ndiyo uhalisia wenyewe. Utafiti unaonesha kama mwanamke akiwa imara ndoa haivunjiki.

Ndiyo maana hata Kuna maandiko yanasema "manamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, bali mwanamke mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".

Kwa kuhitimisha, ukiona ndoa imevunjika ujue mwanamke ndiyo mpumbavu.
Kula zawadi ya mwaka mpya hii ni bonge la comment lakufungulia mwaka
 
Wewe Comment ya Nifah uliielewa kwani au

"" Hata kama ingekuwa ni mwanaume ndio kavunja ndoa nne na wanawake wanne bado wangesema hao wanawake ndio wenye matatizo""

Bado una sugar coat the question na reality.

Kwamba ndoa 4 zotee zimemshinda, ni kweli wanaume wanachangamoto ndani ya ndoa nne zote?

#YNWA
 
Issue iko hivi (sad story)

Yule Pastor aliyekuwa amemuoa Christina Shusho ni mtu poa sana, real Pastor, mtu mwenye kujiheshimu na kupenda kumtumikia Mungu kwa haki siku zote.

Jamaa alimkuta Christina akiwa hoi bin taaban kijamii huko mikoani, asiyekuwa na mbele wala nyuma, mshamba kwa 100% lakini Pastor akagundua kipaji cha Uimbaji kilichojificha ndani ya Christina. Jamaa akaingia chimbo kukiboresha kipaji, muonekano wake na swaga mpaka binti akawa presentable kwenye jamii, akamtafutia walimu wazuri wa sauti, melody na muziki, akasaka mashairi kwa watu mbalimbali, akazama studio kufanya audio rekodi, akawapa wataalamu wakazipitia ili kuona mapungufu, na kurejea upya studio ili kuziweka vyema, zilipo tiki, akaingia madhabahuni kuziombea ili ujumbe wa zile nyimbo upenye kwa watu, kisha video shooting ikafanyika na kurudiwa mara kadhaa, wataalamu waliporidhika, nyimbo zikaanza kuachiwa moja baada ya nyingine na zika hit balaa, mfano wa Unikumbuke, Wakuabudiwa nk.

Vision aliyokuwa nayo Pastor kupitia sauti ya uimbaji wa Christina ilikuwa ni kuhakikisha gospel inapigwa world wide, alitaka kumuona Christina akiimba gospel hadi viunga vya Ikulu mbalimbali dunia mfano Tz, Kenya, Nigeria, South Africa, USA, UK nk akialikwa kama honorable gospel singer kwenye special events za new year festivals, inauguration ceremony nk. Jamaa hakuwa na mipango ya kutaka kutajirika kupitia gospel.

Sasa wakati cheche kidogo tu za mafanikio zilipoanza kuchipuka, Christina akaanza kubadilika, tamaa ya pesa ikamuingia, Christina akaamua kuuza talanta yake ya thamani kwa kuona aibu ya kuwa mwanapunda wa kumbeba Yesu (wito wa kumtumikia Mungu) lakini akaona fahari ya kuwa nguruwe kisa kavikwa pini ya dhahabu puani (umaarufu wa kisanii), na kilichofuata kimebakia kuwa ni historia. Leo hii Christina ni mtu wa kutafuta followers mitandaoni hadi kwa kick, kuimba ili kupata pesa, kudanga na wanaume mbalimbali. Ndoa ilishakufa kitambo sana baada ya kumkimbia mumewe na wito wa kumtumikia Mungu kupitia uimbaji ulishayeyuka zamani. Ni mwendo wa kuanzisha makanisa ya kitapeli mtaani (Christina ana kanisa lake Manzese), kuandaa matamasha ya kisanii sanii na kutrend mitandaoni kwa mambo ya kijinga kabisa.

Very poor Christina.
Kumbe wa ovyo namna hi huyu dada..aisee wanamchafua kristo.
 
Back
Top Bottom